Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Nimefika Kenya mara nyingi lakini ukiondoa Raisi wa Tanzania hakuna kiongozi wa Tanzania ambaye Mkenya wa kawaida anamfahamu achilia mbali hata kumsikia!

Lakini hapa Bongo tuko obsessed na Kenya, tunajua na kufuatilia kila kitu, mpaka tunachukuwa upande wa vyama vyao vya Kisiasa, Kenya wanaijua CCM tu lakini Tanzania tunajua na kufuatilitilia kila chama cha siasa cha Kenya na viongozi wake, hata hapa JF tumeweka jukwaa maalumu kwa ajili ya Kenya na wachangiaji wakubwa ni watanzania, Kenya hili lisingewezekana, kwanza Mkenya wa kawaida anamdharau Mtanzania!

Ujumbe wangu ni upi? Tunawababaikia wakenya tukubali au tukatae, hakuna Mkenya anayejua TV ya Tanzania lakini watanzania wote wanajua TV za Kenya!
Kuna Watanzania hata wanasoma Magazeti ya Kenya lakini hakuna gazeti la Tanzania linaloweza kuuzwa Kenya na kununuliwa.

Mfano hai Tundu Lisu kakimbizwa Kenya hakuna Mkenya ambaye angeweza kukimbizwa Tanzania, CHADEMA wako obsessed na Rais Uhuru Kenyatta na chama chake lakini nina uhakika wanachama wa chama cha Uhuru Kenya hawajawahi hata kuisikia CHADEMA, achilia mbali hata tu kujua kama kuna mtu anaitwa Mbowe!

Tundu Lissu kalazwa Kenya lakini hakuna hata high ranking official mmoja wa Chama cha Uhuru Kenya aliyefika kumuona, kwa kifupi wakenya don’t give a shit about you, acheni kujipendekeza....
 
Nimefika Kenya mara nyingi lkn ukiondoa Raisi wa TZ hkn Kiongozi wa TZ ambaye Mkenya wa kawaida anamfahamu achilia mbali hata kumsikia!

Lkn hapa Bongo tuko obsessed na Kenya, tunajua na kufwatilia kila kitu, mpaka tunachukuwa upande wa vyama vyao vya Kisiasa, Kenya wanaijua CCM tu lkn TZ tunajua na kufwatilitilia kila Chama cha Siasa cha Kenya na Viongozi wake, hata hapa JF tumeweka jukwaa maalumu kwa ajili ya Kenya na wachangiaji wakubwa ni Watanzania, Kenya hili lisingewezekana, kwanza Mkenya wa kawaida anamdharau Mtanzania!

Ujumbe wangu ni upi? Tunawababaikia Wakenya tukubali au tukatae, hkn Mkenya anayejua TV ya TZ lkn Watanzania wote wanajua TV za Kenya, ...
Nani anababaika na Wakenya wanaokula mlo mmoja kwa siku? Dhiki kibao labda wewe unayeshinda kwao ndio unababika nao. Rudi kajipange na upuuzi wako
 
DAbjqIVXkAAG2I6.jpeg
 
Nimefika Kenya mara nyingi lkn ukiondoa Raisi wa TZ hkn Kiongozi wa TZ ambaye Mkenya wa kawaida anamfahamu achilia mbali hata kumsikia!

Lkn hapa Bongo tuko obsessed na Kenya, tunajua na kufwatilia kila kitu, mpaka tunachukuwa upande wa vyama vyao vya Kisiasa, Kenya wanaijua CCM tu lkn TZ tunajua na kufwatilitilia kila Chama cha Siasa cha Kenya na Viongozi wake, hata hapa JF tumeweka jukwaa maalumu kwa ajili ya Kenya na wachangiaji wakubwa ni Watanzania, Kenya hili lisingewezekana, kwanza Mkenya wa kawaida anamdharau Mtanzania!

