Watanzania, tushirikiane katika hili

Watanzania, tushirikiane katika hili

kachumbari

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
126
Reaction score
9
Wakati umefika sasa kuanza rasmi harambee kwa ajili ya kuwalipia watoto wetu ada za vyuo vya elimu ya juu.
 
Wazo zuri Ndg Kachumbari,
Population census ijayo inatarajia idadi kufikia 45Mil. Ingawa sipo kwenye shughuli za statistics, nita-assume kuwa idadi ya watu wanaotakikana kufikia elimu ya juu si chini ya .05% kwa nchi zinazoendelea. Assuming kuwa idadi hiyo inaweza kuwa assimilated kikazi (employed and enterprenuers), basi inabidi mipango kama hii itiliwe mkazo na jamii ili kuiinua economy ya nchi nzima.
Katika kuanzisha harambee kama hii, inabidi pawe na mwelekeo madhubuti ambao jamii unaweza kuutumia kuangalia kama kweli michango yao inaongeza upeo katika elimu ya juu au la.
 
Back
Top Bottom