Watanzania walimgomea Mkenya Voda, sasa wamemkamata Mmisri kwa tuhuma za kuhujumu uchumi

Yanatafunwa kwao balaa! Ukimgusa mtu anasema unagusa 'Mtu wetu'! Hivi hayo ya kufanyiwa 'wasomi' kama wanavyojinasibu humu.

They called themselves an educated while dynasty **** them.

Sent using Jamii Forums mobile app
hv unasahau ile movie ya ma container hapo dar...si mkulu alikaa kimya...sijui huo mda ubongo ulikuwa haufanyi kazi...kisa jamaa kipenzi chake...alafu ana uccm ndani ya akili yake...kwnn asiachwe...nakwambi huyo bichwa nundu hataki kujuwa km wewe ni chama chake au la...km ni kodi ya hewa mtalipia nchi nzima...hajui chama katika hayo masuala
 
atafune afanyaje anajua yeye,lakini kesi ya kuhujumu uchumi kibongobongo atajuta,atanyea ndoo huyo mwarabu hadi akome
 
Tatizo lenu kubwa huwa wivu na uzembe na ndio unaona Vodacom licha ya nyie kumkataa Mkenya kisa wapo mamilioni ya Watanzania, bado wanan'gan'gania mgeni.
 
Taharifa rasmi kutoka wapi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata hivyo katika genge hilo la wahujumu uchumi kuna mkenya mmoja aliyekuwa anasaidiana na mmisri kuihujumu nchi
 
Huyo dada Mkenya nafikiri sasa hivi anamshukuru sana Mungu wake kwa kukosa kazi ya Voda Tz!

Kwa wanaoamini, hili ni funzo.....sio mara zote ukikosa kitu ni bahati mbaya! Wakati mwingine ni Mungu tu anafanya kazi yake kukuepusha na jambo baya zaidi.

Kesi za uhujumu uchumi Hazina dhamana na zinachukua muda mrefu kumalizika. Nawaonea huruma sana hapo jamaa wa Vodacom.
 

Asante, yaani yangemkuta binti Mkenya anyee debe huko kwa muda mrefu sana.
 

Asante, yaani yangemkuta binti Mkenya anyee debe huko kwa muda mrefu sana.
Hakuna baya lolote lingemtokea kwa jiunga tuu na Vodacom, huyu bosi aliyekamatwa teyari alishakuwa mwajiriwa wa Vodacom kwa muda na watumiaji wa Voda wamekuwa wakilalamika bando zao kumalizika haraka.
 
Reactions: SMU
Kila mtu akacheze anakochezaga.Ila tahadhari ni kwamba Unga robo so usicheze mbali sana
 
Nilisoma lile shtaka kumbe voda safu 2 pale juu wamepanga wageni watupu wasiokuwa na uchungu na tz?

Ndo maana !!!

Sasa jela inawahusu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bodi ya Vodacom walipotaka kumuajiri Mkenya mlilia sana hadi mkapewa Mmisri ili mtulie, sasa huyo ndio kawa mbaya wenu mara kumi, nyie bana hehehe
Badala ya kufurahi dada yako sasa hivi angekuwa ananyea debe wewe unaanza lawama.
Hivi umeshajua kuwa ni kosa gani?
Punguza mihemko jombaa
 
Nilisoma lile shtaka kumbe voda safu 2 pale juu wamepanga wageni watupu wasiokuwa na uchungu na tz?

Ndo maana !!!

Sasa jela inawahusu...

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo nyie kazi hamziwezi full mdebwedo ndio maana hayo makampuni yanafuata wageni, kuna siku nilikwenda kwenye kampuni fulani ya mtandao huko kwenu, nilikua na issue iliyohusu kuingia kitengo cha tecknolojia NOC, nilishangaa nikadhani nimeingia India, Mtanganyika mweusi ni mmoja mmoja tu katikati yao.
 
MTOA UZI ni BONGE LA BOYAAAA iv ww unafikiri hao waTZ ndio last say ktk maamuzi ya kusema nani ajiriwe nani asiajiriwe ? ACH UPIMBI walio muajiri waligundua mapungufu yake pengine labda mwenyewe hakupenda kufanya kazi Bongo
 
MTOA UZI ni BONGE LA BOYAAAA iv ww unafikiri hao waTZ ndio last say ktk maamuzi ya kusema nani ajiriwe nani asiajiriwe ? ACH UPIMBI walio muajiri waligundua mapungufu yake pengine labda mwenyewe hakupenda kufanya kazi Bongo

Umekurupuka bila kujua kichwa wala mkia wa sakata lote.
Bodi ya Vodacom Tz walifanya head hunt ya nani awe mkurungezi wao, wakasaka kote hatimaye wakahitimisha fursa ichukuliwe na dada Mkenya, ila ikabidi lazima kibali cha kazi Tz kitolewe, hapo ndipo mligoma kwa kudai eti kuna Watanzania wengi wenye uwezo huo.
Hatimaye ikabidi nafasi ipewe Mwarabu ambaye amewaibia, yeye hamkumkatalia, leo hii nafasi imepewa mzungu itabidi muufyate maana Vodacom hawana imani na Watanganyika, mkikataa hamtaki Mkenya basi wanaona heri wafuate hata Mwarabu.
 
Bodi ya Vodacom walipotaka kumuajiri Mkenya mlilia sana hadi mkapewa Mmisri ili mtulie, sasa huyo ndio kawa mbaya wenu mara kumi, nyie bana hehehe
Hukuona kuwa na wakenya walikuwemo kwenye hiyo kesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…