Ujumbe wangu ni upi? Tunawababaikia Wakenya tukubali au tukatae, hkn Mkenya anayejua TV ya TZ lkn Watanzania wote wanajua TV za Kenya!
Kuna Watanzania hata wanasoma Magazeti ya Kenya lkn hkn Gazeti la TZ linaloweza kuuzwa Kenya na kununuliwa.

Mfano hai Tundu Lisu kakimbizwa Kenya hakuna Mkenya ambaye angeweza kukimbizwa TZ, chadema wako obsessed na Raisi Uhuru Kenya na Chama chake lkn nina uhakika Wanachama wa Chama cha Uhuru Kenya hawajawahi hata kuisikia chadema, ...
Sasa kama wao wenyewe kwa wenyewe wanadharauliana itakuaje wasitudharau sisi? Kama wenyewew kwa wenyewe hawapendani itakuaje watupende sisi? Hao watu wako na roho mbaya in nature, n by the way sio kila wafanyacho wakenya na sisi tufanya na sio kila wasichofanya na sisi tusifanye. Hatupo kwenye mashindano, tunawafatilia n it doesnt cost us anything, wao mioyo yao imejawa na chuki so wanaona kutufatilia kama itakua kutuabudu or something like that bt for us its not a big deal, yani watanzania tuko na upendo wa hivo tu by nature, we love every one n we want to know them.

Hatujawaomba watufatilie, wala haitatuongezea chochote kutufatilia na wasipotufatilia hatupungukiwi pia. Hao watu wameumbwa kwa kuishi kimatabaka, yani kujiona yeye bora kuliko mwingine thats why hata jamii zao hazipiki chungu kimoja seuze taifa jingine??

I dont think if this is some thing of a big deal to brag about, am just feeling so sorry for them kwa kua na roho mbaya.

Na sisi wabongo kufatiliana ni kitu cha kawaida yan ni kama a part of our culture so tunafatiliana wenyewe kwa wenyewe hadi nchi jirani and so do Kenyans wanachukiana na kudharauliana wenyewe kwa wenyewe na hata nchi jirani.
 
waKenya wanaheshimiana sana tena sana sijawai pata kuona na pia ni wakarimu. japo tofauti hutokea kila baada ya miaka mitano watu wakianza kujitenga kwa mirengo ya kisiasa.
 
Sio kweli hata kidogo, wakenya ni wabaguzi sana tena sana, haiwezikani useme mnaheshimiana wakati mnatambuana kwa ukabila, serikali inaendeshwa kwa misingi hiyo hiyo, hadi vyuo vikuu vinaendeshwa kwa misingi ya ukabila, makundi ya mitandao nayo ipo katika misingi ya ukabila, kama unabisha, hebu lete orodha ya watumishi wa serikali kwa kila wizara, kuanzia CS makatibu wakuu, waiurugenzi hadi chini, utakuta zaidi ya 60% ni kabila moja, anza na wizara ya fedha, nenda Bank Kuu ya Kenya, nenda wizara ya uchukuzi.....huko ndiko kupendana na kuheshimiana?

Hivi ukisikia watu wa magharibi na wale toka mikoa ya pwani wakilalamika unadhani ni vichaa? wanataka kujitenga kwa kuhisi wanaonekana second class citizens, unaona malalamiko yao sio sawa kwasababu wewe ni miongoni mwa wale wanaodharau na kuwatenga wengine?
 
Nimefika Kenya mara nyingi lkn ukiondoa Raisi wa TZ hkn Kiongozi wa TZ ambaye Mkenya wa kawaida anamfahamu achilia mbali hata kumsikia!

Lkn hapa Bongo tuko obsessed na Kenya, tunajua na kufwatilia kila kitu, mpaka tunachukuwa upande wa vyama vyao vya Kisiasa, Kenya wanaijua CCM tu lkn TZ tunajua na kufwatilitilia kila Chama cha Siasa cha Kenya na Viongozi wake, hata hapa JF tumeweka jukwaa maalumu kwa ajili ya Kenya na wachangiaji wakubwa ni Watanzania, Kenya hili lisingewezekana, kwanza Mkenya wa kawaida anamdharau Mtanzania!

