Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

Hakuna Mkenya ndani ya Kenya anayeongelea chadema au Lowasa achilia mbali hata tu kusikia kama kuna mtu anaitwa Lowasa, lkn nyie hapa mko obsessed na Uhuru Kenya na Chama chake mpaka hata mmegeuza kuwa ajenda ya chadema!

Nimekwenda Kenya mara nyingi na sikuwahi kusikia mtu akiitaja chadema au Lowasa sana sana watamuongelea Raisi Magufuli, Kikwete au hata Mkapa wakati mwingine lkn siyo chadema au Lowasa kama nyie mnavyopoteza muda wenu hapa kuwajadili!
Umeenda Kenya ipi wasiomjua Lowasa ama CDM Acha urongo inategemea wewe umefika wapi unategemea mtu wa Turkana ajue siasa za Tz?
 
Na hao wanamuziki ni watz, so means mko obsessed na watz ambao ni wanamuziki
Music is universal has no borders but ikifika ni kujua local news za a certain country each other day, then that is obsession.
 
Unatoka mapovu tu ndugu,na hap ngundua Kenya hujafika unalifahamu gazet la mwanaspot linasomwa Kenya Chanel 5 inaangaliwa sana Kenya ITV Kyle inaangaliwa aibu Kwako mtoka mapovu
 
Wao ndo wanafuatilia sisi kama mkia mazeee,hapa wanasubiria tutangaze ujinga kama aliotangaza yule rais wao mjinga et kinachohitajika ni ID ya nchi yako utokako utakua free kuishi na kufanya maisha kenya.Hawana vya kumfanya mTanzania akimbilie huko wao ndo wanatuwaza sanaa.Kama huamini mbona Uganda na nchi nyingine zilizo katika EAC wakenya hawataki kwenda zaidi wanawaza namna ya kuungia humu kwetu???Mh rais usiruhusu ujinga wa Kenyata hapa kwetu ata nukta et kipande ndo uweze ingia katika hii nchi nzur hvi.Nyie kaeni na ujinga wenu wa kujiona ni bora wakat hamna la maana zaidi wazungubwenye vitega uchumi vyao hapo ilihali nyie mlo mmoja ni taabu.
 
Nina uhakika ni Wakenya ambao aidha wanaishi TZ au wana uhusiano wa moja kwa moja na TZ yetu!
Huu utafiti wako rudi kajipange inaonekana umepewa limbwata na wakenya ndio maana huoni kama ya kwetu wanayajua
 
Kenya wametuzidi kiuchumi .kidemocrac ki Elimu, hivyo ni rahisi kujua habari zao kuliko wao kujua habari zeta, sisi tunaijua America lakini wa America hawajui hata Tz iko bara gani
Demokrasia?????
 
Kwanza sina hakika kwamba Watanzania as a nation wanaweza kuwa obsessed in a lamentable way na kitu chochote. Hata ukisema wamekuwa obsessed na Dr. Shika au ku bet, two clear hits now, that is debatable.

What is to be obsessed exactly?

Pia, kuwa obsessed na nchi nyingine si kitu kibaya, as long as kuna malengo.

Wazungu walikuwa obsessed na Afrika kuliko Waafrika walivyokuwa obsessed na Ulaya,matokeo yake wazungu wakatawala Afrika.

Kwa hiyo, kuwa obsessed kunaweza kuonesha curiosity, kunaweza kuwa kitu kinachokupa nguvu kibiashara.
Wewe unajitambua!! Bora kumwelimisha huyu mpumbvu taratibu, japo sidhani kama ataelewa! Si kila mtu anafuatilia kila kitu kila wakati! Nilikuwa Lamu wakati fulani,watu wengi zaidi walikuwa wakizungumzia mambo ya Somalia na USA! Wakati Obama alipokuwa akigombea urais kwa term ya kwanza kama ungekaa kwenye kijiwe chochote nchini kenya basi ungeweza kudhani upo Michigan!! Wakati wa mauaji ya albino magazeti yote ya kenya yalikuwa na habari za Tanzania! Mtu anafuatilia kile ambacho kinamhusu kwa namna moja au nyingine! Nilikutana na kijana mmoja nairobi,akaanza kuniuliza habari nyingi za barabara za Tanzania, akiniuliza 'hivi ile kipande ya kutoka Katesh hadi singida ilimalizika kutengenezwa?' mara aulizie ya huko musoma na kwingineko,anazijua barabara karibu zote za TZ na check points zake,kaniambia ni dereva wa lorry! Na kuna ile kama ya kwako wewe kada wa ccm Barbarosa lakini hata ukilala usiku na mumeo bado unaiota chadema!!hii ndiyo sijui maana yake! Nina uhakika kabisa kuwa hakuna post yoyote ya Barbarosa hapa JF ambayo haina neno chadema!!
 
