Elections 2010 Watanzania tusikubari propagannda hizi! Ni hatari sana!

Kwa kutoa hivyo vithibitisho naamini Watahatarisha amani na utulivu wetu tuliojijengea maana imeshasemwa wazi hali ni tete.

Hapo sasa! Vikiletwwa huenda watu tusitazamane usoni!
 
Thank you for this post but Tanzanians have grown now in strength than before in a fair ground they know to choose wisely and we have seen it this time and we shall see more of that in future. CCM will not continue to cover Tanzanians by a blanket of IGNORANCE!
 
....ni CDM na wanaCDM wanapambana na CUF au kinyume chake? kuna hoja imetolewa kwamba redio zetu (mfano radio Imam, Morogoro) zilikuwa zikipiga kampeni kwa base ya udini peupeeeeeeee vivyo hivyo misikitini na magazetu yetu mfano Al-Nnur. endeleeni na propaganda znu ila mtafika mwisho wenu tu. Namni naunga mkono hoja kwamba 'nipo tayari kula nguruwe kuliko kuipigia kura CCM'. Nguruwe nikimpika vizuri nitapata Protein (grade A) lakini CCM itaniendeleza umaskini.
 
Hivi mkubwa na wewe hutaki katiba mpya? Acha ushabiki usiokuwa na kichwa wala miguu
 
ndugu yangu hapo ni kweli kabisa kuna wakti mwingine hili suala la waislam kubezwa kebehi lipo hapa jf, na linaniumiza sana, unakuta mchangiaji mmoja (Muislam) amekosea au ni mtazamo wake tu, basi hapo tutatukanwa waislam wote na majina mabaya mabaya yote tutapewa. nafikiri hilo halijengi sana litabomowa na inatoa nafasi kwa adui kushambulia. tuwe kitu kimoja tabu njaa maradhi yote yetu, hospital kama hakuna dawa hakuna kwa wote, iman yangu kubwa wote wanaodai mabadiliko hawakufuata dini, ni hali ngumu ya maisha kila siku afadhal ya jana.
 
Wewe mtowa mada, hebu kwanza iedit hiyo post yako na uweke sawa kiswahili ulichoandika. Mnatuharibia hii lugha tamu. Mfano hata hicho kichwa cha habari ni "tusikubali" badala ya ulivyoandika "tusikubari".
 
Article nzuri.
Nyongeza: Tusikubali pia propaganda za Dr. Slaa kuwa kura zake zimeibiwa mpaka atuonyeshe vidhibiti.


Hata asipotuonyesha vidhibiti ,kwangu ilikuwa tosha tu pale nilipoona tume inatangaza na kusema ilikosea na kusoma matokeo tofauti kati ya Geita na Nyangwale,at the same time ikatuambia inafanya klazi ya kuhakiki shameless Tume na watendaji wake kwa kutokujua walilokuwa na fanya,not only that tume kutotangaza matokeo ya vituo kadhaa kwa upande wa Raisi is another weekness,siyo hivyo tu kuchelewesha bila sababu yoyote ni dhahiri kulikuwa na kitu flani,mwisho kutoruhusu transparent system was a big mistake,sihitaji vidhibiti zaidi ya hivyo.

Kitendo cha tume kutangaza system itakayotumika na kufanya tofauti ni big problem.Acheni propaganda zenu mtu kama wewe tunakujua umetokea wapi.Nawaambia hivi mwisho wenu sasa umefika,sidhani kwa Dk kukaa kimya inamaana hana vidhibiti i wish ningekuwa na uwezo wa kumpeleka Jk mahakamani ningefanya hivyo faster kwani siri naijua.

We muache tu hata Jeshi limemchoka linamlia timming aendeleee tu na safari zake aje aone.

Trend ni nzuri tunaomba wachangiaji wenye akili hata kama wanakosoa siyo vipofu.
 
mbona ni huyo huuyo dr. Slaa aliyetoa barua fake ya mipango ya ccm pale lakairo hotel? Hakuwa anahatarisha amani?? Si ni huyo huyo pia aliyevishutumu vyombo vya usalama wa taifa kuwa vimemuhujumu. Kuna hatari kuliko hiyo??
au ni ubabaishaji kwa kwenda mbele???
 
Wakati mwingine si vyema kukubali kuwa vipaza sauti vya wanasiasa. Turudi pia tuwaambie kuwa kile ulichokisema mmh kina walakini na pengine ni uongo. Suala la kura linahitaji analysis na dr. Slaa ni analytical mzuri na namheshimu sana.
Ana vyanzo vingi vya kupata taarifa vikiwemo wana usalama wake ambao pia naanza kuwatilia mashaka makubwa.

Anyway niliwahi kuandika kwenye post nyingine wiki tatu kabla ya uchaguzi haya yafuatayo;

1.0 political leaders always do "mistakes"!!
2.0 analytical leaders always do "blunders + bloodshed".

sasa naongezea kusema: "you need a wise political leader to control analytical leader from doing blunders"!!!

and i can presume "hon. Zito kabwe" can be one of wise and really intelligent leader in chadema!

Kwangu mimi nafunga mjadala.

Mkiniita pandikizi hayaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1!!!
Mkisema nimetumwa hayaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkiniita mwenye siasa kali hayaaa!!!!!!!!
Mkiniita mdini hayaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Lakini mimi ni mzalendo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mtanzania.
 
