FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Endapo yanaingizwa (tokea popote pale) kutumika Tanzania yanapaswa kulipiwa kodi Tanzania.Mafuta ya Zambia yalipiwe kodi Tanzania wewe una upeo wowote kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endapo yanaingizwa (tokea popote pale) kutumika Tanzania yanapaswa kulipiwa kodi Tanzania.Mafuta ya Zambia yalipiwe kodi Tanzania wewe una upeo wowote kweli?
Kina mwigulu wanasomesha fezaHili jambo la kuweka bei mmoja nchi nzima mm naona ni jambo zuli sn... Ss zambia tu mafuta bei ni 1756 nchi nzima yani hata sijui tunafeli wapi mafuta hayo hayo yamepita apa mpk yamefika kwao garama kibao yani kma tungekuwa na wazalenda wa kweli apa kwetu tungekuwa tunanunua hata kwa elfu 1500, nchi nzima
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Kweli nime edit. Usijali babe tuko pamojaAme-edit jamani hakuwa ameandika. Ngoja niifute comment maana nashambuliwa 😀
Asante baby wanguKweli nime edit. Usijali babe tuko pamoja