Hata wewe ile kuijua tu hiyo Citizen ya Kenya na kuitembelea unazidi kuthibitisha ninachomaanisha, hakuna Mkenya anayetembelea websites za ITV, Azam &Co..

can you prove that... hakuna
 
Sio kweli hata kidogo, wakenya ni wabaguzi sana tena sana, haiwezikani useme mnaheshimiana wakati mnatambuana kwa ukabila, serikali inaendeshwa kwa misingi hiyo hiyo, hadi vyuo vikuu vinaendeshwa kwa misingi ya ukabila, makundi ya mitandao nayo ipo katika misingi ya ukabila, kama unabisha, hebu lete orodha ya watumishi wa serikali kwa kila wizara, kuanzia CS makatibu wakuu, waiurugenzi hadi chini, utakuta zaidi ya 60% ni kabila moja, anza na wizara ya fedha, nenda Bank Kuu ya Kenya, nenda wizara ya uchukuzi.....huko ndiko kupendana na kuheshimiana?

Hivi ukisikia watu wa magharibi na wale toka mikoa ya pwani wakilalamika unadhani ni vichaa? wanataka kujitenga kwa kuhisi wanaonekana second class citizens, unaona malalamiko yao sio sawa kwasababu wewe ni miongoni mwa wale wanaodharau na kuwatenga wengine?
Sure
 
Wewe ni mmoja wapo wa wana Jf mnaopenda kufungua nyuzi kuwahusu Wakenya daily humu! Ila leo unaponda wenzio??

The Irony..
 
Wewe ni mmoja wapo wa wana Jf mnaopenda kufungua nyuzi kuwahusu Wakenya daily humu! Ila leo unaponda wenzio??

The Irony..
He has seen the light, the rest are still wallowing and stumbling into darkness.
 
Sasa kama wao wenyewe kwa wenyewe wanadharauliana itakuaje wasitudharau sisi? Kama wenyewew kwa wenyewe hawapendani itakuaje watupende sisi? Hao watu wako na roho mbaya in nature, n by the way sio kila wafanyacho wakenya na sisi tufanya na sio kila wasichofanya na sisi tusifanye. Hatupo kwenye mashindano, tunawafatilia n it doesnt cost us anything, wao mioyo yao imejawa na chuki so wanaona kutufatilia kama itakua kutuabudu or something like that bt for us its not a big deal, yani watanzania tuko na upendo wa hivo tu by nature, we love every one n we want to know them.

Hatujawaomba watufatilie, wala haitatuongezea chochote kutufatilia na wasipotufatilia hatupungukiwi pia. Hao watu wameumbwa kwa kuishi kimatabaka, yani kujiona yeye bora kuliko mwingine thats why hata jamii zao hazipiki chungu kimoja seuze taifa jingine??

I dont think if this is some thing of a big deal to brag about, am just feeling so sorry for them kwa kua na roho mbaya.

Na sisi wabongo kufatiliana ni kitu cha kawaida yan ni kama a part of our culture so tunafatiliana wenyewe kwa wenyewe hadi nchi jirani and so do Kenyans wanachukiana na kudharauliana wenyewe kwa wenyewe na hata nchi jirani.
Ufahamu wa mambo na uwezo wako wa kueleza ni mkubwa sana. Asante kwa maelezo.
 
Heshima kwako mzee!!!!
 
waKenya wanaheshimiana sana tena sana sijawai pata kuona na pia ni wakarimu. japo tofauti hutokea kila baada ya miaka mitano watu wakianza kujitenga kwa mirengo ya kisiasa.
Completely wrong and misguided!!!!
 
Back
Top Bottom