Watanzania waanza kununua petroli na dizeli nchini Zambia

Safi sana.

 
Kama ni kweli inabidi tujitathimini kiukweli. Mwananchi kabanwa kila Kona, kiufupi no kupumua.
Ndio ukweli wenyewe.
Yule mtangulizi wa Samia alituma kikosi kuzuia mahemezi kwa jirani.
Pia kikosi kuzuia wakulima wasiuze kahawa Malawi, bali wapeleke ghalani
 
Hayo mafuta ni haram maana hayajalipowa kodi nchini Tanzania
 
Na wewe wa Tabora nenda Zambia ,mbona hawaendi Kenya? Na nyie wa Dar wote nendeni
 
Sio mbaya muigulu kawaruhusu jana kwenye kipindi cha dakika 45 kinachurushwa na itv katoa puvu hata la sabuni ya foma gold halioni
 
Zambia
1756Γ·2=875
1756+875=2631
Lita 1Β½=2631

Kwetu;
Lita 1=2630

Dah! Uongozi ni kazi.
 
Hili jambo la kuweka bei mmoja nchi nzima mm naona ni jambo zuli sn... Ss zambia tu mafuta bei ni 1756 nchi nzima yani hata sijui tunafeli wapi mafuta hayo hayo yamepita apa mpk yamefika kwao garama kibao yani kma tungekuwa na wazalenda wa kweli apa kwetu tungekuwa tunanunua hata kwa elfu 1500, nchi nzima

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…