dump
JF-Expert Member
- Mar 23, 2020
- 642
- 958
Watanzania tushikamane tukemee haya mambo,hivi inawezekenaje watu wazima wana kaa wanakubaliana kujenga barabara ya kilometer 1 kwa ghalama ya billion 5.
Hivi kweli tutafika kwa hali hii,madawa yatapatikana hospital, na huduma zingine zitawezekana gharama za maisha zimepanda,petrol, mafuta ya kula,nk huku tozo zina tuumiza,baadhi ya shule watoto wa nakaa chini ajira hakuna nilazima tushikamane kwa pamoja nina imani tukiamua tunaweza kuleta mabadiliko makubwa sana.
Zaidi kabisa naona CCM hawana tena uwezo wa kuleta mabadiliko,tubalishe chama tuwape na wengine hii inchi labda wanaweza kutusaidia.