Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Makafiri hayana akili kabisaWewe umeijuaje dini ya mleta mada? ni wapi ameongelea udini?
Hao wazungu mnao wababaikie ndio hao sasa wanawarudisha kwenu huku wamewafunga minyororo mikono na miguu.
Neno choo lipo sana akilini mwako sababu diaspora wengi ndizo kazi wanazozifanya huko.Wewe una faida gani kwenye hili taifa?
Zaidi ya kunya na kujaza choo.
Huu ndio ukweli na majority kabla ya yote walihangaikia makaratasi kwanza na sio jamii hatari kwa usalama wa nchiAsilimia kubwa ya Watanzania waliopo Marekani wapo kihalali ama waliingia Marekani kihalali tofauti na raia wengi wa South and Central America ambao wamevuka boda kwa njia za panya
Una roho ya kichawi ndugu yangu! Mfano wakirudishwa Tanzania wewe na familia yako mtafaidi kitu gani? Au kwa jinsi wanavyo ishi huko USA wewe unapata hasara gani? JitafakariSerikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu ya kuongeza vipaji nchini mwao.
Kwa upande wa Brazili hapo juzi pia imetoa lawama kali kwa serikali ya Marekani kupitia waziri wake wa mambo ya nje kufuatia abiria 88 kuingizwa nchini humo kinyemela wakiwa na pingu mikononi.
Vyovyote vile itakavyokuwa kwa upande wangu ningependa kujua Watanzania waishio Marekani je, hawana sifa kama hizo kwa utawala wa Donald Trump.
Kwa maneno mengine jee watanzania hao wana sifa gani za kuendelea kubaki Marekani na kukwepa kurudishwa nyumbani kama wenzao wa Marekani ya kusini
Kukaa kwao Marekani kunakupa hasara Gani ww au wazazi wao walileta malalamiko kwakoSio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.
NAUNGA MKONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.
NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
Trump hafukuzi kila mgeni; Trump anafukuza raia wa kigeni wasiokua na makaratasi ya kuishi kule. Halafu, ni nini kilicho pelekea wewe kua na wazo OVU namna hiyo dhidi ya Watanzania wenzio? Utapata Nino wao wakirudishwa? Kumbuka tu, "Wivu ni hatua ya mwisho kabisa kabla hajatunukiwa UCHAWI rasmi" look very, yaani angalia sanaSerikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu ya kuongeza vipaji nchini mwao.
Kwa upande wa Brazili hapo juzi pia imetoa lawama kali kwa serikali ya Marekani kupitia waziri wake wa mambo ya nje kufuatia abiria 88 kuingizwa nchini humo kinyemela wakiwa na pingu mikononi.
Vyovyote vile itakavyokuwa kwa upande wangu ningependa kujua Watanzania waishio Marekani je, hawana sifa kama hizo kwa utawala wa Donald Trump.
Kwa maneno mengine jee watanzania hao wana sifa gani za kuendelea kubaki Marekani na kukwepa kurudishwa nyumbani kama wenzao wa Marekani ya kusini
Sio kupatwa na majanga. Tanzania ina ardhi kubwa sana na mapori ya kutosha. Wanaotakiwa kwenda Ulaya na Marekani kufanya kazi za house boy ni nchi ambazo hazina rasilimali ardhi ya kutosha. Warudi walime. Mtu unakimbilia Marekani na Ulaya unakaa miaka 10 unarudi Tz lakini tunakuzidi maisha tena kwa mbali sana, na ndio maana wengine mnaona aibu kurudi. Pumbavu zenuKukaa kwao Marekani kunakupa hasara Gani ww au wazazi wao walileta malalamiko kwako
Wewe unafikiri walikuwa naaisha mazuri bongo wakakimbilia huko kupambana
Pengine hawajafanikiwa Ila hamna haja ya kutamani wapatwe na majanga
Mkuu hizi ni hadith za kitaa wapo Watanzania wamewekeza huko nje ukiambiwa ni Mtanzania unakataa sema Watanzania wengi hawana connection na Matajiri Watanzania waliopo nje ndio maana hata kuwajua ni ngumu kwa baadhi ya Nchi nilizozunguka nimeona wapo njema sana aisee..Watanzania wenyewe huko ng'ambo kila wakipata pesa zinaishia disco, casino na kwenye mapaja ya mademu
Mkuu ukipata fursa wasaidie tu watu ndio maisha hakuna kingine ila usiwadharau watu ambao leo hawana mazee..Sio kupatwa na majanga. Tanzania ina ardhi kubwa sana na mapori ya kutosha. Wanaotakiwa kwenda Ulaya na Marekani kufanya kazi za house boy ni nchi ambazo hazina rasilimali ardhi ya kutosha. Warudi walime. Mtu unakimbilia Marekani na Ulaya unakaa miaka 10 unarudi Tz lakini tunakuzidi maisha tena kwa mbali sana, na ndio maana wengine mnaona aibu kurudi. Pumbavu zenu
Mungu tusaidie watanzania wengi wana roho mbaya Sana ila zimejifisha kwa wachache wenye roho nzuri, kabisa ukamtakie mwenzio mabaya [emoji24][emoji24][emoji24]Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu ya kuongeza vipaji nchini mwao.
Kwa upande wa Brazili hapo juzi pia imetoa lawama kali kwa serikali ya Marekani kupitia waziri wake wa mambo ya nje kufuatia abiria 88 kuingizwa nchini humo kinyemela wakiwa na pingu mikononi.
Vyovyote vile itakavyokuwa kwa upande wangu ningependa kujua Watanzania waishio Marekani je, hawana sifa kama hizo kwa utawala wa Donald Trump.
Kwa maneno mengine jee watanzania hao wana sifa gani za kuendelea kubaki Marekani na kukwepa kurudishwa nyumbani kama wenzao wa Marekani ya kusini
Wanaletwa kwa njia hiyo!Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu ya kuongeza vipaji nchini mwao.