Watanzania tuwe makini tunapojadili mustakabali wa Taifa letu, tusiruhusu hisia mbaya zitutawale

Hii imeonekena kwenye awamu ya huyu kafiri lakini miaka yote tulikua sawa
Hebu jaribuni kufuatilia history ya Uhuru kuanzia TAAA hadi TANU waislamu wangapi waliikuwepo kwenye harakati
Tuwekee list ya baraza la mawaziri wa JKN, Mzee Mwinyi na Jakaya ndio tupime huo uongo wako.
 
Mmepeleka wabunge ambao hawajasoma!!! Unategemeaje awe Waziri??

Hahahahaaa......
 
We jamaa ni mjinga sana Mungu akurehemu
 
Tuwekee list ya baraza la mawaziri wa JKN, Mzee Mwinyi na Jakaya ndio tupime huo uongo wako.
Wakati wa mwinyi waislamu walikua serikalini 24%
Wakati wa mkapa waislamu tulikua serikalini 27%--30%
Wakati wa jakaya tulikua 36%--38%
Huyu kafiri kipindi cha kwanza katushusha waislamu mpaka 18%
Kipindi hiki waislamu tumebaki3. 5% pekee
Ukweli mtamu Magufuli anaonyesha chuki dhahiri kwa waislamu na wachaga
Actions speaks louder than words
Kujua ukweli tafuta waraka wa sh Ponda
 
Mbona huweki list bro, ushahidi ni muhimu sana unapotoa tuhuma.
 

Ukishaingia madarakani kwa kumwaga damu na wizi wa kura, lazima mambo yako uyafanye kwa kujali ukabila na Udini. Lakini kama angekuwa ameshinda kihalali, lazima angeteua kwa usawa.
 
Perhaps kuwa muislam Ni laana! Waislam wengi ni vilaza hawana uwezo. Pili wavivu na tatu wabishi mnoo. No wonder wametemwa.They are delicate, tough works hawaziwezi
Huo ni uongo wa kuhalalisha hujuma. Mimi nawajua waislamu wengi wasomi na wachapakazi.
 
Ukishaingia madarakani kwa kumwaga damu na wizi wa kura, lazima mambo yako uyafanye kwa kujali ukabila na Udini. Lakini kama angekuwa ameshinda kihalali, lazima angeteua kwa usawa.
Mh,lini ulishasema Ccm imeshinda kihalali? Umesahau 2015? Haya ya udini na ukabila tokea awamu ya kwanza yalikuwepo,ondoa hisia potovu we kijana.
 
Mh,lini ulishasema Ccm imeshinda kihalali? Umesahau 2015? Haya ya udini na ukabila tokea awamu ya kwanza yalikuwepo,ondoa hisia potovu we kijana.

Nasema hivi, ukimwaga damu na wizi wa kura, ukabila na Udini ndio muongozo wako kwenye teuzi fullstop.
 
List ipo online
Sasa wewe unaamini waislamu miaka yote tulikua watatu tu wizarani?
Kwenye hili baraza niambie waislamu ni wangapi? Na uzuri Jakaya alikuwa muislamu. Mbona tunapenda kuchochea chuki za kidini?
 
Nasema hivi, ukimwaga damu na wizi wa kura, ukabila na Udini ndio muongozo wako kwenye teuzi fullstop.
Hivi ulidhani ni lazima watanzania wachague wabunge wa Chadema? Kilio chako ni kukosa ubunge na udiwani plus ruzuku. Utalia mpaka lini?
 
Tatizo limeanzia humo ndani mwenu. Kukiwa na chama, kikundi, au jamii fulani na kikaonekana ni tishio kwenu. Hua hamuachi kukimbilia udini, ukanda na hata ukabila. Huu udhaifu umo ndani ya nyumba.

Mfano tulikukuwa na
1. Nccr, kikaitwa cha kikabila
2. Cuf, kikaitwa cha kidini
3. Cdm , mnalazimisha kiwe sijui cha kikanda. Sasa ukiyayafanya haya kwa wapinzani wako . Ujue na wewe watu wanakuangalia unafanya nini ?!
 
Jaduong unaweza kusema Ccm ina udini,ukabila au ukanda? Cdm inajulikana kabisa ilikuwa ya kikanda. Na ndio maana hata kushindwa imekuwa rahisi, maana ukiua kanda ya kaskazini na Tarime unamaliza kila kitu.
 
Jitu linapoteza muda na kuhadaa kwamba inafanya VETTING kumbe linajaza wakatoriki wenzie na wasukuma kwenye baraza??? Jitu limeshindwa hata kukumbuka kwamba kuna nchi mbiya tunayoitawala huko zanzibar na uwape hata kamfupa??? Anashindwa hata kutengeneza ratio ya kawaida??? Pathetic
 
Mawazo hayo yanatoka kwako na kwanini leo?kama una maanisha kutoka moyoni ni vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…