Watanzania wa Addis Ababa

Watanzania wa Addis Ababa

Kamarada

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
253
Reaction score
161
A salaam Aleykhum wanaJF wote.

Please, kwa mlioko katika jiji tajwa, ni mitaa gani, hotels or so tunapata chakula ya Kitanzania Original? Natanguliza shukrani za dhati kwenu wote.
:wave:

Kamarada.
 
Kwa Addis nenda Tanzania Club unapatikana karibu na ubalozi wetu. Si vibaya ku-test vyakula vya WAHABESHI ikiwemo NYAMA MBICHI YA BINADAMU
 
A salaam Aleykhum wanajf wote.

Please, kwa mlioko katika jiji tajwa, ni mitaa gani, hotels or so tunapata chalkula ya ki Tz original..? Natanguliza shukrani za dhati kwenu wote.
:wave:

Kamarada.

Sharate utapata chakula ya bongo
 
Asante sana mdau Reganizo, be blessed... :wave: !
 
Kumbe hadi adis wabongo wapo sijui ndio hawa adis in dar
 
Back
Top Bottom