Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUBALI MKUU MAANA NDO KAMEZA IVO mimi nafanya kazi na wazungu ile ni ngozi tu mbona kununiana wamo hasa hawa wakike TUMEMEZESHWA MZUNGU ETI NI MUNGU WETU WAAFRIKA KAMA HUYU WEHU KWELI NGOZI NA AKILI NI SAWANafikiri tungetenganisha kati ya kuwa na akili na kutokuitumia akili ipasavyo, kusema waafrika hawana akili sidhani kama ni sahihi.
karibuni hapa
Wakati nasoma heading nipuuza kidogo kutokana na hiyo heading ilivyo na ukakasi kidogo lakini nikaamua kuitafuta content. Hakika umefikiria vizuri na kutoa mtazamo wako juu ya mambo yalivyo hapa kwetu Afrika. Ningependa kukosoa kidogo, si kwamba hatuna akili kwa sababu tungekuwa hatuna akili basi yangekuwa mambo mengine zaidi. Hata wanyama wengine tofauti na binadamu wana akili japo kwa viwango tofauti kutokana na ukubwa hasa ubongo wa mbele ambao kwa binadamu umeonekana ni mkubwa sana kuliko wanyama wengine.Mimi kama Mwafrika siyo tu nimelisikia hili ktk kwa watu wasio Waafrika bali nimelishuhuduia na ninaelendelea kulishuhidia kila siku kwamba Watu wengi hapa Afrika hatuna akili maana yake ni kwamba hatuwezi kutatua hata vijitatizo vidogo vidogo tu na hii ni kila mahali kuanzia kwenye familia, kazini mpaka kwenye maisha tu ya kila siku!
Nitatoa mifano, ni jambo la kawaida kukuta Mwanaume Mtanzania kanuniana na Mke wake kwa miezi hata mitatu mpaka wazee wasafiri kilometa 800 ktk vijijini kuja kuwafanya waongee, yaani Mwanaume mzima anaamka asubuhi haongei na mke wake anaenda anarudi kimya, ina maana hata kama amesahau kitu nyumbani ambacho ni hawewi kumpigia mke wake simu labda amuombe amletee au akipeleke mahali kwa kuwa kamnunia lkn ni mtu anayelala naye kitanda kimoja, wanaishi nyumba moja sasa hii ni tabia ya kitoto na ya watu wasiokuwa na akili na mtu anayestahili kuitwa mtu mzima hawezi kufanya hivi!
Ukija kwenye mambo ya siasa watu siku zote hupoteza muda kujadili mambo ambayo siyo muhimu kwa mfano leo kuna Ugeni wa Raisi ktk Vietnam kwa kawaida jamii ya watu wenye akili wangekuwa wanajadili sababu za ujaji wa raisi hapa nchi lkn kilichotawala majadilliano ni kwa nini Raisi wa nchi hakwenda Uwanja wa ndege kumpokea raisi na watu wanapoteza muda kujadiliana kama amekosea au la, sasa mtu mwenye akili hafanyi hivyo!
Ukija huku br. utakuta kitu kidogo kinasababisha foleni ya masaa mawili labda kuna mwanamke tu kavaa nguo inayoonyesha maumbilie yake sasa magari hayaendi na watu wanasimama kuanza kumtukana huku foleni ni kubwa watu wanachelewa na uzalishaji unasimama shauri ya mwanamke mmoja tu!
Huwezi kuwaambia watu kitu mara moja wakaelewa ni lazima utumie nguvu na ikiwezekana Polisi ndiyo waelewe kwa mfano nilikwenda kwenye mahafali ya kumaliza Chuo Kikuu wakasema Mwanafunzi akiitwa kuja kuchukuwa cheti mmuwaache aje mwenyewe akabidhiwe cheti chake halafu wakati anarudi ndiyo muanze kumpongeza ili kuokoa muda hilo halikuwezekana pmj na kurudiwa kusemwa mara karibia 10 mtu akiitwa watu wanamzingira wanaanza kupiga picha matokeo yake anashindwa kwenda ikabidi Polisi waje ili kulifanikisha hilo!
sasa watu wenye akili huwa hawafanyi hivyo kwani husikiliza wanachoambiwa na kutekeleza!
Ukimuuliza mtu kitu hasikilizi halafu anakupa jibu ambalo haujamuuliza mifano iko mingi hata hapa JF mtu anasoma kichwa cha habari bila kusoma maudhui ya kilichoandikwa na kuanza kujibu na wkt mwingine kumtukana aliyeleta mada bila hata ya kuelewa kilichaoandikwa, anauliza kile ambacho tayari kimeshaelezewa kwenye mada ambapo alipaswa kusoma tu na kuelewa lkn bado anakuuliza!
Na mfano mingine mingi sana, sasa ni kwanini lkn hatuna Akili????
Tunawezaje kuindustrialize na kushindana na Dunia kama hatuwezi kutatua hata vitu vidogo kama hivi?

Soma kwanza post yako ndio ujipime kama una akili au hauna. Hata nyani wangu ukimfundisha kuandika hawezi kutoa uharo kama huu.
kwa hiyo unanataka kunilazimisha ili nikubali kuwa sina akili?ndio maana nikajibu kuwa pamoja mi ni mwafrika lakini akili ninazo sijui kwa wengine,are we together?Soma kwanza post yako ndio ujipime kama una akili au hauna. Hata nyani wangu ukimfundisha kuandika hawezi kutoa uharo kama huu.