joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Baada ya kuwapiga kila sector wamebaki na GDP fake na kizungu cha ugokoHuna hoja kumbe[emoji848][emoji26]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuwapiga kila sector wamebaki na GDP fake na kizungu cha ugokoHuna hoja kumbe[emoji848][emoji26]
Hawa watu ni wababaifu sana yaani yao maneno tuu hadi kwenye kazi manenomaneno meeengiBaada ya kuwapiga kila sector wamebaki na GDP fake na kizungu cha ugoko
Kwanza kizungu muhimu sana kwenye shughuli zangu maana hiki Kiswahili cha Mwarabu bado hakijajitosheleza, kina mapungufu ya maneno mengi licha ya kutohoa kutoka kote kote, hivyo bila Kizungu kazi zangu haziendi.
Lakini kwa kajamba wa Buza yeye anaweza akauza madafu siku iishe bila kutegemea Kingereza, huyo nitamuelewa akianza kujipa hizo mbinu huwa mnapenda kujiliwaza nazo eti Kingereza cha mkoloni.
Kwa wengine wote Kingereza muhimu sana, madini mnaandika mikataba kwa Kingereza na ndio maana mnapigwa.
Wazungu walikuja wakakuta mababu zako wanaongea Kisukuma, wakapambana na kuwajengea reli, barabara na kila aina ya miundo mbinu kisha wakawaambia wajiite Watanzania.
🤣🤣🤣
Yaani kuuza sabuni za unga na jamaa zako wa kologocho ndiyo unahitaji kiingereza.
🤣🤣🤣
Hamna lolote. Kingereza hamjui, kiswahili hamjui. Ukabila unawamaliza, rushwa imewatafuna. Njaa inawanyemelea, mna hali mbaya. Sijaona chochote cha kujivunia Kinya. Kinyaa tu.Hehehe "dayaspora" wa Buza asiyejua Kingereza, mbona unakosa usingizi kwa ajili yangu..... Kenya hapa hata mbeba zege anatema yai kuliko mawaziri wenu wote.
brain washed, wakati WATANZANIA TUNAPAMBANA KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU WA LUGHA YA KISWAHILI, WAKENYA WANAJISIFU NA UTAMADUNI WA LUGHA YA MWINGEREZA. SHAME TO BE KENYANS!Hehehe "dayaspora" wa Buza asiyejua Kingereza, mbona unakosa usingizi kwa ajili yangu..... Kenya hapa hata mbeba zege anatema yai kuliko mawaziri wenu wote.
Kuna wakati makampuni ya Tanzania yaliwaamini kutokana na hicho kiingereza cha kuungaunga sasa wameanza kupoteza imani nao, performance ni zero, maneno mengi na ujanjaujanja mwingi wa kitoto.Hamna lolote. Kingereza hamjui, kiswahili hamjui. Ukabila unawamaliza, rushwa imewatafuna. Njaa inawanyemelea, mna hali mbaya. Sijaona chochote cha kujivunia Kinya. Kinyaa tu.
Kawaida mabeberu na vyombo vyao kama CNN wakijikanganya na kuingia kwenye kumi na nane za Wakenya, huwa wanakiona cha moto na kutengua kauli zao. Naona Marekani wameanza shughuli dhidi ya Watz kwa kusindika kura kwenye uchaguzi uliopita, ila sasa mataga wanajibu bila mikakati.
Ombeni msaada kutoka kwa Wakenya wa kwenye mitandao muone itakavyowaka moto na ndani ya masaa machache Marekani watawaomba msamaha, ila mkiendelea wenyewe hivi mnajiabisha maana mtapuuzwa tu.
Poleni bandugu ila hiyo issue ya uchaguzi naona kama haitawatoka hivi hivi tu, japo nakosa kuwaelewa Marekani mbona hawajasema vya Uganda ambapo demokrasia imebakwa mchana kweupe.
![]()
![]()
hahahahaha, mabeberu uchwaraNyie wenyewe Kenya ni Mabeberu, mliisha toka katika stage ya ubepari sasa mumeingia katika stage ya Ubeberu.
Hamna lolote. Kingereza hamjui, kiswahili hamjui. Ukabila unawamaliza, rushwa imewatafuna. Njaa inawanyemelea, mna hali mbaya. Sijaona chochote cha kujivunia Kinya. Kinyaa tu.
brain washed, wakati WATANZANIA TUNAPAMBANA KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU WA LUGHA YA KISWAHILI, WAKENYA WANAJISIFU NA UTAMADUNI WA LUGHA YA MWINGEREZA. SHAME TO BE KENYANS!
Nyie wenyewe Kenya ni Mabeberu, mliisha toka katika stage ya ubepari sasa mumeingia katika stage ya Ubeberu.
Safi sana kujua sisi ni mabeberu na ukikaa hovyoo tunakunyang'au hadi ukome, muendelee hivyo kutuogopa sisi manyang'au, Nyerere alifanya kazi nzuri sana ya kuwafanya waoga waoga na mtaendelea kwa huo umaskini huku uchumi wetu ukineemeka na kuwa mara mbili yenu.
Ni mtu gani mwenye akili nzuri akajisifia ubaya?!!--- kuwa beberu unaona ni sifa??!.
Eti Kenya ina uchumi mzuri??!!🤣 mgekufa na njaa kila siku kwa huo uchumi wenu "mzuri" wa kibeberu??!!🤣. It's just like an insane talking bullshits.
Mabeberu huchuma balaa huko migodini, aisei sifa sana kuwa beberu.... gesi ile yenu hadi leo mabeberu wanakwapua tu na kujichukulia...natamani sana huo ubeberu ng'aring'ari nyang'auuuu
Hakuna mtu mwenye akili timamu akajisifia uovu.
Ukijisifia uovu wewe ni wa kuogopwa kama Covid 19. That's why you rank #2 for corruption in Africa.
Naomba kitalu kimoja kati ya hayo yanayochumwa na mabeberu huko na mimi nikwapue humo kwenye shamba la bibi, achieni na sisi mabeberu weusi tunufaike kama namna moja ya kukuza Uafrika, sasa mnatafunwa na wazungu kila kitu.
Tafunaneni nyinyi kwa nyinyi huko kwenu, je hamtosheki huko kwenu kutafunana ??!!, si umwambie Uhuru (he owns 50% of Kenya erable land) akupatie kipande cha ardhi ukalime japo "sukuma wiki" ili kuondoa njaa inayowakabili kila siku!!.
You tribalistic and corrupt Kenya land.
Achia Mwafrika mwenzio atafune kimoja, haipaswi kila kitu mnacholiwa kinakwenda kwa meli kunufaisha mabeberu wa kule, hata sisi ni mabeberu.
Je nyinyi kwa nyinyi huko kwenu mmetoshana kufanyiana ubeberu hadi mtamani kuja Tz??, is your imperialism so much boiling and spill over that you need coming to Tz??!