Bitter pill
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 917
- 781
Kuhusu thread za Kenya kujaa comment za wabongo its very logical kwa sababu watumiaji wakubwa wa JF ni sie wabongo and as a matter of fact JF ime-base bongoland...kuhusu Sir kujua mengi kuhusu wao ni dalili nzuri kuwa tuko exposed kuliko wao.........
Ujinga ni upi sasa hapo? Kurusha habari za TZ?Siyo kweli, kwanza ni kinyume chakle, TV za TZ hata zina Habari za AM lkn Kenya wala Uganda hakuna huwo ujinda!
Ww unajitambua kweli..? Au ww ni mkenya? Uwe mkweli..wakenya mnachukiana ile mbaya..baa ya mjaluo wateja ni wajaluo..kabila kubwa kenya si walishatamka the mjaluo can never rule kenya...unafikiri sisi hatujui ?
hio ni wakati ambapo siasa za nchi zimepamba moto. lakini ndani ya miaka minne watu wanaishi pamoja, wanaoana, na kufanya biashara kwa kushirikiana.
waLuo na waKikuyu wameona hata kutoka kwa watoto wa Uhuru na Raila. James Orengo pamoja na Babu Owino wameoa waKikuyu
We boya wenzako tunafuatilia kote siyo Kenya tu sema Kenya tuna mifalakano nao sana kutokana na ujuma zaoKwa nini hatufwatilii mengi kuhusu Burundi, Kongo au sijui Uganda kama ni sawa kufwatilia mambo ya mtu mwingine klk hata anavyofwatilia yako?
Ukitoa Kenyan news hapa tunatoka wote hatungeungia huku kama si kenya n newsHata hii forum ni ya Tanzania,
Wakenya wamejaa huku, what do u say?
Na hao wanamuziki ni watz, so means mko obsessed na watz ambao ni wanamuzikiUweli unachoma wasee hapa mkubali ukweli..sisi tunapenda music yenu hatuwezi pinga hio