Ujumbe wangu ni upi? Tunawababaikia Wakenya tukubali au tukatae, hkn Mkenya anayejua TV ya TZ lkn Watanzania wote wanajua TV za Kenya!
Kuna Watanzania hata wanasoma Magazeti ya Kenya lkn hkn Gazeti la TZ linaloweza kuuzwa Kenya na kununuliwa.

Mfano hai Tundu Lisu kakimbizwa Kenya hakuna Mkenya ambaye angeweza kukimbizwa TZ, chadema wako obsessed na Raisi Uhuru Kenya na Chama chake lkn nina uhakika Wanachama wa Chama cha Uhuru Kenya hawajawahi hata kuisikia chadema, ...
Analysis yako inakosa uhalisia badala yake imefikia kwenye conclusion yako binafsi, sema ukweli kati ya TV za Tanzania na zile za Kenya, ni za nchi gani zinapenda kurusha habari za nchi nyingine?, hata magazeti ni ya nchi gani yanaandika habari za nchi zingine?

ukiondoa humu JF, na pia huu ukurasa wa Kenya, huko mitaani hakuna mtu au watu wanaozungumzia habari za Kenya, katika uchaguzi wa 2015 hapa Tanzania, TV nyingi za Kenya zilileta wawakilishi wao hapa nchini na wakawa wanarusha kwenye TV zao muenendo wote wa uchaguzi, hapo ndipo palipotokea mgawanyiko, ambapo TV na magazeti yanayoegemea Jubilee yalikuwa yanaegemea upande wa Lowasa, na hata baadhi ya viongozi wa Serikali ya Jubilee walisema waziwazi juu ya kushabikia Lowasa, baada ya Lowasa kushindwa, serikali ya Jubilee ikaanza kuwa na hofu sana juu ya mahusiano yake na Tanzania, nitakutumia baadhi tu ya magazeti ya Kenya kuthibitisha ninalolizungumza hapa chini.
 
Hakuna Mkenya ndani ya Kenya anayeongelea chadema au Lowasa achilia mbali hata tu kusikia kama kuna mtu anaitwa Lowasa, lkn nyie hapa mko obsessed na Uhuru Kenya na Chama chake mpaka hata mmegeuza kuwa ajenda ya chadema!

Nimekwenda Kenya mara nyingi na sikuwahi kusikia mtu akiitaja chadema au Lowasa sana sana watamuongelea Raisi Magufuli, Kikwete au hata Mkapa wakati mwingine lkn siyo chadema au Lowasa kama nyie mnavyopoteza muda wenu hapa kuwajadili!
 
Kati ya mzazi na mtoto nani anayemfuatilia mwingine? Wewe mtz, msomi, mwana harakati na mwanasiasa, unavijua vyama vingapi vya siasa vya USA na UK? Unadhani, mwenye nafasi kama yako wa US na UK hakijui chama cha hayati Mtikila na sera zake.
 
Hakuna Mkenya ndani ya Kenya anayeongelea chadema au Lowasa achilia mbali hata tu kusikia kama kuna mtu anaitwa Lowasa, lkn nyie hapa mko obsessed na Uhuru Kenya na Chama chake mpaka hata mmegeuza kuwa ajenda ya chadema!

Nimekwenda Kenya mara nyingi na sikuwahi kusikia mtu akiitaja chadema au Lowasa sana sana watamuongelea Raisi Magufuli, Kikwete au hata Mkapa wakati mwingine lkn siyo chadema au Lowasa kama nyie mnavyopoteza muda wenu hapa kuwajadili!
Wewe umekwenda Kenya, mimi nimefanya kazi Kenya muda mrefu sana, ni kweli kwamba Chadema au Lowasa sio maarufu kwa sababu Lowasa alikuwa CCM miaja yote, na CCM ni maarufu sana Kenya na Afrika nzima, kabla ya Dr.Slaa kuhamia Chadema mwaka 2005, Chadema hakikuwa chama Chenye nguvu hata ndani ya nchi, vipi unataka kifahamike huko Kenya wakati bado hakijawa na nguvu?, Chadeama kilianza kuwa na nguvu baada ya uchaguzi wa 2010, kumbuka Lowasa bado alikuwa ndani ya CCM, Kenya wasingemjua, alipotoka CCM, ndipo alipoanza kujulikana kuanzia 2015, utawezaji kumlinganisha na Raila ambaye ameanza kupambana na serikali ya Kenya kuanzia miaka ya 70?

Pia sababu kubwa inayofanya nchi nyingi zikiwemo zile za Ulaya kufuatilia siasa za Afrika, ni kutokana na fujo na mauaji yanayoambatana na uchaguzi wa nchi husika, juzi Angola wamefanya uchaguzi, nani alishughulika kufuatilia?, au uchaguzi wa Zambia, Namibia, Botswana, na nchi zote ambazo zinaendesha uchaguzi kwa amani na utulivu. Linganisha na Zimbabwe, Uganda, Kenya, DRC, na nchi zingine ambazo uchaguzi unaambatana na fujo na mauaji, hilo ndilo linalofanya watanzania na nchi zingine kufuatilia kwa makini uchaguzi wa Kenya.
STATEHOUSE in PANIC as Raila MAN WINS Tanzania's CCM Presidential nominations
 
Kama mnafikiri huo mnaouita urafiki na Wakenya una usawa wowote kwa nini hkn Mkenya amefika kumsalimia Tundu Lisu wenu hospitalini? Ingawaje mmejipendekeza kumkimbizia huko hata mkaenda kuhojiwa kwenye TV zao na kuitukana nchi yangu?
 
Kama mnafikiri huo mnaouita urafiki na Wakenya una usawa wowote kwa nini hkn Mkenya amefika kumsalimia Tundu Lisu wenu hospitalini?
Tundu Lisu na Chadema walitangazia dunia kwamba wao wanaunga mkono Jubilee na serikali yake, ni jambo la kawaida na lililozoeleka kwa watu marafiki kusaidiana katika kipindi cha ugonjwa au matatizo, sidhani kama kuna jambo la kushangaza hapo.

Haya ni miongoni tu ya baadhi ya yale yanayofanya dunia na watanzania kufuatilia uchaguzi wa Kenya, kumbuka tangu August uchaguzi ulipofanyika kwa mara ya kwanza hadi leo, watu takribani 70 wameshauliwa na polisi, na bado mauaji yanaendelea.
Se connecter à Facebook | Facebook
 
Nionyeshe ni wapi Wakenya waliitangazia Dunia wanaiunga mkono chadema? Kama mnafikiri wanawajali kama ninyi mnavyowajali, nionyeshe high ranking official wa Chama cha Kenya hata tu akiitaja chadema popote pale!
 
Hakuna Mkenya ndani ya Kenya anayeongelea chadema au Lowasa achilia mbali hata tu kusikia kama kuna mtu anaitwa Lowasa, lkn nyie hapa mko obsessed na Uhuru Kenya na Chama chake mpaka hata mmegeuza kuwa ajenda ya chadema!

Nimekwenda Kenya mara nyingi na sikuwahi kusikia mtu akiitaja chadema au Lowasa sana sana watamuongelea Raisi Magufuli, Kikwete au hata Mkapa wakati mwingine lkn siyo chadema au Lowasa kama nyie mnavyopoteza muda wenu hapa kuwajadili!
What about this one?
IMG_20171130_130030_700.JPG
IMG_20171130_130019_101.JPG
 
Back
Top Bottom