Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Wewe una chuki binafsi kaa nazo tu moyoni kwako zitakusaidia...hakuna KIONGOZI wa kuwaunganisha waTz.
..Magufuli is very DIVISIVE na kiongozi atakayemfuatia atakuwa na kazi kubwa ya kurudisha umoja na mshikamano miongoni mwa waTz.
..Nchi inahitaji kiongozi mwenye maono ya kuongoza Tz iliyo na demokrasia ya vyama vingi.
Mh.. Sasa hii inahusiana vipi na hii Covid -19 pandemic? Au umemix na K vant!Jiwe kama angekuwa na akili angekaa mhula mmoja tu halafu akajiuzulu
Uharibifu alioufanya kwenye hili taifa ni beyond repair
Vikundi vya wasiojulikana vinapatrol miji na vijiji katika Jamhuri hii
Wabunge wanapigwa risasi mchana kweupe na kunyang'anywa ubunge hadharani
Haijawahi kutokea kwa Raisi yoyote aliepita kwa hiyo Nchi imemshinda
Wewe una chuki binafsi kaa nazo tu moyoni kwako zitakusaidia.
Chama tawala kimekutenga ili mbele ya safari kijipe credit ya kuishinda Corona endapo kitafanikiwa, sasa wewe utafanyaje? Tangu mwanzo wapinzani hawashirikishwi kama wanavyoshirikishwa viongozi wa dini, badala yake wanaitwa Corona mara ooh Mbowe ana Corona! Wanafurahia pamoja na wewe mnafiki.Ndugu zangu natoa hii rai kwa wananchi wote wa Tanzania huu ndio wakati wa kuwa na mshikamano wa pamoja, nasema hivi sababu tayari ni dhahiri kuwa Corona irus yupo ndani ya jamii yetu.
Kama kuna reported cases mpya 14 na zote ni zimetokea ndani ya nchi yetu basi ni wakati muafaka wa kuweka siasa kando na kupambana na hili janga kwa pamoja.
Tujifunze kwa wenzetu ambao pamoja na kuwa ni nchi tajiri na zimeendelea kwa kila namna huu ugonjwa umewavuruga kwa kila namna, fikiria nchi kama Usa au Uk inafikia kuwa na upungufu wa vifaa vya kukinga hata manesi na madaktari! Uchumi wa dunia nzima unaporomoka kama theluji inayoyeyuka.
Nashangaa sana pale mtu anapokuwa sio mfuasi wa chama tawala anapofurahia ati nchi yake wagonjwa wa Covidi -19 kuongezeka.
Unajua hili ni janga ambalo litamkuta nani? Ni ugonjwa ambao hauna tiba wala chanjo. Fikiria maisha yetu hapa Tanzania kama ikitokea mlipuko mkubwa tutaweza kukabilana na huu ugonjwa?
Tusilete ushabiki wa vyama vya siasa juu ya hili janga. Tupambane wote kama Taifa moja. Tupambane na hili janga kwa kuzingatia uzalendo na mapenzi ya nchi yetu. Tujipime kwa ufasaja je ni njia gani ambayo itatuepusha na hili janga kama taifa maskini? Total lockdown? Partial? Au kuzingatia usafi na umakini?
Nimeangalia CNN kwa mfano jimbo kama Arkansas nchini USA hawajafanya total lockdown kama New York na New Jersey na hoja yao kubwa na ni kuwa jimbo lao halina mrundikano wa watu sehemu moja kama New York.Na mpaka sasa wana vifo kama 25. (Natoa mfano tu)
Kwa hapa Tanzania kwa Jiji kama Dar es Salaam total lock down inawezekana? Partial lockdown inawezekana? Je, social distancing inawezekana? Kwa social distancing jibu ni hapana hata kwa macho. Maana hata uweke mpango wa level sitting huwezi dhibiti huu ugonjwa sababu unaambukizwa kwa chafya na kutoa mate yenye maambukizi. Maana kama kuna mtu anao akipiga chafya lazima asambaze ndani ya gari.
Kwa mujibu wa CDC ya Marekani, social distancing ndio suluhisho la huu ugonjwa, hauna tiba wala chanjo. Hivyo kama watanzania tujifunze kukabiliana na huu ugonjwa kwa umoja. Tuache siasa na ushabiki. Nashangaa sana bado hili suala la kukaa mbali hata mita 1.5 watu hawalizingatii.
