Sad 😱Maisha yanatufundisha sio kila kitu unachokitamani unaweza kukipata, kuna vingine vinabaki kuwa ndoto tu.
Watanzania walikuwa wanataka viongozi wenye akili, wazalendo, wanaotumikia wananchi, wanaosikiliza wananchi, wenye ukarimu, wenye upendo, wenye maono, wawajibikaji, wenye uwezo wa kuwatatulia matatizo yao, viongozi watakaowajali, watakaothamini wananchi, wenye uchu wa maendeleo.
Watanzania walikuwa wanataka viongozi bora tu, ila look at what they've got.
Poleni sana Watanzania
Endeleeni kusikitika tuHaijalishi, kwangu bado inasikitisha tu hata kama nilijua itakuja kuwa hivyo
Hapana mkuu, hata mimi nakereka , inavyoonekana hata akitaka kutawala maisha tunakereka tu na maisha yatasongaMbona kama umekasirika
Sure lo