Watanzania/Waafrika hatuna Akili?

Mmh, Mimi simo kwenye hilo kundi. Unaweza kujitukana mwenyewe peke yako ukawaacha wengine. Si lazima unapoamua kujidharau mwenyewe, umweke kila mtu katika kundi lako.
 
Nafikiri tungetenganisha kati ya kuwa na akili na kutokuitumia akili ipasavyo, kusema waafrika hawana akili sidhani kama ni sahihi.
 
trump nae mwafrika mbona hata sisi tunamuona kidogo hafanani na JPM wetu

ila mtoa maada upo sahihi for somehow 😎 TRUMP KASEMA TUENDELEE KUTAWALIWA TU HAKUNA NAMNA
 
Mara nyingi mtu anayedhani wengine ndio hawana akili, yeye hasa ndiye huwa hana akili. Mwenye akili huheshimu "diversity" (kutofautiana) miongoni mwa watu.
 
Nafikiri tungetenganisha kati ya kuwa na akili na kutokuitumia akili ipasavyo, kusema waafrika hawana akili sidhani kama ni sahihi.
MKUBALI MKUU MAANA NDO KAMEZA IVO mimi nafanya kazi na wazungu ile ni ngozi tu mbona kununiana wamo hasa hawa wakike TUMEMEZESHWA MZUNGU ETI NI MUNGU WETU WAAFRIKA KAMA HUYU WEHU KWELI NGOZI NA AKILI NI SAWA
 
Mimi ninazo akili za kutosha kabisa hivyo muda wa kuwanyenyekea wazungu haupo.
 
Mtoa mada umechanganya vitu viingi mno kwenye hoja yako.Kwenye hiyo hoja yako bado kuna point za kuhoji.Rais wa nchi moja anapokwenda kwenye nchi nyingine ni Mgeni wa RAIS si MAKAMU au Waziri Mkuu unless Rais anakuwa hayupo.Ni protokali tu.

Sidhani kama JPM akienda Vietnam akapokelewa na Waziri tutaifurahia.Heshima inatakiwa rafiki,kuna vitu vya kujiuliza na siyo sababu Watanzania kutokuwa na akili au kuwa nazo.
 
Wakati nasoma heading nipuuza kidogo kutokana na hiyo heading ilivyo na ukakasi kidogo lakini nikaamua kuitafuta content. Hakika umefikiria vizuri na kutoa mtazamo wako juu ya mambo yalivyo hapa kwetu Afrika. Ningependa kukosoa kidogo, si kwamba hatuna akili kwa sababu tungekuwa hatuna akili basi yangekuwa mambo mengine zaidi. Hata wanyama wengine tofauti na binadamu wana akili japo kwa viwango tofauti kutokana na ukubwa hasa ubongo wa mbele ambao kwa binadamu umeonekana ni mkubwa sana kuliko wanyama wengine.
Ndugu yangu umeongea mambo ya msingi sana ila majibu yake ni mapana sana yanayohitaji utafiti mkubwa wa sayansi nyingi kama vile biological science na wataalamu wa psychology. Ila hebu tujaribu kuyatazama hivi kidogo;
1:Mfano uliosema watu wanatumia muda mwingi kumshangalia dada ambaye amevaa nguo zinazoonesha maungo yake hapa haimaanishi kuwa hao watu hawana akili isipokuwa ni tatizo la kisaikolojia. Kivipi? Nisome hapa chini

Ukichunguza watu wanaobabaika juu ya dada aliyevaa akionesha maungo yake utakuta waathirika ni wanaume. Mwanaume hisia zake juu ya mwanamke huanza kuamka pale tu anapoona baadhi ya sehemu ambazo huanzisha stimuli katika ubongo wake hivyo kusababisha msukumo wa damu kuongezeka kutokana na homoni fulani kumwagwa ndani ya damu

Wakati nasoma heading nipuuza kidogo kutokana na hiyo heading ilivyo na ukakasi kidogo lakini nikaamua kuitafuta content. Hakika umefikiria vizuri na kutoa mtazamo wako juu ya mambo yalivyo hapa kwetu Afrika. Ningependa kukosoa kidogo, si kwamba hatuna akili kwa sababu tungekuwa hatuna akili basi yangekuwa mambo mengine zaidi. Hata wanyama wengine tofauti na binadamu wana akili japo kwa viwango tofauti kutokana na ukubwa hasa ubongo wa mbele ambao kwa binadamu umeonekana ni mkubwa sana kuliko wanyama wengine.
Ndugu yangu umeongea mambo ya msingi sana ila majibu yake ni mapana sana yanayohitaji utafiti mkubwa wa sayansi nyingi kama vile biological science na wataalamu wa psychology. Ila hebu tujaribu kuyatazama hivi kidogo;
1:Mfano uliosema watu wanatumia muda mwingi kumshangalia dada ambaye amevaa nguo zinazoonesha maungo yake hapa haimaanishi kuwa hao watu hawana akili isipokuwa ni tatizo la kisaikolojia. Kivipi? Nisome hapa chini

Ukichunguza watu wanaobabaika juu ya dada aliyevaa akionesha maungo yake utakuta waathirika ni wanaume. Mwanaume hisia zake juu ya mwanamke huanza kuamka pale tu anapoona baadhi ya sehemu ambazo huanzisha stimuli katika ubongo wake hivyo kusababisha msukumo wa damu kuongezeka kutokana na homoni fulani kumwagwa ndani ya damu(homoni hizo ni kama vile dopamine, acetylcholine, melanocyte stimulating hormone). Hapo ili kuzishinda hizo hisia ni somo kubwa ili mtu asiwe anafikiri kwa hisia.
2: Mazingira yana sehemu kubwa sana katika kujenga tabia za mtu. Hili ni somo pana sana nimeona tuishie hapo.
Nami nikuache na swali moja. Ulishawahi kujiuliza kwa nini sasa hivi kwa Mwafrika gari, nyumba, na simu kali ni big deal?
 
WaTanzania na WaAfrika na watu weusi kwa ujumla bado wapo katika human evolution, hawajakamilika.
Angalia watakavyonitukana kwa ukweli huu.
 
Mleta mada ni kweli maana tunafanana mitazamo kama ulivyo CCM tokea 1977 mpaka leo hii kila kitu unaunga mkono wala huamini mabadiliko nje ya CCM.Wazazi wako CCM, wewe CCM,familia yako CCM hata wajukuu wako watakuwa Ccm sasa utegemee kuwa na akili?Mnaishi kwa kuangalia fursa.
 
Si unaona huyo wa mbele ndie aliyemaliza human evolution na ni mweupe
 
Soma kwanza post yako ndio ujipime kama una akili au hauna. Hata nyani wangu ukimfundisha kuandika hawezi kutoa uharo kama huu.
Soma kwanza post yako ndio ujipime kama una akili au hauna. Hata nyani wangu ukimfundisha kuandika hawezi kutoa uharo kama huu.
kwa hiyo unanataka kunilazimisha ili nikubali kuwa sina akili?ndio maana nikajibu kuwa pamoja mi ni mwafrika lakini akili ninazo sijui kwa wengine,are we together?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…