Naomba tusubiri uteuzi wa wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa ndo mtajua nani mdini kati ya Slaa na JK.
 

Huwa nasema sisi Watanzania tuko kama madebe tupu! Kwenye debe tupu unaweza kutupa kila aina ya uchafu na ukakaa. Watanzania wengi wanadanganya kiraisi na wanakubali bila hata kuweka chembe ya akili (kujiuliza kwa nini wamekubali). Mimi mtu akiniletea porojo namwomba data na siyo data tu balia data anazoweza kuzi'verify'. Vinginevyo, nemeamua kujikomboa kutoka hao watu wanaotudanganya kila siku ili malengo yao yatimie.

Hebu ona wajinga wengine wanavyofanya:
1. Wameona, sikia, shuhudia Chadema wakilalamika na kupeleka malalamiko yao kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa kura zao zimechakachuliwa.
2. Tume haikujali na iliamua kuendelea na mchakato wa kutangaza matokeo as if hakuna malalamiko yoyote.
3. Baadaye walimtangaza Jakaya Kikwete kuwa ameshinda uchaguzi.
4. Chadema wakasema mfumo/mchakato uliotumika kumtangaza Kikwete kuwa rais hawakubaliani nao. Ila walijua rais akishatangazwa hakuna cha kushtaki mahakamani.
5. Wakaona ili wawasilishe ujumbe wao kwa umma na wafadhiri watoke nje ya Bunge mara tu rais atakapoanza kutoa hotuba na ndivyo walivyofanya.
6. Halafu baadhi ya Watanzania wanawalaumu kwa kufanya walivyofanya badala ya kulaumu chanzo cha tatizo kilikuwa nini! Mimi nawalaumu waliochakachua kura na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kupuuza malalamiko ya Chadema - hawa ndio wa kulaumiwa kwani ndio waliosababisha Chadema kuchukua hatua waliyochukua.
7. Sasa cha ajabu baadhi ya Watanzania wanaingia kwenye ushabiki wa kuwatetea wachakachuaji wa kura na kuwalaumu wanaolalamikia huo mfumo mbaya wa uchaguzi. Je, hiyo ndiyo akili?
 
I thnk wajmii we dont hve 2 be stupid,coz kukosoa ama kutofautiana mawazo siyo udini,,naona most yawanamember wanaudni kwelikweli..hzo sio hja zakutatua umaskni wetu.,mimi nadhni hoja kubwa hpa niaina ya viongozi 2liokuanao,that the problem of why?we are poor...so hoja nikudiscuss jinsigani 2naweza kuipata katiba mpya..hpe ndyo itakayotuletea viongozi bora..siyo bra viongozi,so achni kushamblia imani za wtu.
 
Uchaguzi umekwisha, mshindi kashatangazwa, kiongozi wa kambi ya upinzani kashapatikana, hafla ya kumpongeza rais imeshafanyika na hata kuhudhuriwa na viongozi machachari wa chadema mfano shibuda, sasa tunacholumbana mimi sikielewi, tuache malumbano tujenge taifa letu na sasa la kufanya ni kuelekeza nguvu zetu ktk katiba mpya.

Chadema tayari wameshaitambua serikali ya kikwete kwa kuhudhuria bungeni na kuunda serikali kivuli yenye kupata ruzuku toka serikalini, hivyo tusipoteze muda wetu kujadili jambo lisilowezekana la kushinikiza kutolewa kwa ushahidi wa uchakachuaji wa kura.
 

Mkuu ninalo ombi doogo tu kwako, tafadhali soma tena hoja kama ilivyowakilishwa na mleta hoja halafu usipindishe tena mambo kuelekea kwenye maswala ya udini ujitahidi tu kuchangia. Jaribu sana kuepuka kutaja taja dini mahali popote. Halafu tujadili pamoja. Tafadhali sana jitahidi Mtanzania mwenzangu. Tujitoe kwa Taifa letu tu siyo dini zetu. Hapa JF anayekuja na hoja ya kudharau au kushambulia dini nyingine anastahili kupuuzwa tu wala asijadiliwe. Asante sana.
 
Naona kama ccm wameanza kufanikiwa kuwagawanya wadanganyika kwa hoja ya udini kwa vile
1. Tofauti ya Zitto na Chadema inajengewa hoja ya ukristo na uislamu zaidi kuliko kujadili issue ndani ya chama
2. Dr Slaa kugombea uraisi inaonekana alikuwa na sera ya kueneza ukristo na hivyo hawafai watanzania.
Kama hili litafanikiwa CCM chelea pina watatawala mpaka karne ya 22
 
tatizo la baadhi ya waislam wanaona kama kumpinga kikwete ni kuupinga uislam wakati mkapa alisakamwa zaidi yake na wla hisia za kidini hazikuwepo,watu wanaichukia ccm either rais awe mkristo au muislam...na hawaipendwi kwa sababu ya ufisadi wake..acheni upuuzi wa kfikiria dini kuliko taifa wakati dini zenyewe tuliletewa na watu weupe kutoka mashriki ya kati na ulaya tukaacha dini zetu...AMKA!!UMELALA
 

Nimekukubali kwa hilo,heshima kwako na ubarikiwe kwa kila jambo lako lolote utalofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…