Watanzania waanza kulaumu Kenya baada ya kuangukia pua kwenye suala la bandari ya Bagamoyo

Uzi huo huko jukwaa la Siasa umegeuka kuwa wa ukabila. Si mlituambia hamna ukabila?

Naona wanamezana kweli kweli. A country full of cheerleaders, they should turn the heat on their leaders
 
Kutangulia sio kufika!!!
Kazi kupiga makelele tu ndugu zangu wa Kenya.
 
Ulishawahi ona tukiuana kisa ukabila?

Wakuria wanauna hukoo Isebania kila kukija.Don't paint yourselves like angels. You are only pretentious which is more evil than anything else in this world
 
Ulishawahi ona tukiuana kisa ukabila?

Kaka unaposema MELIKUBWA wengi humu hawaelewi kitu,hii nondo imeshiba vilivyo basi tu tumelogwa.Investment ya Bandari inalipa mara 100 zaidi kuliko Dreamliner tulizoagiza japo ukishakuwa na rangi ya mgomba akili unaziacha uani.Wafuatilie maendeleo ya nchi kama SINGAPORE waone nini kinawaingizia hela na maendeleo waliyonayo.Hawana natural resources hata robo tu ya tulizonazo ila Bandari kwao ndo kila kitu na wanapiga

Nimelewa ni kiasi gani Kenya National inteligemce service NIS inavyozidi ujanja TISS linapokuja swala la maslahi ya taifa, kumbe zile mbwembwe za kujemga urafiki kati ya Uhuru na Raila ilikuwa ni mbinu ya kumkamata mzee wa misifa?? Naye bila kujua akaingia mtegoni.

NIS iliwalazimisha uhusiano mwema kati ta Raila na Uhuru ili.kulinda maslahi ya wakenya.

Sasa Lamu port hii itaifikisha mbali sana. Hata hizi meli ndogo tu haizifiki dar port lazima zipite Mombasa.
 
Wakuria wanauna hukoo Isebania kila kukija.Don't paint yourselves like angels. You are only pretentious which is more evil than anything else in this world
Mtasubiri sana
 
Kaka unaposema MELIKUBWA wengi humu hawaelewi kitu,hii nondo imeshiba vilivyo basi tu tumelogwa.Investment ya Bandari inalipa mara 100 zaidi kuliko Dreamliner tulizoagiza japo ukishakuwa na rangi ya mgomba akili unaziacha uani.Wafuatilie maendeleo ya nchi kama SINGAPORE waone nini kinawaingizia hela na maendeleo waliyonayo.Hawana natural resources hata robo tu ya tulizonazo ila Bandari kwao ndo kila kitu na wanapiga

Nimelewa ni kiasi gani Kenya National inteligemce service NIS inavyozidi ujanja TISS linapokuja swala la maslahi ya taifa, kumbe zile mbwembwe za kujemga urafiki kati ya Uhuru na Raila ilikuwa ni mbinu ya kumkamata mzee wa misifa?? Naye bila kujua akaingia mtegoni.

NIS iliwalazimisha uhusiano mwema kati ta Raila na Uhuru ili.kulinda maslahi ya wakenya.

Sasa Lamu port hii itaifikisha mbali sana. Hata hizi meli ndogo tu haizifiki dar port lazima zipite Mombasa.
Pumba tupu endelea kujipa matumaini na white elephant
 
Bado unamuamiani Zitto Kabwe? Angalia maoni yake kuhusu mikataba ya gesi kabla na baada ya JPM. Jamaa ni mpumbavu ambaye ameamua kumpinga a JPM kwa kila kitu.

Inahitaji uwe mwendawazimu kumuamini Zitto.
 
Huyu kweli chizi yani hawa mabeberu kwa miaka 4 watugawie Pesa yenye thaman ya baajeri ya miaka 4 bc tungekuwa kama ulaya

Back
Top Bottom