Tukishaing'oa CCM, tuwaweke CHADEMA?Hakika mwanasiasa ndiye Mungu wa nchi hii. Magufuli alipinga mambo waliyoyataka wenzake, lakini akachukua pesa za umma na kwenda kujenga kwao. Nao watu wa Bagamoyo na pwani vivyo walitamani kujengwe kwao. Na sisi Mbeya ile Barabara nzuri ikaishia Igawa. Na sisi mtu wa kusukuma ujenzi wa Barabara ije kwetu hatuna.
Barabara ya hapa Mwanjelwa inazidiwa na magari kila siku nani wa kutuona. Ni sahihi kwamba ili mufikiriwe ni mpaka muwe na mgombea uraisi au raisi?Mpaka lini sisi huku kwetu itakuwa ni mikoa ya kuombea kura tu?
Kama ni hivyo, ni NO.