MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wala nisiwafiche baada ya kuona Watu wa Yanga SC ( tena kutokea GSM ) ambao KEROZENE siwapendi na nawachukia ndiyo wamepewa Kipaumbele kwa Maandalizi ya Taifa Stars nimeuza Siri zote za Kambi ya Taifa Stars na Alhamisi Tanzania ikishinda ni Sare ila Kufungwa ni kama Israeli na Roho ya Binadamu.
Kuna Tukio Kubwa litatokea Siku ya Alhamisi ama kabla au mechi ikiendelea ila mlivumilie tu kwani ndiyo mtajua kuwa Wakongo kwa Uchawi Afrika wao ndiyo Walimu na kwamba tupo Watanzania tunaochukia Timu yetu ya Taifa ( Taifa Stars ) kufanywa ni ya Kisiasa zaidi na Ng'ombe kulazimishwa Kunenepa Siku ya Mnada.
Kila Ia Kheri Congo DR na Madagascar!!