Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

Mkuu authorative uliotaka iwe ni ya policcm. Hao ndio hawaaminiki kabisa sababu walizotoa na kesi bandia wliombamkikiza hata mtoto mdogo hawezi kuikubali. Mkuu hata wewe ndani ya moyo wako ukiondoa unafiki unajua kuwa sio kweli. Yaani Mkuu una doubts na uchambuzi was Prof wa Democracy university of Birmingham na aliishakuwa mkurugenzi wa African studies centre Oxford university. Lakini unataka tukumbatie maelezo ya wasakatonge.
 
Uongo uko wapi hapo? Au unakataa kwamba yeye sio Mkuu wa Majeshi ikiwemo Polisi? Je wanaweza kufanya chochote kwa maamuzi yao wenyewe?
 
Wewe hujaacha habar za udaku
 
Mkuu utabezwa ila Mkuu usemacho ni sahihi. Usichoke kuelimisha hiki kizazi kilichosemwa na Yohana kua ni kizazi cha Nyoka
 
Please Kaka can you stop this language kuwaita developing partners Mabeberu! Inaelekea you have a biggest problem in your mindset that's JPM akapiga chini swali lako, By then tulikuona unauliza jambo la maana! Don't know what happened to you how dare are you can address wazungu ni Mabeberu!I solely feel ashamed on your behalf
 
Waambie na TBC waache kutangaza International news.. huna akili wewe
 

Kuna kitu nadhani hujakigundua. CNN hawakutafuta hiyo habari bali wao ndio walitafutwa kupewa hiyo habari. Kusema CNN iliitafuta hiyo habari ni sawa na kusema mamluki Robert Amsterdam alimtafuta Lissu.

Lissu anaposema, “...mapambano tutayaendesha ndani na nje ya Tanzania...” anamaanisha style hiyo ya mapambano. Hiyo ndiyo CDM ya Mbowe na Lissu, bhana!
 
Beberu haliwezi kugeuka kuwa jitu jema,linaangalia fursa ulizokuwa nazo likunyonye tu,halina urafiki na wewe
Mawazo kama haya yanakufanya uwe masikini, watu wenye uwezo kimaisha huwezi kuta wana misamiati kama hii, ok kwanini wewe usiende na kulinyonya hilo beberu? Ukiwa na mawazo kama haya jua wewe bado ni mjima
 
Mawazo kama haya yanakufanya uwe masikini, watu wenye uwezo kimaisha huwezi kuta wana misamiati kama hii, ok kwanini wewe usiende na kulinyonya hilo beberu? Ukiwa na mawazo kama haya jua wewe bado ni mjima
Hayo ni mawazo yako tu,unafikiri nina njaa eeeh?,ukweli ni kwamba beberu hawezi kuwa na jambo jema kwangu,eleweni hivyo tu mliokuwa brainwashed na mabeberu
 
MAYALA/NJAA ZITAKUUMIZA
 
Hayo ni mawazo yako tu,unafikiri nina njaa eeeh?,ukweli ni kwamba beberu hawezi kuwa na jambo jema kwangu,eleweni hivyo tu mliokuwa brainwashed na mabeberu
Sasa mimi nakuwa brainwashed vp na beberu, wew ndiye uko brainwashed na ujima/enzi za Nyerere. Kila mmoja lazima aangalie maslai yake. Sasa unataka beberu akupende kwani wew ni mke wake? Jua hata mimi mtanzania/mwafrika wenzio pia sikupendi kama sioni maslai yangu kwako. Mungu tu ndiye atakupenda bila maslai japo sina uhakika pia.
 
teh teh teh teh,beberu uchwara linang'aka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…