Pre GE2025 Watanzania Waipuuze Chadema, Msajili aifungie Chadema kwa kuleta vurugu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe endelea kusaka vyeo Kwa kuwa chawa, achana na mipango ya CHADEMA.
 
Nimesoma nikapata kichefuchefu...kwanini mnanyamba sana watu wakitaka kuonesha hisia zao? Kama hazina maana watu si hawatojitokeza kuandamana!!
Sasa we mahamu unawashwa nini? Chadema walikuletea vurugu wakakufanyaje?
 
punguani wewe. maandamano ni kuleta vurugu
 
Hivi wewe chawa waCCM, unaelewa kuwa maandamano ni haki ya kikatiba ya wananchi wa nchi hii?
 
Akifute tuu mbona Kule Senegal walifuta chama Cha upinzani?
 
MACHADEMA yana hasira kama mafisi. Matusi tuuuuu.
Hayana hoja wala mawazo. Haya kaandamaneni tuone mtachopata. Nyumbu wasio na mikia.
 
Tusubiri tuone yatakayojiri.
 
Watu wanaweza wakampuuza Mbowe lakini wssipuuze kauli zake. kikubwa Hojs zinajibiwa kwa Hoja mimi ninavyo amini Maandamano hayawezi kufanyika hiyo tarehe 24/01/2024 kwa sababu POLICE hawatatoa kibali cha hayo Maandamano na kigezo kikubwa watakachotumia ni kuwa sababu zao za Maandamanohazina mashiko kwakuwa swala wanalotaka kufanyia maandamano miswada yake hipo Bungeni inajadiliwa.. Kwahiyo yoyote atakaye muatack Mbowe kama Mbowe hakuna mtu atakaye muelewa zaidi ataonekana Kibaraka ila ukifanikiwa kuatack kauli zake hapo utafanikiwa ku wa win Watanzania.
 
Kwani hawa wanasemaje kuhusu hilo
 
Mkuu umepanic.
Hakikisha unapovuka barabara uwe umeshikwa mkono. La sivyo tutakosa salaam za Sabato na dominica njemaπŸ˜„
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe unayajua yaliyomo kwenye Maridhiano?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe unayajua yaliyomo kwenye Maridhiano?
Maridhiano ya Zenji ni maamuzi ya wananchi wa huko.

Huku bara kuna kitu kinaitwa HADAA. Taifa linahitaji maridhiano na muafaka lakini CCM kama ilivyo asisi ubaguzi ikachagua nani wa kuridhiana naye. Nchi siyo CCM na CHADEMA.

Wanatupuuza na hakika hawatoweza kukazimisha nafsi zetu ziwapende
 
Wewe ni MJINGA SANA UMEAMBIWA NI MAANDAMANO YA AMANI VURUGU ITATOKA WAPI ? ANAYETAKA KULETA VURUGU NI YULE ATAKAYEYAKATAZA HAYO MAANDAMANO

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…