Watanzania - vifo vitokanavyo na kutekwa, utekaji na kujeruhi watu - nini kifanyike?

Watanzania - vifo vitokanavyo na kutekwa, utekaji na kujeruhi watu - nini kifanyike?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Watanzania
Salaam!
Hanari za watu:-
  • Kutekwa,
  • Kujeruhiwa,
  • Kuuawa, na
  • Kupotezwa
Zimekuwa za kawaida lakini madhara yake kwa familia za wahanga ni makubwa sana. Ikumbukwr kuwa wahanga hao wana familia zinazowategemea, ada, afya, malazi, Chakula nk nk. Kutoweka kwao ghafla kwa mipango ya kishetani ya binadamu ni kuziadhibu bila sababu familia zao.

Sasa
Kwa vitendo hivyo kipi kifanyike ili kupunguza au kuondoa kabisa tatizo hilo?
  • Serikali ifanye nini?
  • Viongozi wa dini wafanye nini?
  • Asasi za kiraia zifanye nini?
  • Mashirika ya kimataifa yafanye nini?
  • Sisi wananchi wema tufanye nini?

Tanzania as peaceful land!

Soma Pia:

 
Watanzania
Salaam!
Hanari za watu:-
  • Kutekwa,
  • Kujeruhiwa,
  • Kuuawa, na
  • Kupotezwa
Zimekuwa za kawaida lkn madhara yake kwa familia za wahanga ni makubwa sana. Ikumbukwr kuwa wahanga hao wana familia zinazowategemea, ada, afya, malazi, Chakula nk nk. Kutoweka kwao ghafla kwa mipango ya kishetani ya binadamu ni kuziadhibu bila sababu familia zao.

Sasa
Kwa vitendo hivyo kipi kifanyike ili kupunguza au kuondoa kbs tatizo hilo?
  • Serikali ifanye nn?
  • Viongozi wa dini wafanye nn?
  • Asasi za kiraia zifanye nn?
  • Mashirika ya kimataifa yafanye nn?
  • Sisi wananchi wema tufanye nn?

Tanzania as peaceful land!
Kwakuwa hapajawahi kuwa na dhamira ya kweli ya kuyakomesha mambo hayo.Dhamira hiyo iwepo na ionekane kwa vitendo na yote yaliyo nyamaziwa au kufumbiwa macho kwa sababu zozote ziwazo,ufahamike ukweli wake na umma utaarifiwe ipasavyo na sii vinginevyo.
 
Asije mtu akasema wakija watekaji watu wawapige mana mzee Kibao ametekwa ndani ya basi, kwahiyo abiria walishindwa kumtetea. Hii mbinu ya wananchi kushirikiana ili kuwapiga watekaji imefeli mpaka sasa kupitia tukio la mzee Kibao!
 
Hata sisi tuliokuwa tunamkubali moyo wetu umepoteza imani na yeye.
 
Back
Top Bottom