Sio kweli hata kidogo, wakenya ni wabaguzi sana tena sana, haiwezikani useme mnaheshimiana wakati mnatambuana kwa ukabila, serikali inaendeshwa kwa misingi hiyo hiyo, hadi vyuo vikuu vinaendeshwa kwa misingi ya ukabila, makundi ya mitandao nayo ipo katika misingi ya ukabila, kama unabisha, hebu lete orodha ya watumishi wa serikali kwa kila wizara, kuanzia CS makatibu wakuu, waiurugenzi hadi chini, utakuta zaidi ya 60% ni kabila moja, anza na wizara ya fedha, nenda Bank Kuu ya Kenya, nenda wizara ya uchukuzi.....huko ndiko kupendana na kuheshimiana?
Hivi ukisikia watu wa magharibi na wale toka mikoa ya pwani wakilalamika unadhani ni vichaa? wanataka kujitenga kwa kuhisi wanaonekana second class citizens, unaona malalamiko yao sio sawa kwasababu wewe ni miongoni mwa wale wanaodharau na kuwatenga wengine?