Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

Pscal si kweli, tunathamini vya kwetu sana... mbona ulipouliza swali la akili sana kila mmoja applauded you
Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.

Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.

Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.
Do you believe this?.
P
 
Vuguvugu la katiba nakubali kuwa ndiyo chanzo cha Mbowe kukamatwa, ila la tozo hapana. Tozo zimekuja juzi Mbowe yuko ndani...
Authoritative source unaipata wapi katika mazigira ya uhuru wa habari Tanzania?
Mwisho , kwa matamshi ya Samia kuhusu Mbowe,ni dhahiri kuna amri toka kwake akamatwe. Inakuwaje dunia nzima (may be ukiacha China na Russia) iko upande wa Mbowe? Wote ni "washenzi" wa kushabikia ugaid?
 
Tanzania tuwe makini sana kwa kila jambo tufanyalo......Ghadafi alikkuwepo na akawa anapingana na hao watu tunawaita MABEBERU ila alichokipata kila mtu aliona na wakaribu kabisaa nchi nzima....So watanzania tusije kujifanya wajanja na tunajuwa kila kitu hao mabeberu ndio wanaongoza kila kitu kwenye hii dunia....Wanaona kila kitu MBOWE anafanyiwa...Watakuja kutuvuruga na kuaribu nchi nzima....
 
CNN hawajawahi kuokoteza, wewe na wenzako wa elimu ya kuunga unga ndio maokoteza... Unategemea Amanpour aokoteze?
CNN ni chombo cha propaganda vile vile na wapo bias sana, mfano halisi ni wakati wa uchaguzi huko states.
 
Pascal wewe ni Msomi, kutumia neno BEBERU ni ubaguzi na matusi, unakuwa umeichafua sifa yako, tumia maneni yenye staha
 
Pascal usicheze na teknolojia, huwezi fahamu labda tulishadukuliwa kwenye maongezi kupitia kwenye mitandao ndio maana wakasema hivyo.
 

Mkuu hata sisi wengine tuwe na hadhari hiyo?
 
Pascal wewe ni Msomi, kutumia neno BEBERU ni ubaguzi na matusi, unakuwa umeichafua sifa yako, tumia maneni yenye staha
Beberu ni neno tuu, pale wanapotusaidia, ni watu wema kwetu na tunawaita majina mazuri. The donor community, development partners, friendly countries, nchi wafadhili, nchi wahisani, wadau wa maendeleo, ila wanapotutenda maovu ndio wanakuwa mabeberu. Mimi ni muumini wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, na muumini wa falsafa ya Uumajumui wa Pan Africanism, beberu ni beberu tuu, na ubeberu ni imperialism.
P
 
Kuna uzi huko mtu mmoja amekuomba msaha alikutngia uongo kuhusu kabendera
 
Ungekuwa na mshipa wa aibu,Wala usingeandika huu upuuzi!Kwa statements alizokwishatoa Samia,ni wazi ana personal agenda na Mbowe!
 
Kwani hujamsikia bi mkubwa juzi kwamba FAM kamvunjia heshima...ila anaweza kumsamehe akitubu??
 
Siku nikiwa rais nitapiga marafuku media yoyote ya nje inayoitukana africa naanza na cnn na kesngine karedio ka vibonzo
 
Kaza mwendo,ukivuka Jordan utakuwa umeingia nchi ya maziwa na asali
SIYO VIBAYA KUTAFUTA RIZIKI YA WATOTO KWA KUJIPAMBANUA HADHARANI,KAMA WALE KINA DADA KULE OHIO

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Bwana pascal Mayala bado unaamini kwenye hili andiko lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…