Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Hongera Kenya ingekuwa huku daa makelele hayo mpk miaka 5 ijayo wangejazana kusifia ujinga kuanzia maaskofu masheikh wabunge waandishi wahabari wanajeshi polisi tusingekaa kwa amani maneno mengi vitendo zero.
Tukiacha ushabiki Kenya mnajitahidi sana mkiacha mambo ya ubinafsi nahis linaweza kuwa taifa bora Afrika wee angalia juzi mahakama inapinga amri ya raisi kuhusu mikutano ya kisiasa ingekuwa thubutu kusema kweli sisi tunamlima wa safari kuwafikia Kenya kila tukiwakimbiza nyie mnaongeza mwendo.