Thibitisha jinsi Lissu na chadema watskavyo ondoa amani.Ni kweli kuwa wewe na wenzako ninshemu ya watanzania ambao mmeamua kuwajaribu wakina Lissu na CHADEMA. Lakini huna budi kufahamu kuwa amani na utulivu katika nchi huletwa na walio wengi. Watanzania walio wengi kwa idadi wataenda kumpa Rais John Pombe Magufuli miaka mitano Tena ya uongozi.
Six moth:
Kwanza Pole kwa kuchomewa Moto nyavu zako. Kipindi kabla Rais hajawa John Magufuli. Kulikuwa na matukio makubwa ya kijambazi na uaji. Yapo matukio ya kikatili ya liyohusishwa na imani za kishirika, wivu wa mapenzi pamoja na ujambazi hata kabla ya mwaka 2015.
Baada ya Rais Magufuli kuapishwa, ni kwa miaka 5 Sasa, u shahidi taarifa ya matukio ya kijambazi ya kutumia silaha umepungua kabisa, mauaji kwa sababu za imani ya koshirikina hakuna kabisa n.k ni kwa sababu Rais John Magufuli alijiapiza kushughulika kufa kupona na majambazi hao. Na ndio maana njia zimetumika za kiiinteljensia kuhakikisha hilo limekamilika.
Lakini pia, kwenye uvuvi wa samaki, haimaanishi kwamba wavuvi hawatakuwa kwenye vizazi vyetu vijavyo na kwamba kizazi cha kula samaki ni hiki cha sasa. Kwa jinsi hiyo sio kila wavu ni maalum kwa kazi ya uvuvi, zingine hasifai maana zinaharibu Hadi mazalia ya samaki hivyo kupelekea kupungua kwa idadi ya samaki mwaka hata mwaka. Tukafanye kazi huku tukifikiria kesho yetu ya vizazi vyetu, Kama ambavyo wazee wetu walitufikiria sisi.
Umeandika jambo lile lile kwa viswahili vingi vyakuchengesha chengesha ukweli.ndugu hii dunia yaleo sio wote wakudanganya hivyo.Watu wa Lumumba wanatambua msingi wa Haki ni usawa kwanza na kisha ndio amani ya nchi. Itakuchukua miaka mingi sana kukubaliana na hili.
Maana kama patakuwa na haki bila usawa usitegemee kama kutakuwa na amani ndugu. Maana haki itasema kila mfanya biashara alipe kodi kiasi fulani, lakini USAWA utasema kila mfanya biashara wa mtaji wa kiasi fulani atalipa Kodi kiasi fulani. Ukishelewa msingi wa usawa juu ya haki ndio utakombolewa kifikra na chaguo lako litakuwa ni CCM karibu sana Lumumba, nyumba ya vijana wasomi waelewa.
Bora umesema maana zilijaa "polls" kibao mitandaoni.View attachment 1606888
Lissu for Life
Matendo ya kijambazi yameongezeka sana awamu ya magufuli: Lissu kupigwa risasi, Akwilina kuuwawa kwa risasi, Ben saanane kupotea, Azori kupotea, Mo Dewji kutekwa, Zakari kutekwa (jaribio lilifeli), Bureau de change kuporwa, Kimara kubomolewa nyumba, maiti kwenye viroba kuokotwa ufukweni, wakulima kudhulumiwa korosho, n.o. Ni mengi sana. Tunataka UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU.Six moth:
Kwanza Pole kwa kuchomewa Moto nyavu zako. Kipindi kabla Rais hajawa John Magufuli. Kulikuwa na matukio makubwa ya kijambazi na uaji. Yapo matukio ya kikatili ya liyohusishwa na imani za kishirika, wivu wa mapenzi pamoja na ujambazi hata kabla ya mwaka 2015.
Baada ya Rais Magufuli kuapishwa, ni kwa miaka 5 Sasa, u shahidi taarifa ya matukio ya kijambazi ya kutumia silaha umepungua kabisa, mauaji kwa sababu za imani ya koshirikina hakuna kabisa n.k ni kwa sababu Rais John Magufuli alijiapiza kushughulika kufa kupona na majambazi hao. Na ndio maana njia zimetumika za kiiinteljensia kuhakikisha hilo limekamilika.
Lakini pia, kwenye uvuvi wa samaki, haimaanishi kwamba wavuvi hawatakuwa kwenye vizazi vyetu vijavyo na kwamba kizazi cha kula samaki ni hiki cha sasa. Kwa jinsi hiyo sio kila wavu ni maalum kwa kazi ya uvuvi, zingine hasifai maana zinaharibu Hadi mazalia ya samaki hivyo kupelekea kupungua kwa idadi ya samaki mwaka hata mwaka. Tukafanye kazi huku tukifikiria kesho yetu ya vizazi vyetu, Kama ambavyo wazee wetu walitufikiria sisi.
Rojo ya pumba.Watu wa Lumumba wanatambua msingi wa Haki ni usawa kwanza na kisha ndio amani ya nchi. Itakuchukua miaka mingi sana kukubaliana na hili.
Maana kama patakuwa na haki bila usawa usitegemee kama kutakuwa na amani ndugu. Maana haki itasema kila mfanya biashara alipe kodi kiasi fulani, lakini USAWA utasema kila mfanya biashara wa mtaji wa kiasi fulani atalipa Kodi kiasi fulani. Ukishelewa msingi wa usawa juu ya haki ndio utakombolewa kifikra na chaguo lako litakuwa ni CCM karibu sana Lumumba, nyumba ya vijana wasomi waelewa.
