Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Watanzania waishio Ireland waandamana kupinga mauwaji yanayoendelea nchini na utekaji.
Eh ndio, taadhari muhimu. Usije kufika airport unakuta sura yako na mashtaka ya uhaini. 😆😆Ukiona wana vaa Masks, Ujue kweli ni watanzania na hua wana rudi time to time bongo
Sawa ,lakini hata wangekuwa warundi ni poa tu,wanatusaidia kumchafua huyu mzanzibar asiende kokoteUkiona wana vaa Masks, Ujue kweli ni watanzania na hua wana rudi time to time bongo
Eh ndio, taadhari muhimu. Usije kufika airport unakuta sura yako na mashtaka ya uhaini. 😆😆