Watanzania tusijidanganye, Wakenya wana IQ kubwa kuliko sisi

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Chukua hii clip Kila mtu azungumze kwa Lugha yake mama halafu tuchambue mantiki ya kile anachoongea mbunge wa Tanzania bungeni na kile anachoongea huyo mwanafunzi kwenye mijadala ya kielimu.
Utaona kuwa Tanzania na Kenya zina utofauti mkubwa sana.
Speaker anakupa dk 5 ujenge hoja kwaajili ya Taifa na jimbo lako wewe unaongea MASIHARA na wapumbavu wengine wanampigia makofi.
Your browser is not able to display this video.
 
Mhiii
 
Labda wewe ndio una iq ndogo.
 
Isipokuwa yule Mkenya aliyesema anatamani ahamie Burkina Faso ili akawajaze wanawake wa huko mimba kwa sababu Matibabu na Elimu Traore kasema bure. Yule IQ yake ni kama sisi tu(below average)🤣
 
Lugha sio tatizo, hata wao hawajui kiswahili fasaha kama sisi, ila msukuma ana pesa kuliko huyo mbunge sijui mwanafunzi wa kenya, kuna watu wanaabudu sana kiingereza, language is just a medium of communication na sio kipimo cha IQ, kwahyo wale wahadzabe waliomaster clicking language yao maana yake wana IQ kubwa?.
 
Bila shaka wewe ni mfuasi wa Braza K Mapovu. Maana nyie ndio huwa mna IQ ya chini kiasi hiki.
 
Eti vinajifanya vinabisha leo wakati mlikuwa mnadis sana wakati wa fujo za Gen Z leo hii mnajikuta wazalendo kichizi wabongo wakuda sanaaaa ngoja muendelee kupigwa sana pesa hadi mnyooke nyie tunawajua ni sabuni, sukari na kofia na nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi mnatulia.
 
intelligence quotient (IQ) haipimwi kwa "English proficiency", usichanganye madesa, kuongea ngeli na uwezo wa kufanya fujo haimaanishi high IQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…