Nawaza tu (yaani kuwaza kwa sauti) kwamba ule uzoefu wa uwaziri waweza kuwa umembeba kidogo.Jiwe alikuwa hajawahi kuwa hata kiranja wa darasa, hata wa chekechea, leo eti ni Rais......
Tunawataka Ben, Azory, Mawazo, Akwilina and many others...... hatusikii lolote katu
Nadhani wewe si mmojawapo wa waliopigwa risasi. Kwa hiyo ni kosa kujijumlisha. Idadi itakuwa ya uongo.Tunaenda kumchagua Tundu Antiphas Lissu kwa ajili ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
Hatutaki tena kupigwa risasi, kutekwa na kubsmbikiwa makesi!
Nikweli unacho kisema lakini nitofauti kidogo namadai yangu mm siupendi uvuvi haram uvuvi nilikuwa navua mm ni uvuvi wakipe ziwatanganyika ni uvuvi ambao unafanyika kwenyekina kikubwa sana chamaji nyavu yake huvua dagaa wakigoma na tunakata leseni yauvuvi huo lakini walipo fika hao wachomaji walituomba tuwaonyeshe zana tunazotumia sisi kwakujiamini tuliwaonyesha waliangalia nawakasema zipo sawa lakini wakasema tumetumwa pesa kama hakuna pesa tunazichoma kwahiyo hazikuchomwa kwasababu nyingine yoyote nikwasababu hatukua napesa zakuwapa ipohivyo kifupi kiletulifanyiwa unyama embu angalia tunasalimisha iliupime naunasema ziposawa unaomba pesa unakosa unaamua kuchoma napia unateka engeine unatuambia tuzikomboe kwapesa nyavu umechoma nipigokubwa nyavu halali yenye leseni kwakuonyesha umefata pesa unateka na engeine unasema tuzikomboe inauma sana mpaka sasa wanazoSix moth:
Kwanza Pole kwa kuchomewa Moto nyavu zako. Kipindi kabla Rais hajawa John Magufuli. Kulikuwa na matukio makubwa ya kijambazi na uaji. Yapo matukio ya kikatili ya liyohusishwa na imani za kishirika, wivu wa mapenzi pamoja na ujambazi hata kabla ya mwaka 2015.
Baada ya Rais Magufuli kuapishwa, ni kwa miaka 5 Sasa, u shahidi taarifa ya matukio ya kijambazi ya kutumia silaha umepungua kabisa, mauaji kwa sababu za imani ya koshirikina hakuna kabisa n.k ni kwa sababu Rais John Magufuli alijiapiza kushughulika kufa kupona na majambazi hao. Na ndio maana njia zimetumika za kiiinteljensia kuhakikisha hilo limekamilika.
Lakini pia, kwenye uvuvi wa samaki, haimaanishi kwamba wavuvi hawatakuwa kwenye vizazi vyetu vijavyo na kwamba kizazi cha kula samaki ni hiki cha sasa. Kwa jinsi hiyo sio kila wavu ni maalum kwa kazi ya uvuvi, zingine hasifai maana zinaharibu Hadi mazalia ya samaki hivyo kupelekea kupungua kwa idadi ya samaki mwaka hata mwaka. Tukafanye kazi huku tukifikiria kesho yetu ya vizazi vyetu, Kama ambavyo wazee wetu walitufikiria sisi.
Eti uongozi haujaribiwi, hivyo watanzania walikosea kumpa uongozi mwl Nyerere kwa kuwa alikuwa hajapata hata uhead Master.Aliyeisoma tafadhali naomba atufupishie kwa neno moja au mawili.
Utumbo mtupu hamna cha maanaAliyeisoma tafadhali naomba atufupishie kwa neno moja au mawili.
Na iwe kama utakavyo ndugu yangu 🙏🏿Haya tunasubiri wakujengee wewe hayo mahekalu kama yao!
Upende usipende Lissu hana uwezo wa kuongoza na hatakuja kuwa Rais wa nchi hii. Na hata huko kwenye chama chake hana uwezo wa kuwa Mwenyekiti wa hiko chama. Ni suala la muda tu, ila siku moja tutaongea lugha moja na tutaelewena vizuri.Unaandika mambo meengi lakini mshachelewa. Wananchi wameshachoka na ahadi hewa.
Mashirika ya pensheni yanakufa hayana pesa nyie mnanunua ndege kwa cash money.
Wacha tuwaweke hawa ambao tutawamudu. Mgombea wa CCM ameshasema yeye hapangiwi ni rais anayejiamini. Sisi tunamchagua mwananchi mwenzetu Tundu Lissu ili tukae chini tushauriane kwa pamoja tujenge nchi yetu.
Ijapokuwa unatumia utambulisho batili. Hata hivyo inatosha kuelezea uwezo wa akili yako na mahala imegotea.Utumbo mtupu hamna cha maana
Tatizo lako ni mchanganyo mchanganyo, kwa hiyo ni rahisi kuyachanganya yale uliyojifunza. Lugha mbili ndani ya Aya moja, mimi sijakuelewa bado!Vyombo hivyo hivyo vya dola ushindwa kuzilinda mamlaka zinazokengeuka na kuacha misingi ya kuongoza watu kwa kutumia kanuni za kuongozea wanyama kuongozea watu dola ilishindwa kuziokoa na zilianguka na kufutika kabisa,soma history ya rise and fall of kingdoms au mwambie yeriko akupe shule zaidi kuhusu dola na mamlaka.
Chambua kinachokugusa vingine viache.Tatizo lako ni mchanganyo mchanganyo, kwa hiyo ni rahisi kuyachanganya yale uliyojifunza. Lugha mbili ndani ya Aya moja, mimi sijakuelewa bado!