Ni mchosho tuu.. Anapigia debe muendelezo wa mambo yale yale ya ccm ya miaka nenda rudi. Hataki wananchi wajinasue utumwaniAliyeisoma tafadhali naomba atufupishie kwa neno moja au mawili.
Tunaenda kumchagua Tundu Antiphas Lissu kwa ajili ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Hatutaki tena kupigwa risasi, kutekwa na kubsmbikiwa makesi!Habari za muda huu ndugu wanabodi wenzangu? Leo nimerudi tena baada ya takribani siku kadha zilizopita kuwa na majukumu mengine na hasa ya kiuchumi pamoja na ya kisiasa...
Nimesoma title tu. Hivi ni uhuru gani unaouzungumzia chini ya CCM? Labda Uhuru wa Viongozi na sio wananchi.
Ha ha ha... Mkuu, em agiza chochote nakuja kulipa huko huko!Tumechoka na ujinga. Kura zote kwa Lissu.
Mnatapatapa, mpaka mnaongea na kudandia sera za CDMHabari za muda huu ndugu wanabodi wenzangu? Leo nimerudi tena baada ya takribani siku kadha zilizopita kuwa na majukumu mengine na hasa ya kiuchumi pamoja na ya kisiasa...
Ngonjera hizi wapelekee mbumbumbu sio Watanzania wa leo waliokwisha fumbuka macho. Unasema uongozi haujaribiwi. Je mtu hajawhi kuwa kiongozi ina maana hatakua kiongozi milele? Chama hakijawahi kuongoza serikali, hakitaongoza milele? Munataka muwaaminishe watu ccm itatawala milele? 2015 mliparangana kwny ccm yenu mkatuletea hili jaribio (magufuli) matokeo yake ndo haya.Habari za muda huu ndugu wanabodi wenzangu? Leo nimerudi tena baada ya takribani siku kadha zilizopita kuwa na majukumu mengine na hasa ya kiuchumi pamoja na ya kisiasa...
Six moth:Amani gani yakuteka watu watukuwekwa kwenye viroba kutufilisi wavuvi hiyo unaita amani hii amani bandia hatutaki amani bandia tunataka mtu ayahemu mawazo na malizetu
Hakika ndugu, Mimi ni masikini wa kuamini katika siasa mbovu zenye kuwagawa watu. Utajiri wangu umeegemea katika Imani yangu juu ya kufanya kazi katika amani na utulivu.Bila shaka utakua maskini wewe maana maskini kitu wanaogopa namba moja ni “Change”
Siasa zenye kugawa watu? Za magufuli? Kua maskini wa vitu na maskini wa akili pia ni mzigo sana, nakupa pole sana. Jiwe limewabrainwash mnaamini kila mtu ambaye hampendi ni mleta vurugu, ngoja niongeze ignore list tu sina muda na vilazaHakika ndugu, Mimi ni masikini wa kuamini katika siasa mbovu zenye kuwagawa watu. Utajiri wangu umeegemea katika Imani yangu juu ya kufanya kazi katika amani na utulivu.
Plato aliwahi kutoa ushauri wake katika kitabu chake cha Republic. Kwamba, kazi ya uongozi itakuwa nzuri kwa wanaoongozwa ikiwa kiongozi ni mwanafalsafa. Kwa kuwa wanafalsafa wanaweza kuongozea kwa uzuri sana. Lakini kwa bahati mbaya wanafalsafa wengi hawependi kuongoza.Mbona ye mwenyewe alisema amesukumiziwa tu?
Kuwaletea watu maendeleo sio lazima uwaue sasa ukiwamaliza utaongoza kina nani.Jiwe alikuwa hajawahi kuwa hata kiranja wa darasa, hata wa chekechea, leo eti ni Rais......
Tunawataka Ben, Azory, Mawazo, Akwilina and many others...... hatusikii lolote katu
Nimejitahidi kukuelewa kiasi. Ni kweli waafrika ni waoga wa mabadiriko, ni kwa sababu hawajayajua hasa yanalengo gani kwao maana ni msamiati mpya.Masikini wa frika na muoga wa mabadiriko. Alafu kuna watoto wanakuita baba!
Watu wa Lumumba wanatambua msingi wa Haki ni usawa kwanza na kisha ndio amani ya nchi. Itakuchukua miaka mingi sana kukubaliana na hili.Nilipoona heading imekosa neno "HAKI" nikajua tu hii ni rubbish kutoka viunga vya lumumba.
Ndio uchaguzi mkuu wa kwanza wapinzani hawana tena sera zaidi ya kauli mbiu, ambazo zilitumiwa miaka ya 1960's hahahahaha.Chagua : Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu