Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

Binafsi kwa sehemu fulani nakubaliana na wewe kwenye hili, Based on my assessment ya UN trip na mengineyo-Kuna kitu hakijaenda sawa kwenye diplomatic world hasa kuhusiana na hii kesi ya Mbowe and etc. na Mama lazima ameshaelewa repercussion ya baadhi ya mambo kiundani.Going foward kuwa watu hawatakuwa na ajira to save the country though itachukua muda,Mbowe's case itaangaliwa kwa upande mwingine kama ulivyosema pamoja na haki za makundi mbalimbali zitakuwa improved.
 
Paskali, hivi mamlaka unayotaka iulizwe itatoa jibu la kweli? Mamlaka ilisema Mbowe alikimbia nchi na mamlaka ikasema wenzake walikamatwa na tayari walihukumiwa! Mwisho mamlaka ikathibitisha kuwa Mbowe alitenda kosa na yeye akiwa mkristu akane! Hukumu tayari.
Unasemaje kuhusu hayo yaliyosemwa na mamlaka, kama ndiyo ukweli tukubaliane hakuna sababu mamlaka kumfikisha Mbowe mahakamani, anatakiwa aende jela.
 
Pascal una akili zako kama zilivyokuwa kabla ya kutetemeshwa na Jiwe na Ndugai. Sasa njaa inakupeleka puta, lkn unajua fika unachokifanya and for what ,maana mimi naamini unaju fika kuwa nchi hii ni takataka in all aspects of human rights and for sure you know who is behind Mbowe's arrest and torture. Unajua fika kuwa ni Chief Hengaya??? (wrong spelling may be). Unajua fika ila ndio unafiki wa CCM ingawa for sure wewe siyo CCM unatafuta mkate wako . You still have hope for a nomination.......
 
Mkuu huyo jamaa ni mchumia tumbo. Yuko busy kuhaha huku na kule ili kuganga njaa zake. Huwa anakurupuka humu kuandika ujinga wake bila hata ya kufanya utafiti wa kina matokeo yake hapa jamvini na mtaani amedharaulika sana.

 
All this is rubbish geared for a nomination from Samia
 
Sema CNN ni chombo cha wafadhili! Sio chombo cha mabeberu
 
Sema CNN ni chombo cha wafadhili! Sio chombo cha mabeberu
Nchi wafadhili ni pale wanapotufadhili, nchi marafiki ni pale wanapoungana na sisi, development partners ni pale wanapochangia maendeleo, ila mabeberu, pia ndio hao hao wanapotufanyia ubeberu.
P
 
Let’s wait and see.

Definition of nolle prosequi​


: an entry on the record of a legal action denoting that the prosecutor or plaintiff will proceed no further in an action or suit either as a whole or as to some count or as to one or more of several defendants

Examples of nolle prosequi in a Sentence​

Recent Examples on the WebThat procedural move was to have been followed by prosecutors dropping the matter, officially known as a nolle prosequi.— Adrian Walker, BostonGlobe.com, 28 Jan. 2020 Murder case ends On March 3, a judge granted a nolle prosequi request by prosecutors to dismiss the murder charges against Fotis Dulos, ending that criminal case.— Emily Shapiro, ABC News, 4 Mar. 2020

Wait and see, utaniambia, Nolle on the way.
P
 
Huyo mama alibariki kukamatwa kwa Mbowe akiamini ingemsaidia apumue kutokana na shinikizo la katiba mpya lakini hatua yake hiyo itakuja kuwa "Situational Irony".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…