Watanzania tusijidanganye, Wakenya wana IQ kubwa kuliko sisi

Halafu wajinga wanafurahi mjinga kuwa bungeni na mjinga kuongoza jimbo na mjinga huyo huyo anajisifu kuwa yeye ni mjinga anapigiwa makofi na wajinga wenzake.
 
Sio kweli!

Usi generalize mambo!

Wakenya wanaonekana fighters sana kuliko sisi coz huko kwaonfursa kidogo za manati!

Huku bongo bado tunakaribishana vyakula bila kujali,kule hakuna karibu labda ununue chakula!!

Ni fighting spirit tu kutofautiana,neema imezidi Kwa watz Hadi imepumbaza wengi!!

Ndoo ya viazi huko mbeya sh.3000/= unajaziwa kibao plus ndizi za buku karibu zaidi ya 20!Kenya sasa utaisoma namba!!
 
Hili halina ubishi.
 
Uko sahihi 100%!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…