Tukishaing'oa CCM, tuwaweke CHADEMA?Hakika mwanasiasa ndiye Mungu wa nchi hii. Magufuli alipinga mambo waliyoyataka wenzake, lakini akachukua pesa za umma na kwenda kujenga kwao. Nao watu wa Bagamoyo na pwani vivyo walitamani kujengwe kwao. Na sisi Mbeya ile Barabara nzuri ikaishia Igawa. Na sisi mtu wa kusukuma ujenzi wa Barabara ije kwetu hatuna.
Barabara ya hapa Mwanjelwa inazidiwa na magari kila siku nani wa kutuona. Ni sahihi kwamba ili mufikiriwe ni mpaka muwe na mgombea uraisi au raisi?Mpaka lini sisi huku kwetu itakuwa ni mikoa ya kuombea kura tu?
Ungekuwa na elimu walau ya Std 7 usingeandika huu upuuzi.
Naona umepanic,Ungekuwa na elimu walau ya Std 7 usingeandika huu upuuzi
Sidhani kama mtu anapinga mradi wa bandari ya Bagamoyo. Ila kinachopingwa ni mazingira ya watu wachache kutaka kunufaika kijanja huku taifa likipata hasara kama kutakuwa na mkataba wa hovyo.Projects zozote kubwa huwa zina changamoto zake na Wakati mwingine huwenda ni MASHINIKIZO KUTOKA NDANI AMA NJE NA YASIYO MASHIKO YOYOTE YALE:
1)MWALIMU NYERERE HEPP
**************************
Ikumbukwe mradi huu ulipingwa mno na BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI na hata baadhi ya wabunge wa CDU wa bunge la ujerumani (Bundestag) kwa kisingizio cha UHARIBIFU WA MAZINGIRA PALE SELOUS ilihali shirika la mazingira duniani lilisharidhika na hatua stahiki zilizoainishwa na kuchukuliwa na SERIKALI ya Tanzania......
Ikumbukwe UJERUMANI ni moja ya nchi zinazoongoza kwa kuwa na VIWANDA VINGI BARANI ULAYA.....
2)Mradi wa SGR
**************
Ulipingwa sana na baadhi ya wanasiasa wa ndani kwa kigezo cha kuwa unabeba GHARAMA kubwa ya KODI ZA WATANZANIA kuliko uhalisia wa uchumi tuliokuwa nao.....hapa haikuangaliwa SACRIFICE katika kuyafikia MAENDELEO MAKUBWA....sijajua iwapo pia kuna MASHINIKIZO YA NCHI JIRANI AMA HATA UGHAIBUNI juu ya ununuzi na uagizaji wa MAGARI YA MIZIGO na mfanano wake.......
#KaziIendelee
#JMTKwanza
π€£π€£ππHapo kwenye paragraphs ya pili na ya tatu, kwa hio na wewe unataka upige madeal? Unawaonea CCM wivu unataka CCM kitoke madarakani ili na wewe chama chako kipige madeal ili mshibe matumbo yenu?..
Mimi sio mwanachama wala shabiki wa CHADEMA wala sitoi hoja kama mwanasiasa, natoa maoni yangu kama mtanzania. Nazungumzia mambo yanayonigusa. Musipende kila hoja kuitazama kichamaTukishaing'oa CCM, tuwaweke CHADEMA?
Kama ni hivyo, ni NO.
Sijapanic ila nakupa ukweli. Kwa hiyo unadhani kila mtu ni mpiga dili? Kukosa elimu ni jambo baya
ukiitwa mahakani ukadhibitishe kuibiwa huko utaweza?Serikali halali kutambuliwa na katiba ndio iwe sababu ya kutuibia? Ndio iwe sababu ya rais kudanganywa. Kama imeshakuwa mazoea kutuibia sasa ni wakati wa kutumia umma kuwaondoa.
Ila huyu ni CCM lialia.Hapo kwenye paragraphs ya pili na ya tatu, kwa hio na wewe unataka upige madeal? Unawaonea CCM wivu unataka CCM kitoke madarakani ili na wewe chama chako kipige madeal ili mshibe matumbo yenu?...
Yaani acha kabisa, huyu Nyankurungu2020 anasikitisha Sana, amekata tamaa Sana Sana.Ila huyu ni CCM lialia.
This is too Utopian,Hakika mwanasiasa ndiye Mungu wa nchi hii. Magufuli alipinga mambo waliyoyataka wenzake, lakini akachukua pesa za umma na kwenda kujenga kwao. Nao watu wa Bagamoyo na pwani vivyo walitamani kujengwe kwao...
Mi nawapinga wanaokuita mpinzani. Nakufahamu wewe ni CCM damu.Acha utoto.
π€£π€£Hakika wewe ndio una ukosefu wa elimu na inawezekana kabisa maisha yamekupiga Hadi unawaza kuwa CCM kipo hapo kinapiga deal, kinaiba, kinagawana, halafu wewe hupati kitu.
Mtazamo wako kukihusu CCM ni mtizamo wa kimaskini Sana na usio kuwa na utumiaji sawa wa ubongo.
Mimi nimekupa tu ushauri wa Bure,kwa kuwa CCM hakiwezi kutoka madarakani leo Wala kesho (kitatawala zaidi ya miaka 1000 ijayo), of which utakufa na kukuacha , so mbinu rahisi ya kukiondoa madarakani ni kuingia mstuni tu, Ila ukisubiri sanduku la kura kamwe hutaweza na wanaCCM wataendelea kukutawala daima.
Chagua pori nikusaidie kupambana ili tushike Dola halafu tupige madeal.
Acha kubweka humu JF, unapoteza tu muda π€£ππ€£ππ€£ππ€£π
πukiitwa mahakani ukadhibitishe kuibiwa huko utaweza?
Katiba ndio sheria mama. na kuna utaratibu wa kuipinga serikali.
sio unavyotaka ww.
Unajua kusoma na kuandika?ukiitwa mahakani ukadhibitishe kuibiwa huko utaweza?
Katiba ndio sheria mama. na kuna utaratibu wa kuipinga serikali.
sio unavyotaka ww.
irrelevant questionUnajua kusoma na kuandika?
Ule ulikuwa ni uwongo wa marehemu. Ardhi itamilikiwa na mradi, siyo mchina. Wewe si unamfahamu marehemu, kwa kiasi kikubwa jinsi alivyokuwa mwongo?umetafakari kipengere cha mchina kuhodhi ardhi miaka 99 alichosema JPM?hicho nacho ni kwa future genneration accomplishment au
Wewe kima tuambie lowassa nae alikuwa muongo kuhusu huo mradi?Ule ulikuwa ni uwongo wa marehemu. Ardhi itamilikiwa na mradi, siyo mchina. Wewe si unamfahamu marehemu, kwa kiasi kikubwa jinsi alivyokuwa mwongo?