RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Huyo binti angekutana na hao wakora wenzie ingekuwa balaa!Acha kutoa sadaka, afunge kabisa kwa wiki kama mbili. Kweli shetani ana nguvu, ila Mungu naye ni mjua yote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo binti angekutana na hao wakora wenzie ingekuwa balaa!Acha kutoa sadaka, afunge kabisa kwa wiki kama mbili. Kweli shetani ana nguvu, ila Mungu naye ni mjua yote.
Reporti Gani? Ya yule profesa uchwara ambaye hajui kazi yake ameamua kujipatia kazi ya kutukana bunge?Tulia subiri Magu awasilishe ripoti ya CAG bungeni.
Angejiunga na Wakora wenzie ingekuwa dream team ya wiziHatari sana yaani binti wa watu aliponea angejikuta pabaya hata hujuma wangemfanyia angeishia kunyea debe, nadhani mahali alipo anafaa akatoe sadaka za shukrani kanisani.
Kuna Wakenya wawili kwenye hio list imagine wangewekea CEO Mkenya wangefanya nini? Nyinyi ni wezi sana tunawacheki tu
Hawa wajinga humu JF wanafikiri huku mitaani hatupambani na hao wakora.Hawa ni certified bandits,sio wa kuwa nao karibu kabisa,bora hata hao tusiowajua,watapambana na vyombo vya sheria
Sijajua uelewa wako kwa hili.Sisi hatukulia ila tulishangaa tu kwamba nafasi za ajira kama hizi kawaida huwa hazitangazwi, bodi huwa wanakaa vikao na kufanya head-hunting na walipochagua Mkenya mkalia sana kwamba ndani ya mamilioni ya Watanzania lazima kuna mmoja ambaye anamzidi yule Mkenya, ambaye Vodacom ilmtaka yeye na walijaribu sana kumg'ang'ania.
Sasa Mwarabu ndiye kawazibua kabisa kwa jeuri yenu....
Hawa wajinga humu JF wanafikiri huku mitaani hatupambani na hao wakora.
Sisi hatukulia ila tulishangaa tu kwamba nafasi za ajira kama hizi kawaida huwa hazitangazwi, bodi huwa wanakaa vikao na kufanya head-hunting na walipochagua Mkenya mkalia sana kwamba ndani ya mamilioni ya Watanzania lazima kuna mmoja ambaye anamzidi yule Mkenya, ambaye Vodacom ilmtaka yeye na walijaribu sana kumg'ang'ania.
Sasa Mwarabu ndiye kawazibua kabisa kwa jeuri yenu....
Huyo mmisri alikuwepo vodacom kitambo kabla hata hajakua ceo,ebu tuacheni tunyooshe nchi yetu,watu tunaibiwa bundle nje nje,ufisadi na wizi tulishakuachieni nyie muendelee naoWatz hawa hawa akili zao bana, walimkatalia mbali Mkenya huku wakisema wao ndani yao zaidi ya milioni hamsini lazima kuna mwenye uwezo zaidi ya huyo Mkenya, tatizo bado wakaishia kumuajiri Mmisri na kumsifia kwamba yeye ndiye bora.
Cha ajabu naona kwenye taarifa wamemkamata kwa tuhuma za kuhujumu uchumi.
Wabongo hunikumbusha maisha ya kijijini, kule kijijini utakuta kuna mtu hataki mfanye maendeleo, kazi yake kukukwamisha, lakini yupo raadhi kumkaribisha mgeni wa mbali aje afungue duka pale ila wewe ukifungua lako yaani atalea chuki za kufa mtu. Ndio uhusiano ulivyo baina ya Kenya na Tanzania. Bora Mkenya wetu alikataliwa na kuokolewa kutoka kwa huu upumbavu maana wangemzingua sana.
-------------------------------------------------
Dar es Salaam
Vodacom Tanzania managing director, Hisham Hendi, may face criminal charges in relation to the alleged fraudulent use of network facilities.
News about authorities arresting Mr Hendi and several other employees of Vodacom Tanzania Plc, started circulating in several social media platforms late on Tuesday.
The Dar es Salaam Special Police Zone Commander, Mr Lazaro Mambosasa, confirmed to The Citizen on Wednesday, saying the issue was being handled by Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)
TCRA acting public relations manager Semu Mwakanjala said all was set for the Vodacom employees to be arraigned at Dar es Salaam’s Kisutu Residents’ Magistrate Court.
