Watanzania waishio Marekani kwanini wasirudishwe nyumbani wakiwa na pingu mikononi kama wenzao wa Brazil na Mexico

Utakuwa una matatizo yako binafsi.

Trump yupo very clear kwamba utawala wake utafanya Forceful Deportations kwa Wahamiaji haramu ambao hawana vibali halali vya kuishi katika nchi hiyo ya Marekani.
 
Kwani zinatakiwa wapeleke wapi mkuu?
Nadhani ni ushamba, 2011 vijana wa Kitanzania walipata fursa za kuwa walimu wa Kiswahili. Kila Jimbo la US alipelekwa kijana mmoja.
Kumbe jamaa walikuwa wanawazoom mienendo yao. Baada ya mwaka mmoja walitimuliwa wote akabakishwa mmoja tu.
Kisa jamaa walikuwa busy na starehe
 
Kwani mtu akitumia pesa yake anavyotaka mwenyewe, mwingine inamhusu nini? Yani mtu asake mshiko wake nani ana mamlaka ya kumpangia? Hiyo mienendo itakuwa kuhusu kazi sio pesa zao I guess, ukistarehe na kusahau kazi hilo ni lako mwenyewe ila kusema watu wanastarehe kwa pesa zao sidhani kuna mtu ana haki ya kuuliza au kujudge!
 
Hamna kitu kama hicho kilitokea. Kwanza hiyo program haijawahi kupeleka Watanzania kila jimbo la Marekani kufundisha kiswahili mwaka wowote tangu imeanzishwa. Huwa wanapelekwa ktk vyuo ambavyo vinataka na vinakidhi vigezo vya kushiriki ktk hiyo program - haijalishi majimbo vilipo hivyo vyuo.
Halafu ni starehe gani wangeweza kufanya mpaka kufukuzwa wote akabaki mmoja kwa pesa ndogo ya kujikimu ambayo huwa wanalipwa ktk hiyo program - huku wakiwa mbalimbali kila mmoja wao akiishi ktk mazingira tofauti tofauti in terms of cost of living?
 
Wanaorudishwa ni wahamiaji haramu na ni kutoka mataifa yote.

Wahamiaji haramu ni mzigo kwa pesa za walipa kodi & matukio ya kihalifu.

Jifunze kudadisi jambo kabla hujaandika shauri ya wivu.

Kwani wewe kuna mtu alikuzuia kufika Marekani kihalali?
 
Msalimi
Msalimie EBM
 
Wewe una faida gani kwenye hili taifa?

Zaidi ya kunya na kujaza choo.
 
Unataka vanessa mdee atimuliwe?
Rotimi abaki na nani sasa?
 
Hivi kiusalama hili limekaaje?
Watu wanasafirishwa huku wamefungwa minyororo mikono na miguu?
Vipi kama ikitokea ajali,wataweza kujisaidia kwa lolote lile? wataweza kuvaa life jacket au Oxygen?

Hao watu walikua na threat gani wakati tayari wapo chini ya ulinzi na wamesha ingia ndani ya Ndege?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…