Watanzania wa kwenye mitandao, ombeni msaada kwa Wakenya namna ya kupambana na mabeberu. Mnatia huruma

🤣🤣🤣
Yaani kuuza sabuni za unga na jamaa zako wa kologocho ndiyo unahitaji kiingereza.

Hehehe "dayaspora" wa Buza asiyejua Kingereza, mbona unakosa usingizi kwa ajili yangu..... Kenya hapa hata mbeba zege anatema yai kuliko mawaziri wenu wote.
 
Hamna lolote. Kingereza hamjui, kiswahili hamjui. Ukabila unawamaliza, rushwa imewatafuna. Njaa inawanyemelea, mna hali mbaya. Sijaona chochote cha kujivunia Kinya. Kinyaa tu.
 
brain washed, wakati WATANZANIA TUNAPAMBANA KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU WA LUGHA YA KISWAHILI, WAKENYA WANAJISIFU NA UTAMADUNI WA LUGHA YA MWINGEREZA. SHAME TO BE KENYANS!
 
Kuna wakati makampuni ya Tanzania yaliwaamini kutokana na hicho kiingereza cha kuungaunga sasa wameanza kupoteza imani nao, performance ni zero, maneno mengi na ujanjaujanja mwingi wa kitoto.
 
Nyie wenyewe Kenya ni Mabeberu, mliisha toka katika stage ya ubepari sasa mumeingia katika stage ya Ubeberu.
 
Hamna lolote. Kingereza hamjui, kiswahili hamjui. Ukabila unawamaliza, rushwa imewatafuna. Njaa inawanyemelea, mna hali mbaya. Sijaona chochote cha kujivunia Kinya. Kinyaa tu.

Kajifunze Kingereza ndio uje ubwabwaje hapa, siongei na wasiojua English.....
 
brain washed, wakati WATANZANIA TUNAPAMBANA KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU WA LUGHA YA KISWAHILI, WAKENYA WANAJISIFU NA UTAMADUNI WA LUGHA YA MWINGEREZA. SHAME TO BE KENYANS!

Mlipambana kukomboa Kiswahili kutoka kwa nani, Msukuma umetelekeza lugha yako ya asili leo unatuaminisha hiki Kiswahili cha Mwarabu ndio lugha yako, mtumwa kabisa hovyoo.
 
Nyie wenyewe Kenya ni Mabeberu, mliisha toka katika stage ya ubepari sasa mumeingia katika stage ya Ubeberu.

Safi sana kujua sisi ni mabeberu na ukikaa hovyoo tunakunyang'au hadi ukome, muendelee hivyo kutuogopa sisi manyang'au, Nyerere alifanya kazi nzuri sana ya kuwafanya waoga waoga na mtaendelea kwa huo umaskini huku uchumi wetu ukineemeka na kuwa mara mbili yenu.
 
Ni mtu gani mwenye akili nzuri akajisifia ubaya?!!--- kuwa beberu unaona ni sifa??!.

Eti Kenya ina uchumi mzuri??!!🤣 mgekufa na njaa kila siku kwa huo uchumi wenu "mzuri" wa kibeberu??!!🤣. It's just like an insane talking bullshits.
 
Mabeberu huchuma balaa huko migodini, aisei sifa sana kuwa beberu.... gesi ile yenu hadi leo mabeberu wanakwapua tu na kujichukulia...natamani sana huo ubeberu ng'aring'ari nyang'auuuu
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu akajisifia uovu.

Ukijisifia uovu wewe ni wa kuogopwa kama Covid 19. That's why you rank #2 for corruption in Africa.
 
Naomba kitalu kimoja kati ya hayo yanayochumwa na mabeberu huko na mimi nikwapue humo kwenye shamba la bibi, achieni na sisi mabeberu weusi tunufaike kama namna moja ya kukuza Uafrika, sasa mnatafunwa na wazungu kila kitu.
 
Tafunaneni nyinyi kwa nyinyi huko kwenu, je hamtosheki huko kwenu kutafunana ??!!, si umwambie Uhuru (he owns 50% of Kenya erable land) akupatie kipande cha ardhi ukalime japo "sukuma wiki" ili kuondoa njaa inayowakabili kila siku!!.

You tribalistic and corrupt Kenya land.
 
Achia Mwafrika mwenzio atafune kimoja, haipaswi kila kitu mnacholiwa kinakwenda kwa meli kunufaisha mabeberu wa kule, hata sisi ni mabeberu.
 
Je nyinyi kwa nyinyi huko kwenu mmetoshana kufanyiana ubeberu hadi mtamani kuja Tz??, is your imperialism so much boiling and spill over that you need coming to Tz??!
 
Nakomalia, nataka kitalu, jameni mnaliwa sana kwa kutokujua kingereza, muachie na sisi mabeberu wa Afrika....meli zinaondoka na gesi yote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…