Watanzania Wakwama Uwanja wa KIA India kwa Siku 6

Iko hivi hii ni familia ya watu wanne(baba ,mama na watoto) waliondoka DSM wakiwa na Visa ya India na Maldives waliondoka Dar tar 10 October mwaka Jana kuelekea GOA wakipitia MUMBAI (Goa na Maldives zina fukwe nzuri sana na watalii hupenda kutembelea hasa kipindi cha December wengi hasa kutoka Russia huwa wanaenda GOA esp' Calangute beach one of the best beach in Goa).....sasa baada ya kuspend vya kutosha wakaanza safari ya kwenda visiwa vya Maldives kupitia Kempegowda International Airport(KIA) mjini Bangalore -Karnataka kwenda Maldives Baada ya kufika kule Maldives huwakufanya booking ya hotel na hawakuwa na pesa zakutosha kuwaweka kwa muda watakao kuwa visiwani hapo basi wakazuiliwa kuingia nchi hiyo na kurudishwa Bangalore India kwa kutumia flight ya Air India....Baada ya kufika Bangalore wakafanya Booking ya flight from Bangalore to Dar es salaam kwa kupitia Mumbai ila kwa sababu za ajabu Air Tanzania ikakataa kuwachukua na family kuwa stranded hapo airport kwa muda wa week moja wakisaidiwa airport staffs mpaka Oman Air ilipo kubali kuwachujua kuwa rudisha Tanzania siku ya Tar 15 January jumatano.

Maoni yangu:-
1.Ubalozi wa Tanzania hausaidii watanzania waishio India ....hata issue za ETD ni shida ( Balozi abadilishwe)
2.Wangeweza kuwachukua wakifika Tanzania wanahold passport zao ,ama hata na kuwapeleka mahakamani.
3.Hari hii imetia aibu kwanchi yetu
IMG_20200116_203325.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3.Hari hii imetia aibu kwanchi yetuView attachment 1325262

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante kwa kuweka nyama za kutosha.
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    28.3 KB · Views: 1
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    26 KB · Views: 1

Umeandika vizuri sana, ila ukweli ni kwamba Balozi nyingi za Tanzania huko Duniani hazisaidii watanzania si India peke yake, sijui hili tatizo kwanini linazidi kushamiri.

Sisi tunataka wakatembelee Serengeti ili wakatumie fedha zao huko.
Then wao wanaamua kwebda India acha wakome ili wanyooke. ( IN MECO'S VOICE).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko hivi hii ni familia ya watu wanne(baba ,mama na watoto) waliondoka DSM wakiwa na Visa ya India na Maldives waliondoka Dar tar 10 October mwaka Jana kuelekea GOA wakipitia MUMBAI (Goa na Maldives zina fukwe nzuri sana na watalii hupenda kutembelea hasa kipindi cha December wengi hasa kutoka Russia huwa wanaenda GOA esp' Calangute beach one of the best beach in Goa).....sasa baada ya kuspend vya kutosha wakaanza safari ya kwenda visiwa vya Maldives kupitia Kempegowda International Airport(KIA) mjini Bangalore -Karnataka kwenda Maldives Baada ya kufika kule Maldives huwakufanya booking ya hotel na hawakuwa na pesa zakutosha kuwaweka kwa muda watakao kuwa visiwani hapo basi wakazuiliwa kuingia nchi hiyo na kurudishwa Bangalore India kwa kutumia flight ya Air India....Baada ya kufika Bangalore wakafanya Booking ya flight from Bangalore to Dar es salaam kwa kupitia Mumbai ila kwa sababu za ajabu Air Tanzania ikakataa kuwachukua na family kuwa stranded hapo airport kwa muda wa week moja wakisaidiwa airport staffs mpaka Oman Air ilipo kubali kuwachujua kuwa rudisha Tanzania siku ya Tar 15 January jumatano.

Maoni yangu:-
1.Ubalozi wa Tanzania hausaidii watanzania waishio India ....hata issue za ETD ni shida ( Balozi abadilishwe)
2.Wangeweza kuwachukua wakifika Tanzania wanahold passport zao ,ama hata na kuwapeleka mahakamani.
3.Hari hii imetia aibu kwanchi yetuView attachment 1325262

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sioni aibu hapo ndege sio kama basi je kama ilikua imejaa wangeacha abiria wengine walio Fanya booking wawachukue wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari yenyewe umeigupisha hata haieleweki

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom