Wewe umekwenda Kenya, mimi nimefanya kazi Kenya muda mrefu sana, ni kweli kwamba Chadema au Lowasa sio maarufu kwa sababu Lowasa alikuwa CCM miaja yote, na CCM ni maarufu sana Kenya na Afrika nzima, kabla ya Dr.Slaa kuhamia Chadema mwaka 2005, Chadema hakikuwa chama Chenye nguvu hata ndani ya nchi, vipi unataka kifahamike huko Kenya wakati bado hakijawa na nguvu?, Chadeama kilianza kuwa na nguvu baada ya uchaguzi wa 2010, kumbuka Lowasa bado alikuwa ndani ya CCM, Kenya wasingemjua, alipotoka CCM, ndipo alipoanza kujulikana kuanzia 2015, utawezaji kumlinganisha na Raila ambaye ameanza kupambana na serikali ya Kenya kuanzia miaka ya 70?
Pia sababu kubwa inayofanya nchi nyingi zikiwemo zile za Ulaya kufuatilia siasa za Afrika, ni kutokana na fujo na mauaji yanayoambatana na uchaguzi wa nchi husika, juzi Angola wamefanya uchaguzi, nani alishughulika kufuatilia?, au uchaguzi wa Zambia, Namibia, Botswana, na nchi zote ambazo zinaendesha uchaguzi kwa amani na utulivu. Linganisha na Zimbabwe, Uganda, Kenya, DRC, na nchi zingine ambazo uchaguzi unaambatana na fujo na mauaji, hilo ndilo linalofanya watanzania na nchi zingine kufuatilia kwa makini uchaguzi wa Kenya.
STATEHOUSE in PANIC as Raila MAN WINS Tanzania's CCM Presidential nominations
Ndugu umemjibu vizuri sana,nilitaka nimwambie hivi,
Mtoa maada sajajuia vizuri ni wakike au kiume,maana maada yake imechanganya mambo ya kiume na kike mf maneno haya(
kifupi Wakenya don’t give a shit about you,) haya ni maneno yakike pale wivu wa mapenzi ukimshika na kamjua mgoni wake ,
Acha nikupe darasa, kumjua jirani yako kuliko ww akujuavyo kunafaida kubwa sana. Sijui age yako ila sisi enzi zetu darasa la nne mpaka la saba kwenye somo la Geographia tulianza kujua ramani ya Tz,na mikoa yake nakila mkoa na sifa zake,mfano kwenye mtihani unaulizwa Almasi inachimbwa wapi? dhahabu wapi? korosho, nk,then tukaja ramani ya east africa< hapa lazima ujue jina la nchi na miji mikuu yake na baadhi ya miji kama jinja,kampala nairobi,kisumu kericho Turkana na sifa za hiyo miji,mfano unaweza ulizwa kwenye mtihani,ziwe Turkana lipo wapi? unatakiwa kujibu,
kutoka hapo tunakuja tonasoma ramani ya africa na nchi na miji mikuu yake,utamaduni nk,mfano unaweza kuulizwa Victoria falls ipo wapi? au Kakao inalimwa wapi? then tunamaliza na ramani ya dunia,
Haya yote tulisoma sio kwamba tulikua tunajipendekeza au
kugive shit ila kupanua uweza wa kuchambua mambo nakujua unaishi katika ulimwengu gani,
Sasa wewe unababaishwa na wekenya ambao hata ukiwauliza Serengeti ipo wapi wankwambia hawajui,mt kilimanjaro wanakwambia unaonekana vizuri ukiwa Kenya,ila mkenye huyo huyo muulize mauaji ya albino yanatokea wapi atakutajia nchi,mkoa hadi Kijiji
Wivu,roho mbaya na majigambo ndio yamewajaa,
(kwanza Mkenya wa kawaida anamdharau Mtanzania!) unasema mkenya wakawida,its true maana ni utamaduni wao,wamelelewa hivyo,Hivi uliwa sikia Wtz labda kuna nchi wainadharau? jibu hakuna kwasababu tumefunzwa kumheshim kila mtu thats why mataifa mengi ya Africa uhuru wao wamepatia Tz pia hata maraisi wao wamepata elim zao hapa,Kingine ambcho hujui Kenya inshindana na TZ kiuchumi wakati TZ hata habari hatuna,mkenya akisikia TZ wafanya hivi na yy analipiza hata kama halina faida kwake,mfn Bomba la mafuta, na wao wanatoa lao linaanzia jUba maka mombasa,sasa,issue ya reli,Tz wanapanga kuunganisha reli from Dar to burundi mpaka Kongo, wao nao Wakajenga yakwao,sasa wauliza mnafaidika navyo? au mnaiga tu?
Inshort Kenya anaifatilia Tz kimajungu majungu,while Tz wanaifatilia Kenya in +VE way,
(Watanzania wote wanajua TV za Kenya!) hapa reseach yako ni ya uwongo kweli kweli ,hauna tofauti naile ya wakenya wanajisifia eti 90% ya popuration yao wanatumia internet ,wakati hapo hapo report zao zinasema 60% ya wakenya hawanaumeme,25% ni watoto 40% nimasikini wakutupwa,yaani mlo kwa siku ni shida,
Unacho takiwa kujua wakenya wanapenda sifa kuliko kitu chochote,