funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Kwa muktadha wa katiba maswala ya kidemokrasia yamewekewa utaratibu katika katiba.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaweka wazi namna maswala ya demokrasia yanavyotakiwa kuenendwa.
Katiba yetu nzuri na hai inataja wazi katika ibara 146 (2) c.
_________________________________________________________________
shughuli zifuatazo -
(a) Kutekeleza kazi za Serikali za Mitaa katika eneo
lake;
(b) Kuhakikisha utekelezaji wa sheria na ulinzi wa
wananchi; na
#(c) Kuimarisha demokrasi katika eneo lake na kuitumia
demokrasi kuharakisha maendeleo ya wananchi.#
hapa tunaona wazi kuwa kazi ya kuimarisha demokrasia sio kazi ya mwanasiasa au mwanaharakati au chama cha siasa bali ni kazi ya chombo kinachoitwa serikali ya mtaa.
sioni mandate ya wanaojiita wanaharakati kupitia NGOs au vyama vya kitaaluma vinajiingizaje kwenye jukumu la kikatiba la mwananchi wa Pandagichiza!!??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!