Watanzania wafungua roho

Hongera Kenya ingekuwa huku daa makelele hayo mpk miaka 5 ijayo wangejazana kusifia ujinga kuanzia maaskofu masheikh wabunge waandishi wahabari wanajeshi polisi tusingekaa kwa amani maneno mengi vitendo zero.

Tukiacha ushabiki Kenya mnajitahidi sana mkiacha mambo ya ubinafsi nahis linaweza kuwa taifa bora Afrika wee angalia juzi mahakama inapinga amri ya raisi kuhusu mikutano ya kisiasa ingekuwa thubutu kusema kweli sisi tunamlima wa safari kuwafikia Kenya kila tukiwakimbiza nyie mnaongeza mwendo.
 
LOL ninyi si yule kiongozi wenu kapewa kibali cha kuhutubia bunge la Umoja wa Ulaya?

Kwanini msimpe haya malalamiko yenu ayawasilishe huko? 😅😅😅
 
Tanzania mna safari ndefu sana kuifikia Kenya pahali ilipo
 
Wacha kubadilisha mada wewe. Makasiriko apan taka. Tulia sindano ikuingie. 😂 😂
 
[emoji2][emoji2][emoji2]hivi hao wakenya na kiswahili chao cha kwenye kamusi,mtamdanganyia nani!!!!
 
He's so stupid. Mbona sisi hatusemi hao wakenya ni watu wa opposition? Hawa watu hawakosangi visingizio

kwa sababu huwa wanawapiga panapouma.

huyo unayemwita mtz anabeza mpaka flyover ya ubungo,unadhani ana akili timamu kichwani huyo!!!!
 

mkuu hii tz sgr haitakaa ije ukuache salama,jiandae na maumivu.

ipo na ni lazima iishe uione ukasirike.
kumbuka hatujengi rail ya karne ya 18.
 
kumbe wabongo wanajua kucomplain ivi...wananikumbusha kipindi kile tunajenga thika highway, walikuwa wanasema hivihivi.
hao ni baadhi tu ya watanzania wasio jitambua
Fly over inajengwa kutokana na mahitahi na nature ya eneo???
Ukilingaisha na Uchumi wetu tumefanya vingi unique in East Africa na mengine meengi yanakuja
  1. Tuna daraja la mkapa, refu nafikiri among the first three in Africa
  2. Tuna Daraja la Kigamboni refu na unique - Eastern and central Africa
  3. Tunafungua modern and Fast train (160km/hr) ina anza April next year - best in East Africa
  4. Tuna fungua stand kuu mpya ya mabasi Dar in Dec ...one of the best in Africa
  5. Tuna mfumo wa usafiri wa mabasi wa Mwendokasi...the only one in East Africa
  6. Bila kusahau umeme wa bei nafuu ( Bwawa la stiglers)
  7. Unajua wami bridge is almost done?
  8. Just to mention a few
 
N i kweli mkuu,mambo haya ndio nimekuwa nakwaluzana na proccm humu jukwaani yaani kamradi kidogo tuu kakelele utafikiri ndio pekee hapa africa au duniani yaani watu maskini wa roho akili na uwezo ni tatizo sana wakishika madaraka.
Nchi nyingi sana za Africa zimekuwa na flyover miaka mingi kama Ivory Coast,Kenya,Ghana,Angola nk nk,Uganada tu hapa kuna express way ya km 40 lakini hii ya kibaha inavyopigiwa makelele sasa utafikiri sie wote ni wehu,yaani hawa mataga wanatuaibisha sana
 

juzi uhuru kazindua city train yao,baada ya wao kuanza kujisifu kabla kwamba inaopperate bila kelele za uzinduzi.

kuzindua sio dhambi,na tutazindua sana,kama inawaumiza basi.
 

Hiyo mmejengewa na sio nyinyi mliojenga ama kusupervise. Hiyo naichukulia sawa na demu na boy. Demu kahongwa Vx ndani ya muda mfupi anaitumia na Boy kaingia field kusaka pesa ili apate hiyo Vx.

Lakini mtaani utasikia watu kama MK254 wanasema huyu demu amefanya jitihada akanunua Vx na Boy hana lolote. No problem time will tell
Kenya ni sawa na demu anaehonga chini apate Chochote na sisi tungekuwa tunahonga hivyo tungekuwa na bandari ya bagamoyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Sijakuelewa nini unabwabwaja, hiyo SGR mumewaimbisha Watanzania hadi basi, eti wavumilie vyuma kukaza mtaani kisa mnajenga SGR.....kasafu ka 200km kamesababisha ukata nchi yote kila mtu msoto na kenyewe kamegomea maporini.
 
Magu ameisharudi Madarakani watcha tuone "Hapa Kazi tu" Kama ni Utani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa unafrahisha sana...SGR lot I ndio wapo 90% complete sasa unadhan izo 10% ni nyingi sana Au? Alafu inajengwa hadi makutopora Singida bampa to bampa...

Kitangulia sio kufika bruh, Hii inayojengwa hapa kwetu treni zitatumia nishati ya umeme na diesel kwa pamoja,Nyie mmejenga sgr tu bila miundombinu ya umeme kwahyo hamuwez Izidi hii kwa ubora
 

Inajengwa inayojengwa jengwa jengwa!!!!!! Haya endeleeni kujenga....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…