Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,053
- 615
una hakika? Toa takwimu za kusapoti hoja yako. Sio kilabuni hapa mazee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
takwimu gani atoe?una hakika? Toa takwimu za kusapoti hoja yako. Sio kilabuni hapa mazee
Mganda au Mkenya akisha kaa kwenye ofisi moja, ikitokea nafasi huwa anawambia watu wa kwao kwanza kabla tangazo halijatoka. Hivyo applicants wengi wanakuwa waganda au wakenya. Mmbongo akikaa sehemu nzuri hataki kuwaita wabongo wenzake kwasababu watafaidika halafu atashindwa kuwatambia baadaye.
Tutaacha lini kujidharau wenyewe??? Nani amewaambia hivyo mimi niko katika moja ya hizo nchi uilzotaja napiga kazi katika shirika fulani katika interview tulikuwa wanne Kenya 2, Uganda 1 and mimi mtz 1. Pamoja na kuwasifia hyko mnakowasifia niliwapiga chini wote nikachukua kazi.
Hiyo kama haitoshi napiga kazi ambayo nashirikiana na supplies jamani ni wasumbufu hawajali deadline wala hawana haraka unaweza ukaitisha quotation deadline saa 4 ukakuta ni mmoja tu ndo katuma sasa kazi kwako uanze kupiga simu reminder za email kibao lakini wapi mpaka unachukua gari kuwafata ofisni kwao kwa sababu wewe unadeadline na unatakiwa kukamilisha kazi.
Watanzania nawasihi sana tena tusijidharau wenyewe wala kuwaogopa wakenya wala waganda wao wanachoweza ni kuongea sana hapo watakushinda lakini kwa kazi hakuna kitu kabisa im telling you from my experince na ninayoyaona hapa ofisini. Maana hata report za safari ni shida mpaka mkubwa atume email sijapata report yako ndo atakimbizana.
Narudia tena kuwaambia watanzania wanafanya kazi kuliko wakenya na hao waganda manaosema nina experience kubwa sana hapa na ninafanya nao kazi so nina hakika na kile ninachoongea.
Goodluky Watanzania tujifunze kusema tunaweza kuliko wao.
Nawasilisha
Ni bora wewe umenena maana wabongo walishaathirika siku nyingi na hii inferiority complex na watachukua mda mrefu sana kupona...:rain:
Huwa nikisikia hivyo najisikia vibaya kweli najiuliza kwanini lakini?? Mimi kwa kweli hata wakati naandika maombi nilijiamini sana na nikasema nitashinda kwani wao nani bana. Na kweli nilishinda aaiii Watanzania hebu tujiamini bana hakuna kuwaogopa hawa watu ni midomo tu lakini kazi hakuna kabisa. Utakuta anakuja sales person kujitambulisha atakavyojieleza utasema aahhh huyu si ndo wakumpa kazi subiri sasa uitishe utashangaa atakavyochelewa kujibu mpaka umfatilie kama unamdai delivery sasa ndo kiboko wanapitisha hata siku tano hawakamilisha kazi aaahhh mie najivunia kuwa Mtanzania
Ni kweli mkuu, huu ugonjwa ni mbaya sana na unawaathiri watu bila ya wao kujijua...
Kwa mfano:
Hivi ni sahihi kusema kuwa wabongo wanaosoma darasa moja na waKenya na wa UG huwa wao wanashika namba za mkiani?. Au ni sahihi kusema kuwa kama wewe ni lecturer wa kibongo basi utashindwa kufundisha darasa lenye wanafunzi wa kiKenya na ki UG?
Kujiamini ni kitu cha muhimu sana kwenye maisha ya kila binadamu...
Isije ikawa ulipewa kazi kwa vigezo "vingine" I am jsut joking...Tutaacha lini kujidharau wenyewe??? Nani amewaambia hivyo mimi niko katika moja ya hizo nchi uilzotaja napiga kazi katika shirika fulani katika interview tulikuwa wanne Kenya 2, Uganda 1 and mimi mtz 1. Pamoja na kuwasifia hyko mnakowasifia niliwapiga chini wote nikachukua kazi.
Hiyo kama haitoshi napiga kazi ambayo nashirikiana na supplies jamani ni wasumbufu hawajali deadline wala hawana haraka unaweza ukaitisha quotation deadline saa 4 ukakuta ni mmoja tu ndo katuma sasa kazi kwako uanze kupiga simu reminder za email kibao lakini wapi mpaka unachukua gari kuwafata ofisni kwao kwa sababu wewe unadeadline na unatakiwa kukamilisha kazi.
Watanzania nawasihi sana tena tusijidharau wenyewe wala kuwaogopa wakenya wala waganda wao wanachoweza ni kuongea sana hapo watakushinda lakini kwa kazi hakuna kitu kabisa im telling you from my experince na ninayoyaona hapa ofisini. Maana hata report za safari ni shida mpaka mkubwa atume email sijapata report yako ndo atakimbizana.
Narudia tena kuwaambia watanzania wanafanya kazi kuliko wakenya na hao waganda manaosema nina experience kubwa sana hapa na ninafanya nao kazi so nina hakika na kile ninachoongea.
Goodluky Watanzania tujifunze kusema tunaweza kuliko wao.
Nawasilisha
Isije ikawa ulipewa kazi kwa vigezo "vingine" I am jsut joking...
Pole mwayai was just jokingNitakuchapa wewe ushindwe na ulegee watu hata siwajuia wewe ngoja nikuache bahati yako ni kaka yangu nilishaanza kuvuka mipaka
simple,
Watz tunapenda kuongea sana,hatubishani ktk masuala ya msingi,huwa tunakubali kila kitu,then hatutekelezi chochote,as a result hatuna outcome nzuri.
-tunapenda sifa za juu juu,(superficial )
-mambo ya msingi hatuyatekelezi. e.g usafi ,nenda ktk ofisi nyingi za watz ,reception pasafi,nenda chooni utatamani urudi nyuma.
-kiongozi akiitisha mkutano hamna anayehoji lolote ,ikiwa workshop seminar ,kongamano kila mtu ana smile na kutikisa vichwa kusupport mada,then baada ya hapo hamna utekelezaji wowote.
on the other hand.
Wakenya ,huwa wabishi ktk vikao,wanabisha with grounds and facts,mkikubaliana jambo anajiaanda alete results,
wanajua thamani ya mteja=pesa ,watz tunajua thamani ya Utu only na siyo pesa
wakenya hawana resources nyingi so wameshajifunza kutumia chache walizonazo
wakenya wana ukabila sana,so they are more competitive.
e.g
wao wanachanga Pesa nyingi ktk Harambee kwa ajili ya Elimu kwa ajili ya Life time life changing issues
sisi tunachanga pesa nyingi sana ktk Harusi,kipaimara,birthday etc kwa ajili ya sherehe ya siku moja tu.
harusi zetu huwa ni usiku tu,after 4pm
wao huwa mchana then ukalale mapema ili kesho ufanya shughuli zako za kiuchumi