Watanzania walimgomea Mkenya Voda, sasa wamemkamata Mmisri kwa tuhuma za kuhujumu uchumi

sasa ww kwa akili yako unazani hapa TZ nzima hakuna mtu anayeweza lead kitengo cha management ? hapo voda tu alikuwepo jamaa mmoja wa marketing alikuwa fire sio mchezo mpaka leo hawaja wahi pata jamaa kama yule na alikuwa ni mtz
 
sasa ww kwa akili yako unazani hapa TZ nzima hakuna mtu anayeweza lead kitengo cha management ? hapo voda tu alikuwepo jamaa mmoja wa marketing alikuwa fire sio mchezo mpaka leo hawaja wahi pata jamaa kama yule na alikuwa ni mtz

Kwa hivyo wewe uanjiona na akili kuwazidi uongozi wa Vodacom wenye dhamana ya kuhakikisha kampuni inazidi kupata faida kwa ajili ya wenye hisa. Wao walikaa vikao na kusaka kote ikiwemo ndani ya Tanzania na nje dunia yote wakaona yule dada Mkenya anakidhi vigezo vyote, head-hunting huwa haitangazwi, unashtukia tu umeteuliwa hata bila kuomba hiyo nafasi, wanakuchambua hatua kwa hatua,
Nyie kwa mlivyojawa na wivu dhidi ya majirani mkamgomea eti Tanzania kunao watu wengi wenye uwezo huo, lakini mwisho wa siku uongozi wa Vodacom bado wameendelea kuwatafuta wageni, yaani humo kwenye nyie zaidi ya milioni hamsini hawajaona hata mmoja, hata mkilazimisha vipi.
Huo ni ujinga sana kutaka kulazimisha makampuni kwamba wamuajiri nani na kumfuta yupi, mnafaa mzoee ushindani na kukubali mapungufu yenu, mbona hata hapa kwetu kuna makampuni yanawaleta wageni wanakua wakurungezi na hatuwazingui, sisi tunapambana na hali yetu na kujiboresha ili tuwe washindani zaidi kwenye soko la ajira. Mnategemea serikali iwalinde hadi lini, tatizo lenu wazembe, kumkuta Mtanzania anahudhurua evening classes baada ya kazi ni gumu sana, bora awahi gambe.
Mimi nawajua mlivyo, yaani ukiandaa ripoti isomwe na Watanzania, labda ulazimishe kwa mtutu ndio waisome, unaweza kukesha unaandaa ripoti kurasa 200 pages halafu unaita kikao muijadili baada ya kuwapa kama wiki mbili kabla, unashangaa hakuna aliyesoma hata kurasa moja....
 
sasa ushasema ilikuwa ni head hunting ss hapo kulikuwepo na ushindani gani zaidi ya ku review CVs then waka wacontact shortlisted tena usikute wengine walikataa then huyo mwana mama akakubali ILA usiseme eti TZ hawakuwepo watu wa kuhold nafasi kama iyooo acha uzembe tuna waTZ kadhaa wanafanya kazi ktk makambuni ya kimataifa nje ya afrika. na ni mambo ya kawaida kwa makampuni kama hayo kuchukua some expert toka nje ya nchi husika kwani hata MTN pale UG wana mkurugenzi toka SA. Na kwanza slyvia Mulinde alikuwa appointed TU ! haikuwa head hunting acha uongo Slyvia ni moja kati ya senior managers ktk shirika la safaricom ambao ni vodacom TZ
 
it was a special assignment for special purpose
 
it
was a special assignment for special purpose
yap ukisema ivyo ni sawa lkn sio huyu jamaa MK254 anadai eti ilikuwa ni head hunting wakati sylivia mwenyewe ni part ya uongozi wa safaricom east africa ambao ni sehemu na vodacom MK254 acha uongo BRO
 

Head hunting huwa gumu hata kuliko ile unaomba mwenyewe, maana wao hukujadili bila ya wewe kujua wala kuwepo, sifa zako zinajitangaza zenyewe, ukiona umeteuliwa kwenye head-hunting ujue wewe ni jembe, wameachwa mamilioni ukachaguliwa wewe, sasa nyie kumkatalia kisa mnasema wapo Watanzania wenye uwezo zaidi ya huyo dada halafu mnaishia kumkubali Mwarabu anayewapiga na kuhujumu, kisha mnamkatamata, kampuni inaishia kufuata mzungu, hehehe nyie shuhuli.....bana
 

Ni kweli wapo WENGI sanaaaa kaka HATA Mimi ni miongoni wa hao wengi ila kaa ukijua ya kuwa Sylivia alikuwa appointed toka safaricom Kenya sababu Sylivia ni miongoni mwa to managers hapo safaricom kenya ambao safaricom na vodacom ni chanda na pete SHE WAS APPOINTED and it wasn't HEAD HUNTING
 
Bodi ya Vodacom walipotaka kumuajiri Mkenya mlilia sana hadi mkapewa Mmisri ili mtulie, sasa huyo ndio kawa mbaya wenu mara kumi, nyie bana hehehe

That is what we call a blessing in disguise kwani makosa hayakutendwa na Chief Executive Misri, yeye kawajibika kama kiongozi kwa hiyo Mungu alimuepusha Mkenya na balaa hilo, ungekuta ndiyo yupo korokoroni!!!Kwa hiyo hongera Mkenya uliyekuwa umeteuliwa ila malaika wako kakurudisha Kenya na kukwepa MSALABA! Shukuru saaana Mungu wako na zidi kuomba na kusema asante Mungu kwa kukuepusha na janga!!! Where there is no vision people perish! It was a good premonition!
 
Reporti Gani? Ya yule profesa uchwara ambaye hajui kazi yake ameamua kujipatia kazi ya kutukana bunge?
hta mkipost kibera mara ngapi...dar 75%makaazi yao ni ya kiholela sana....
yani hyo video ya tetema diamond kajikaza sana ku shoot kw juu...manake ni aibu...hadi akabadilisha katika accounts zake n kujiita east african musician...ywani ywaona hta aibu kujinadika km ni msaani wa tanzani...

narudia hta tena...hta mkipost kibera mara ngapi...haiwezi badili makaazi holela ya walala hoi wa dar....naona mwengine kaleta mpka map ya kenya ikionyesha githurai ni slum..na wakati zile ghorofa ziko githu...tandale ni ndoto...
zile ghorofa ziko kibera mbagala ni ndoto...km unabisha leta picha yeyote ya mijengo ya tandale ya ghorofa nikuletee za kibera...povu ruksa..
 
Naona umeguswa penyewe😂😂😂
 
Hiyo nafasi kutopewa Mtz haitokani na uwezo wa kazi, bali wanataka mtu ambaye watashirikiana katika wizi na bila taarifa kuvuja, wakenya kwenye wizi hawana mpinzani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nothing personal those two issues are similar but not the same,
Hapo Kenya mmekaa na wenzenu wenye asili ya Msumbiji miaka nenda miaka rudi,hamkuwapa uraia,lakini wahindi,wazungu,wanachukua uraia ki uraini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…