Watanzania walimgomea Mkenya Voda, sasa wamemkamata Mmisri kwa tuhuma za kuhujumu uchumi

Kuna Wakenya wawili kwenye hio list imagine wangewekea CEO Mkenya wangefanya nini? Nyinyi ni wezi sana tunawacheki tu

Hawa ni certified bandits,sio wa kuwa nao karibu kabisa,bora hata hao tusiowajua,watapambana na vyombo vya sheria
 
Sijajua uelewa wako kwa hili.
Mosi, hao wote wawili si Watanzania. Hoja yenu ya mwanzo ilikuwa kwamba tunawachukia Wakenya ndo maana tulimkataa Bi. Mringe na Mmisri kapata nafasi.

Sasa leo tumewathibitishia hatukumkataa Mkenya kwa sababu ni Mkenya. Mmisri yupo Mahakamani, hoja inakufa. Blah blah kwamba tuna chuki na Wakenya hazina maana tena.

Kuhusu Bi.Mkenya, inatakiwa uelewe kuna sababu za msingi za kumnyima mtu kibali, nyingine utaambiwa nyingine hutaambiwa katu.

Nakupa mfano, hivi ikiwa Safaricom wakiamua kumuajiri raia wa Uganda kama CEO wake na NIS yenu ikagundua huyo mtu ni ISO tena telcom unafikiri watakubali apate hiyo nafasi? Na unafikiri idara ya uhamiaji Kenya itasema wazi huyo ni ISO ndo maana wamemnyima kibali!

Huo ni mfano tu, Najaribu kukufanya ufikiri.
 
Mbona unatoa sababu ulizozisikia mitandaoni tu. Naweza kuelewa kwa nini Nchi yenu iko vulnerable sana kwenye masuala ya kiulinzi. Mambo mengine hautakaa uyajue,na hayo ndiyo yanaipa heshima Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mmisri alikuwepo vodacom kitambo kabla hata hajakua ceo,ebu tuacheni tunyooshe nchi yetu,watu tunaibiwa bundle nje nje,ufisadi na wizi tulishakuachieni nyie muendelee nao
 

Hayo ya mara NIS mara ISO unayaleta mwenyewe, sisi tunajadili kilichopo kwenye public domain, mengine yote hayo ni blah blah, tunajadili kilichotolewa kama taarifa rasmi kwamba wapo Watanzania wenye uwezo kumzidi huyo Mkenya, japo mkaishia kuajiri Mwarabu ambaye ameishia kuwatafuna balaa.....
 

Ndiyo umeishia kwenye 'hoja' hii..kaazi kweli kweli.

Kwenye maandishi yako ya mwanzo umeshasahau ulichoandika. Ulizungumzia kumkatalia mgeni kwa sababu ya chuki! Kwenye jambo kama hili acha mihemko, andika hoja za msingi ili tujadili kwa mtiririko

Naomba utupe hiyo 'taarifa rasmi' ili tuijadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio sampuli ya watu ambao huwa mnatamani kuwaajari eeh?

Ahaaa haaa haaa
We jamaa bana, sasa MAMA Lishe na telecom wapi na wapi? Hiyo LABDA tutamuajili Mamlaka ya chakula na Lishe.
 
Even if you're a NYANG'AU, you are no immune from criminal liability! Whether Nyang'au or Kanjibai you won't be spared.

Kule kwenyu Kenya Rais wenu DHAIFU akaanza kupiga mikwara twitter eti atashughulikia mafisadi!! Baadae mabingwa wa "system" wakambinya makende yake akafuta tweets zote na kudelete account.

MK254
 
Yanatafunwa kwao balaa! Ukimgusa mtu anasema unagusa 'Mtu wetu'! Hivi hayo ya kufanyiwa 'wasomi' kama wanavyojinasibu humu.

They called themselves an educated while dynasty https://jamii.app/JFUserGuide them.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reporti Gani? Ya yule profesa uchwara ambaye hajui kazi yake ameamua kujipatia kazi ya kutukana bunge?
wewe kilaza.kalitukana bunge kivp...matusi gani kisha ..
lkn ujuwe maana ya udhaifu wa bunge au kktu flani si matusi...elimu yako kumbe zero kabisa ..wajipiga kifua hadi ukajisahau ukaamua kusena udhaifu wa mhimili flani ni matusi...duh...
 
Sylvia Mulinge amshukuru Mungu kwamba walimkataa. Aliponea chupu chupu, wangemhujumu tu na kumharibia sifa yake ya utendakazi kwenye taaluma yake.

Huyo sifa yake alishaiharibu mwenyewe kwa Makosa ya mauaji ya Kukusudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…