Watanzania tusitegemee msaada wowote wa JWTZ siku ya D9

Mlimdanganya mama yenu asiwe na wasiwasi hao ni keyboard Worrious hawatatoka, mnarudia tena kosa lile lile.

Mnampa presha bure mama yenu hadi kaogopa kutoka kuja kuwashukuru wapiga kura wake.
Mbona tayari ameshamshukuru Jaji Mwambegele. Huyo ndio aliempa 98%.
 
Raia tulifanya kazi yetu vizuri sana. JE ndiyo Bata
 
Gari zao zikionekana siku hiyo na zenyewe chomeni tu moto. Snitch hao.
 
Jwtz wana safari ndefu sana kwa sasa Ivi mpaka kufanya Iman yao irudi tena kwa wananchi wao
Nchi ikikombolewa jeshi lote la jwtz livunjwe na vijana wazalendo wapewe kazi.
 
Sitegemei nyumbu kudanganyika tena na nyinyi keyboard warriors. Hatujaona hata mmoja aliyepigwa risasi au hata kukamatwa kati yenu wapiga story wa humu JF. Acheni kuwadanganya watoto wa watu wamesamehewa sitegemei tena wakasikiliza utoporo wenu.

Muulize mama yako mwenye matiti makubwa na mashavu kama amebugia vyura kwanini anaishi shimoni kama panya?
 
Muulize mama yako mwenye matiti makubwa na mashavu kama amebugia vyura kwanini anaishi shimoni kama panya?
Kwani wewe uko wapi? Unaliwa kiboga tu na mabeberu ukiendelea kubeba mabox.
 
Hasira za kupoteza dola zinakutessa. Mlifikiri mtafanya upuuzi kwenye uchaguzi kisha watanzania watasahau sasa imekuwa kinyume chake.

Huko nje pia mnapigwa spana kila kona kwa ushetani wenu na mtaanyokaa tu safari hii.
Wewe ni Mwalimu halafu unakuwa nyumbu!!? Unategemea hao mabeberu watakusaidia upindue nchi na ubaki salama!!?
 
Leo balozi wenu alienda kwenye bunge la EU na barua ya uchumba analia eti katumwa na rais Samia wakamwambia hatumtambui huyo Samia. Go away.
Propaganda tu hizo kwenye dipromasia hakuna majibu ya kihuni hivyo unafikiri kuna unyumbu kule!!?🤣
 
Jwtz wanalipwa na ccm, na anauekulipa ndiye anasmua ucheze ngoma gani.

Wananchi hili letu utegemezi hsutaleta ukombozi kwa taifa hili.

Tutoke tuyachape ma ccm na mapolisi yao mpaka yaondoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…