Watanzania tusikubali kusahaulishwa vifo vya ndugu zetu waliouawa na CCM

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,314
Watanzania Wote Tukatae Ukatili na Tupiganie Haki!

Watanzania wenzangu, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya usalama na utu wetu. Kikundi cha wauwaji wa CCMwaliotwaa madaraka kwa mtutu wa bunduki wameua watu wetu watanzania wenzetu wasio na hatia, na hii ni ukiukaji wa Katiba yetu na haki za binadamu.

Sisi wananchi CCM imepola na kuchukua haki zetu za kupiga kura na kuchagua mtu tunaemuamini na wa kutuwakilisha sisi wananchi

Naombeni tusikubali wala kuyumbishwa kifikira au kusahaulishwa vifo vya maelfu ya watanzania ambao CCM imewauwa

Ndugu zetu iwe ni nguvu ya uamsho kwa kila Mtanganyika kuipinga na kuikataaa ccm na serIkali yake ya kihuni na kijambazi na ya dhuluma na mauwaji

Samia na CCM Must Go. Mnapo kuja kwenye hadhara kuongea na mnaowauwa, acheni kuvaa miwani ya giza. Mnaficha macho yenu na sura zenu halisi

Acheni kujificha nyuma ya miwani
 
Ndo imeshapita hivo kama upepo tatizo nchi hii watu wanakuwa na nguvu wakati wa tukio likitokea ila ikipita mda flani wanasahau kama hakikutokea kitu.
 
Ni suala la muda tu, na tutashinda tu. CCM belongs to the past.
 
Watanzania Wote Tukatae Ukatili na Tupiganie Haki!

Watanzania wenzangu, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya usalama na utu wetu. Kikundi cha wauwaji wa CCMwaliotwaa madaraka kwa mtutu wa bunduki wameua watu wetu watanzania wenzetu wasio na hatia, na hii ni ukiukaji wa Katiba yetu na haki za binadamu.

Sisi wananchi CCM imepola na kuchukua haki zetu za kupiga kura na kuchagua mtu tunaemuamini na wa kutuwakilisha sisi wananchi

Naombeni tusikubali wala kuyumbishwa kifikira au kusahaulishwa vifo vya maelfu ya watanzania ambao CCM imewauwa

Ndugu zetu iwe ni nguvu ya uamsho kwa kila Mtanganyika kuipinga na kuikataaa ccm na serIkali yake ya kihuni na kijambazi na ya dhuluma na mauwaji

Samia na CCM Must Go. Mnapo kuja kwenye hadhara kuongea na mnaowauwa, acheni kuvaa miwani ya giza. Mnaficha macho yenu na sura zenu halisi

Acheni kujificha nyuma ya miwani
Hatuwezi kuwasahau ndugu zetu waliouawa kwa kutetea haki. Hii ni deni kubwa sana kwetu sisi wazalendo tulio hai. Damu yao lazima ilete ukombozi.
 
WATANZANIA TUNAPASWA KUJILAUMU NA KULAUMU NA KUJUTA KUCHUKUA MAAMUZI YA KUSHINIKIZWA PASIPO KUSHIRIKISHA AKILI NA NAFSI ZETU. TUKUBALI WANAHARAKATI WALITUINGIZA CHAKA. YANI TULICHEZA MZIKI WA CHAKA TO CHAKA
 
Wewe ni mpumbavu. A single condom could have prevented this
 
Gen Z tushaelekea kibra kilainiiiiiiii kummkeee!!!!

Na wasanii wakitangaza show mtajaa kama mazuzu.

Kwenye mikutano ya hao hao wanasiasa mnajazana kama matahira

Pumbavu zenu Gen Z hamna misimamo.

Mnachojua ni k*utom*bana na kubeti tu wakuda nyie.

Pumbavu Gen Z wote
 
Watanzania Wote Tukatae Ukatili na Tupiganie Haki!

Watanzania wenzangu, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya usalama na utu wetu. Kikundi cha wauwaji wa CCMwaliotwaa madaraka kwa mtutu wa bunduki wameua watu wetu watanzania wenzetu wasio na hatia, na hii ni ukiukaji wa Katiba yetu na haki za binadamu.

Sisi wananchi CCM imepola na kuchukua haki zetu za kupiga kura na kuchagua mtu tunaemuamini na wa kutuwakilisha sisi wananchi

Naombeni tusikubali wala kuyumbishwa kifikira au kusahaulishwa vifo vya maelfu ya watanzania ambao CCM imewauwa

Ndugu zetu iwe ni nguvu ya uamsho kwa kila Mtanganyika kuipinga na kuikataaa ccm na serIkali yake ya kihuni na kijambazi na ya dhuluma na mauwaji

Samia na CCM Must Go. Mnapo kuja kwenye hadhara kuongea na mnaowauwa, acheni kuvaa miwani ya giza. Mnaficha macho yenu na sura zenu halisi

Acheni kujificha nyuma ya miwani
Mkuu tupia picha za mauaji yale
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom