Watanzania walimgomea Mkenya Voda, sasa wamemkamata Mmisri kwa tuhuma za kuhujumu uchumi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Watz hawa hawa akili zao bana, walimkatalia mbali Mkenya huku wakisema wao ndani yao zaidi ya milioni hamsini lazima kuna mwenye uwezo zaidi ya huyo Mkenya, tatizo bado wakaishia kumuajiri Mmisri na kumsifia kwamba yeye ndiye bora.

Cha ajabu naona kwenye taarifa wamemkamata kwa tuhuma za kuhujumu uchumi.

Wabongo hunikumbusha maisha ya kijijini, kule kijijini utakuta kuna mtu hataki mfanye maendeleo, kazi yake kukukwamisha, lakini yupo raadhi kumkaribisha mgeni wa mbali aje afungue duka pale ila wewe ukifungua lako yaani atalea chuki za kufa mtu.

Ndio uhusiano ulivyo baina ya Kenya na Tanzania. Bora Mkenya wetu alikataliwa na kuokolewa kutoka kwa huu upumbavu maana wangemzingua sana.
-------------------------------------------------

Dar es Salaam
Vodacom Tanzania managing director, Hisham Hendi, may face criminal charges in relation to the alleged fraudulent use of network facilities.

News about authorities arresting Mr Hendi and several other employees of Vodacom Tanzania Plc, started circulating in several social media platforms late on Tuesday.

The Dar es Salaam Special Police Zone Commander, Mr Lazaro Mambosasa, confirmed to The Citizen on Wednesday, saying the issue was being handled by Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)
TCRA acting public relations manager Semu Mwakanjala said all was set for the Vodacom employees to be arraigned at Dar es Salaam’s Kisutu Residents’ Magistrate Court.

Arrested
Vodacom, which is listed on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) also confirmed the arrest of its CEO and several other employees.

“Vodacom Tanzania Plc can confirm that it is fully cooperating with an investigation led by the Tanzania Police Force. Several Vodacom employees, including managing director Hisham Hendi, are being questioned by relevant authorities in relation to the alleged fraudulent use of network facilities,” Vodacom Tanzania said in a statement on Wednesday.

By 1pm Wednesday, no formal charges had been preferred against the Vodacom employees but, like TCRA, the company said it had been informed that they would appear in court on the same day.

The company assured its customers that the issue would have no impact on its service delivery and that it had taken measures to ensure that the company’s operations continue without disruptions.
A week

The case comes about a week since Mr Hendi was confirmed as the managing director for Tanzania’s leading telecommunication company by market share.

Prior to the appointment, Mr Hendi had served as acting managing director since September 2018.

In 2016, Mr Hendi – who holds a Bachelor’s degree in Commerce from the Cairo University – was recruited to lead marketing and sales functions.

He has 15 years of experience in telecommunication industry having worked in various leadership positions in United Kingdom, Egypt and South Africa.

The Egyptian’s appointment at acting capacity came after Ms Sylvia Mulinge, who was appointed in April to succeed Mr Ian Ferrao effectively from June 1 2018 – failed to secure a working permit from the Tanzanian authorities.

https://www.businessdailyafrica.com...l-charges-/4003154-5055016-3icpv4z/index.html
 
Kwa hiyo hata ukiwa competent ukifanya makosa usiadhibiwe.

Si Watanzania waliomuajiri Hend, ni Board ya Vodacom. Serikali imeendelea na uchunguzi imeona na makosa kapelekwa mahakamani

Sasa nini kigumu hapo kuelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Bodi ya Vodacom walipotaka kumuajiri Mkenya mlilia sana hadi mkapewa Mmisri ili mtulie, sasa huyo ndio kawa mbaya wenu mara kumi, nyie bana hehehe
 
Watz hawa hawa akili zao bana, walimkatalia mbali Mkenya huku wakisema wao ndani yao zaidi ya milioni hamsini lazima kuna mwenye uwezo zaidi ya huyo Mkenya, tatizo bado wakaishia kumuajiri Mmisri na kumsifia kwamba yeye ndiye bora.
Cha ajabu naona kwenye taarifa wamemkamata kwa tuhuma za kuhujumu uchumi.
Wabongo hunikumbusha maisha ya kijijini, kule kijijini utakuta kuna mtu hataki mfanye maendeleo, kazi yake kukukwamisha, lakini yupo raadhi kumkaribisha mgeni wa mbali aje afungue duka pale ila wewe ukifungua lako yaani atalea chuki za kufa mtu. Ndio uhusiano ulivyo baina ya Kenya na Tanzania. Bora Mkenya wetu alikataliwa na kuokolewa kutoka kwa huu upumbavu maana wangemzingua sana.
-------------------------------------------------

Dar es Salaam
Vodacom Tanzania managing director, Hisham Hendi, may face criminal charges in relation to the alleged fraudulent use of network facilities.
News about authorities arresting Mr Hendi and several other employees of Vodacom Tanzania Plc, started circulating in several social media platforms late on Tuesday.