Arrested
Vodacom, which is listed on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) also confirmed the arrest of its CEO and several other employees.
“Vodacom Tanzania Plc can confirm that it is fully cooperating with an investigation led by the Tanzania Police Force. Several Vodacom employees, including managing director Hisham Hendi, are being questioned by relevant authorities in relation to the alleged fraudulent use of network facilities,” Vodacom Tanzania said in a statement on Wednesday.
By 1pm Wednesday, no formal charges had been preferred against the Vodacom employees but, like TCRA, the company said it had been informed that they would appear in court on the same day.
The company assured its customers that the issue would have no impact on its service delivery and that it had taken measures to ensure that the company’s operations continue without disruptions.
A week
The case comes about a week since Mr Hendi was confirmed as the managing director for Tanzania’s leading telecommunication company by market share.
Prior to the appointment, Mr Hendi had served as acting managing director since September 2018.
In 2016, Mr Hendi – who holds a Bachelor’s degree in Commerce from the Cairo University – was recruited to lead marketing and sales functions.
He has 15 years of experience in telecommunication industry having worked in various leadership positions in United Kingdom, Egypt and South Africa.
The Egyptian’s appointment at acting capacity came after Ms Sylvia Mulinge, who was appointed in April to succeed Mr Ian Ferrao effectively from June 1 2018 – failed to secure a working permit from the Tanzanian authorities.
https://www.businessdailyafrica.com...l-charges-/4003154-5055016-3icpv4z/index.html
Sylvia Mulinge amshukuru Mungu kwamba walimkataa. Aliponea chupu chupu, wangemhujumu tu na kumharibia sifa yake ya utendakazi kwenye taaluma yake.
Sijajua uelewa wako kwa hili.
Mosi, hao wote wawili si Watanzania. Hoja yenu ya mwanzo ilikuwa kwamba tunawachukia Wakenya ndo maana tulimkataa Bi. Mringe na Mmisri kapata nafasi.
Sasa leo tumewathibitishia hatukumkataa Mkenya kwa sababu ni Mkenya. Mmisri yupo Mahakamani, hoja inakufa. Blah blah kwamba tuna chuki na Wakenya hazina maana tena.
Kuhusu Bi.Mkenya, inatakiwa uelewe kuna sababu za msingi za kumnyima mtu kibali, nyingine utaambiwa nyingine hutaambiwa katu.
Nakupa mfano, hivi ikiwa Safaricom wakiamua kumuajiri raia wa Uganda kama CEO wake na NIS yenu ikagundua huyo mtu ni ISO tena telcom unafikiri watakubali apate hiyo nafasi? Na unafikiri idara ya uhamiaji Kenya itasema wazi huyo ni ISO ndo maana wamemnyima kibali!
Huo ni mfano tu, Najaribu kukufanya ufikiri.
Ndio sampuli ya watu ambao huwa mnatamani kuwaajari eeh?Ahaaa haaa haaa
Yule taaluma yake ni MAMA Lishe bana acha kutuzuga.
Hayo ya mara NIS mara ISO unayaleta mwenyewe, sisi tunajadili kilichopo kwenye public domain, mengine yote hayo ni blah blah, tunajadili kilichotolewa kama taarifa rasmi kwamba wapo Watanzania wenye uwezo kumzidi huyo Mkenya, japo mkaishia kuajiri Mwarabu ambaye ameishia kuwatafuna balaa.....
Ndio sampuli ya watu ambao huwa mnatamani kuwaajari eeh?
Yanatafunwa kwao balaa! Ukimgusa mtu anasema unagusa 'Mtu wetu'! Hivi hayo ya kufanyiwa 'wasomi' kama wanavyojinasibu humu.Even if you're a NYANG'AU, you are no immune from criminal liability!
Whether Nyang'au or Kanjibai you won't be spared.
Kule kwenyu Kenya Rais wenu DHAIFU akaanza kupiga mikwara twitter eti atashughulikia mafisadi!! Baadae mabingwa wa "system" wakambinya makende yake akafuta tweets zote na kudelete account.
MK254
wewe kilaza.kalitukana bunge kivp...matusi gani kisha ..Reporti Gani? Ya yule profesa uchwara ambaye hajui kazi yake ameamua kujipatia kazi ya kutukana bunge?
Sylvia Mulinge amshukuru Mungu kwamba walimkataa. Aliponea chupu chupu, wangemhujumu tu na kumharibia sifa yake ya utendakazi kwenye taaluma yake.