The Giantist
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 214
- 86
- Thread starter
-
- #41
Jifunze kuwa mkweli na uache tabia ya kughushi vyeti. Nenda darasani kasome, upimwe kwa mitihani kisha ufaulu ndio Sasa upate cheti na ukaajriwe. Tabia ya kitonga hakibaliki mpaka mbinguni. Wajibika kwanza na kisha hiyo iwajibike kwako. Kinyume chake ni uhuni kwa jina la Haki na Uhuru.Kwa kweli tumejaribu kwa miaka 5 tumeona hasara yake,
Comments reservedHabari za muda huu ndugu wanabodi wenzangu? Leo nimerudi tena baada ya takribani siku kadha zilizopita kuwa na majukumu mengine na hasa ya kiuchumi pamoja na ya kisiasa...
Zile nyumba zimejengwa kwa kutambua thamani ya mchango wao wakati wa uongozi wao. Ni kama vile ilivyojengwa nyumba ya Baba wa Taifa ya msasani na Butiama, kwa fedha za serikali. Na hiyo haitaathiri mwenendo wa wewe kuacha kulipa Kodi na kutokufanya kazi. Fanya kazi lips Kodi ili kesho kesho kutwa serikali itambue mchango wako nawe ujengewe nyumba. Kumbuka habari za Mzee Jumanne Ngoma na Milioni 100!Amani ili waendelee kugawana na kujijengea mahekalu kwa damu na jasho la Mwananchi?!
Ulafi wizi na uporaji tu huo..
Lakini alikuwa waziri tangu 1995 mpaka 2015 mwaka ambao watanzania walimchagua kuwa Rais wa nchi.Jiwe alikuwa hajawahi kuwa hata kiranja wa darasa, hata wa chekechea, leo eti ni Rais......
Tunawataka Ben, Azory, Mawazo, Akwilina and many others...... hatusikii lolote katu
Habari za muda huu ndugu wanabodi wenzangu? Leo nimerudi tena baada ya takribani siku kadha zilizopita kuwa na majukumu mengine na hasa ya kiuchumi pamoja na ya kisiasa...
Suala si hao ndio wabakie madarakani pekee. Suala ni kuwepo kwa amani na utulivu nchini. Kama katika jopo la wagombea uongozi yupo mmoja ambaye atatuhakikishia amani na utulivu nchini haijilishi aliwahi kuwa kiongozi ama la, huyo ndiye atatufaa hasa. Wengine hao wakajaribu kugombea uongozi kwenye mabaa huko.Kwa hiyo kwa mawazo yako walioko madarakani wabakie milele? Hao wenyewe waliingia je? Labda angebakia mkoloni tu aliyekuwapo kabla yao?
Justice for Azory , Ben Saanane!!!! Hawa wana Mkono wa MTU FULANI.Jiwe alikuwa hajawahi kuwa hata kiranja wa darasa, hata wa chekechea, leo eti ni Rais......
Tunawataka Ben, Azory, Mawazo, Akwilina and many others...... hatusikii lolote katu
Usije ukatuambia hata manabii walifanikiwa kwa sababu walikuwa kwenye kipindi cha Giza, hahahahahaha.Kagame amewadanganya Sana eti ukiuwa, ukiteka, ukibambika, ukifungia media, ukiwasomesha watu namba utaweza kuwacontrol, hata Nyerere asingekiweza kizazi cha sasa. Aliweza zama za Giza kucontrol watu na sio hiki cha global vision
Mlisema magu amewafanyia watanzania mambo makubwa sana kuliko raisi yoyote, hivyo atapata kura nyingi hamna haja ya kutumia nguvu kubwa, na upinzani Tanzania ulikwisha kufa.Habari za muda huu ndugu wanabodi wenzangu? Leo nimerudi tena baada ya takribani siku kadha zilizopita kuwa na majukumu mengine na hasa ya kiuchumi pamoja na ya kisiasa...
Huyo mgombea wenu mtamchagua wenyewe!!
Hata sasa tunaendelea kusema kuwa nguvu ya shetani haizidi nguvu za Mungu, lakini hatujaacha kukesha kuhubiri juu ya sifa na ukuu wa Mungu. Vivyo hivyo hatutaacha kukesha kuyasema mazuri ya Rais Magufuli, John Pombe dhidi ya Vibaraka wa watu fulani fulani.Mlisema magu amewafanyia watanzania mambo makubwa sana kuliko raisi yoyote, hivyo atapata kura nyingi hamna haja ya kutumia nguvu kubwa, na upinzani Tanzania ulikwisha kufa.
Kulikoni tena mnakosa usingizi?
Kubadili chama sio dhambi nchi zote zilishabadili vyama vyao thus zimeendelea.Nchi sio chama nchi Ni katiba chama chochote chaweza kuongoza nchi kinapoaminiwa na wengi.ccm haina hati miliki ya kuongoza nchiWatz kwa pamoja tumeshaamua kuwajaribu chadema na lissu, msimamo wetu ni huo wala hatuyumbishwi kura zetu zote ni kwa lissu tu!
Ni kweli kuwa wewe na wenzako ninshemu ya watanzania ambao mmeamua kuwajaribu wakina Lissu na CHADEMA. Lakini huna budi kufahamu kuwa amani na utulivu katika nchi huletwa na walio wengi. Watanzania walio wengi kwa idadi wataenda kumpa Rais John Pombe Magufuli miaka mitano Tena ya uongozi.Watz kwa pamoja tumeshaamua kuwajaribu chadema na lissu, msimamo wetu ni huo wala hatuyumbishwi kura zetu zote ni kwa lissu tu!
Haya tunasubiri wakujengee wewe hayo mahekalu kama yao!Zile nyumba zimejengwa kwa kutambua thamani ya mchango wao wakati wa uongozi wao. Ni kama vile ilivyojengwa nyumba ya Baba wa Taifa ya msasani na Butiama, kwa fedha za serikali. Na hiyo haitaathiri mwenendo wa wewe kuacha kulipa Kodi na kutokufanya kazi. Fanya kazi lips Kodi ili kesho kesho kutwa serikali itambue mchango wako nawe ujengewe nyumba. Kumbuka habari za Mzee Jumanne Ngoma na Milioni 100!