The Dar es Salaam Special Police Zone Commander, Mr Lazaro Mambosasa, confirmed to The Citizen on Wednesday, saying the issue was being handled by Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)
TCRA acting public relations manager Semu Mwakanjala said all was set for the Vodacom employees to be arraigned at Dar es Salaam’s Kisutu Residents’ Magistrate Court.
Arrested
Vodacom, which is listed on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) also confirmed the arrest of its CEO and several other employees.
“Vodacom Tanzania Plc can confirm that it is fully cooperating with an investigation led by the Tanzania Police Force. Several Vodacom employees, including managing director Hisham Hendi, are being questioned by relevant authorities in relation to the alleged fraudulent use of network facilities,” Vodacom Tanzania said in a statement on Wednesday.
By 1pm Wednesday, no formal charges had been preferred against the Vodacom employees but, like TCRA, the company said it had been informed that they would appear in court on the same day.
The company assured its customers that the issue would have no impact on its service delivery and that it had taken measures to ensure that the company’s operations continue without disruptions.
A week
The case comes about a week since Mr Hendi was confirmed as the managing director for Tanzania’s leading telecommunication company by market share.
Prior to the appointment, Mr Hendi had served as acting managing director since September 2018.
In 2016, Mr Hendi – who holds a Bachelor’s degree in Commerce from the Cairo University – was recruited to lead marketing and sales functions.
He has 15 years of experience in telecommunication industry having worked in various leadership positions in United Kingdom, Egypt and South Africa.
The Egyptian’s appointment at acting capacity came after Ms Sylvia Mulinge, who was appointed in April to succeed Mr Ian Ferrao effectively from June 1 2018 – failed to secure a working permit from the Tanzanian authorities.

https://www.businessdailyafrica.com...l-charges-/4003154-5055016-3icpv4z/index.html
Jadili issue ya kukamatwa! Acha mambo ya kutunga sentences hazina uhusiano wowote. Tanzania ilisema haitaki mkenya kwa sababu ya population kubwa? Comments ulizosoma kwenye social media unazifanya ni official statement ya serikali? Foool!
 
Huyu angekuwa kenya hata kama ama tuhuma angeachwa, mkuu Tz imebadilika. Una tuhuma hatuangalii usoni.
 
Bodi ya Vodacom walipotaka kumuajiri Mkenya mlilia sana hadi mkapewa Mmisri ili mtulie, sasa huyo ndio kawa mbaya wenu mara kumi, nyie bana hehehe

Si kila jambo upewe sababu. Mbona nanyi mlikuwa mnalia Mmisri kupewa, mkasema tumempendelea kisa Mwarabu! Sasa amenyooshwa kwa makosa yake mnalialia tena. Mlitaka akiwa na makosa asiwajibishwe, this is non sense government, sio kama ile ya Mtu kama Dp Ruto kusema Kimwerir dam saga ni 7billion tu kana kwamba hiyo si pesa nyingi kwa Wakenya!
 
Wewe jamaa unataka kukuza jambo, unajaribu kufitinisha nchi kwa nchi. Usifike huko.

T[emoji769]
 
Si kila jambo upewe sababu. Mbona nanyi mlikuwa mnalia Mmisri kupewa, mkasema tumempendelea kisa Mwarabu! Sasa amenyooshwa kwa makosa yake mnalialia tena. Mlitaka akiwa na makosa asiwajibishwe, this is non sense government, sio kama ile ya Mtu kama Dp Ruto kusema Kimwerir dam saga ni 7billion tu kana kwamba hiyo si pesa nyingi kwa Wakenya!

Sisi hatukulia ila tulishangaa tu kwamba nafasi za ajira kama hizi kawaida huwa hazitangazwi, bodi huwa wanakaa vikao na kufanya head-hunting na walipochagua Mkenya mkalia sana kwamba ndani ya mamilioni ya Watanzania lazima kuna mmoja ambaye anamzidi yule Mkenya, ambaye Vodacom ilmtaka yeye na walijaribu sana kumg'ang'ania.
Sasa Mwarabu ndiye kawazibua kabisa kwa jeuri yenu....
 
Sylvia Mulinge amshukuru Mungu kwamba walimkataa. Aliponea chupu chupu, wangemhujumu tu na kumharibia sifa yake ya utendakazi kwenye taaluma yake.

Hatari sana yaani binti wa watu aliponea angejikuta pabaya hata hujuma wangemfanyia angeishia kunyea debe, nadhani mahali alipo anafaa akatoe sadaka za shukrani kanisani.
 
Sylvia Mulinge amshukuru Mungu kwamba walimkataa. Aliponea chupu chupu, wangemhujumu tu kama ilivyo kawaida yao na kumharibia sifa yake ya utendakazi kwenye taaluma yake.
Vizuri hakuajiriwa vyengineyvo tukio kama hili lingezua mtafaruku kati Tanzania na Kenya.
 
Wewe utabakia kuwa pingilinywele tu milele na milele,ulitaka kama ametenda kosa tumuachie??
 
Vizuri hakuajiriwa vyengineyvo tukio kama hili lingezua mtafaruku kati Tanzania na Kenya.

Hii kweli maana hilo kosa la 'kuhujumu uchumi' lazima lingesababisha mtafaruku baina ya hizi nchi mbili ambazo tayari uhusiano ulishabomoka umebakia kupiga chini.
 
Hatari sana yaani binti wa watu aliponea angejikuta pabaya hata hujuma wangemfanyia angeishia kunyea debe, nadhani mahali alipo anafaa akatoe sadaka za shukrani kanisani.
Acha kutoa sadaka, afunge kabisa kwa wiki kama mbili. Kweli shetani ana nguvu, ila Mungu naye ni mjua yote.
 
Back
Top Bottom