Maada ni Corona,mbona hujaigusia!?Jiwe kama angekuwa na akili angekaa mhula mmoja tu halafu akajiuzulu
Uharibifu alioufanya kwenye hili taifa ni beyond repair
Vikundi vya wasiojulikana vinapatrol miji na vijiji katika Jamhuri hii
Wabunge wanapigwa risasi mchana kweupe na kunyang'anywa ubunge hadharani
Haijawahi kutokea kwa Raisi yoyote aliepita, kwa hiyo Nchi imemshinda.
Itakua labda ana Chingiri kichwani Midaa hii!Mh.. Sasa hii inahusiana vipi na hii Covid -19 pandemic? Au umemix na K vant!
Sawa lakini ni nani anayetakiwa kuunganisha wananchi?Ndugu zangu natoa hii rai kwa wananchi wote wa Tanzania huu ndio wakati wa kuwa na mshikamano wa pamoja, nasema hivi sababu tayari ni dhahiri kuwa Corona irus yupo ndani ya jamii yetu.
Kama kuna reported cases mpya 14 na zote ni zimetokea ndani ya nchi yetu basi ni wakati muafaka wa kuweka siasa kando na kupambana na hili janga kwa pamoja.
Tujifunze kwa wenzetu ambao pamoja na kuwa ni nchi tajiri na zimeendelea kwa kila namna huu ugonjwa umewavuruga kwa kila namna, fikiria nchi kama Usa au Uk inafikia kuwa na upungufu wa vifaa vya kukinga hata manesi na madaktari! Uchumi wa dunia nzima unaporomoka kama theluji inayoyeyuka.
Nashangaa sana pale mtu anapokuwa sio mfuasi wa chama tawala anapofurahia ati nchi yake wagonjwa wa Covidi -19 kuongezeka.
Unajua hili ni janga ambalo litamkuta nani? Ni ugonjwa ambao hauna tiba wala chanjo. Fikiria maisha yetu hapa Tanzania kama ikitokea mlipuko mkubwa tutaweza kukabilana na huu ugonjwa?
Tusilete ushabiki wa vyama vya siasa juu ya hili janga. Tupambane wote kama Taifa moja. Tupambane na hili janga kwa kuzingatia uzalendo na mapenzi ya nchi yetu. Tujipime kwa ufasaja je ni njia gani ambayo itatuepusha na hili janga kama taifa maskini? Total lockdown? Partial? Au kuzingatia usafi na umakini?
Nimeangalia CNN kwa mfano jimbo kama Arkansas nchini USA hawajafanya total lockdown kama New York na New Jersey na hoja yao kubwa na ni kuwa jimbo lao halina mrundikano wa watu sehemu moja kama New York.Na mpaka sasa wana vifo kama 25. (Natoa mfano tu)
Kwa hapa Tanzania kwa Jiji kama Dar es Salaam total lock down inawezekana? Partial lockdown inawezekana? Je, social distancing inawezekana? Kwa social distancing jibu ni hapana hata kwa macho. Maana hata uweke mpango wa level sitting huwezi dhibiti huu ugonjwa sababu unaambukizwa kwa chafya na kutoa mate yenye maambukizi. Maana kama kuna mtu anao akipiga chafya lazima asambaze ndani ya gari.
Kwa mujibu wa CDC ya Marekani, social distancing ndio suluhisho la huu ugonjwa, hauna tiba wala chanjo. Hivyo kama watanzania tujifunze kukabiliana na huu ugonjwa kwa umoja. Tuache siasa na ushabiki. Nashangaa sana bado hili suala la kukaa mbali hata mita 1.5 watu hawalizingatii.
Sisi wananchi tunatakiwa tushikamane kwa pamoja. Kuhusu kukataa ushauri sidhani kama kuna mtu anakataa ushauri.Sawa lakini ni nani anayetakiwa kuunganisha wananchi?
Nani anaekataa ushauri kisiasa kiuchumi na kikatiba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi niulize, kwani umoja wa ccm hautoshi kupambana na hii Corona?Sisi wananchi tunatakiwa tushikamane kwa pamoja. Kuhusu kukataa ushauri sidhani kama kuna mtu anakataa ushauri.
Wewe sio mtanzania,kaa kimya watanzania hawana hulka kama yako. Unaweza ukawa jambazi la kisomaliHivi niulize, kwani umoja wa ccm hautoshi kupambana na hii Corona?
Sent using Jamii Forums mobile app