Watanzania walio wengi hawatumii nukta wala kituo

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi.

Habari inaandikwa paragraph nzima mistari kumi no mkato no nukta. Je, changamoto ni wazazi wetu, waalimu au ni utamu wa Kiswahili?
 
Habari inaandikwa paragraph nzima mistari Kumi no Mkato no nukta. Je, changamoto NI wazazi wetu, waalimu au NI utamu WA kiswahili?
Hawatumii nukta peke yake au ni alama zote muhimu za uandishi (punctuation marks)?
 
Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi.

Habari inaandikwa paragraph nzima mistari Kumi no Mkato no nukta. Je, changamoto NI wazazi wetu, waalimu au NI utamu WA kiswahili?
Wewe mwenyewe uandishi wako ni wa mashaka, vipi uweze kuwa na mamlaka ya kuwakosoa wengine katika uandishi?

Angalia katika kichwa cha habari yako badala ya kuandika neno; "hawatumii" wewe umeandika "awatumii", pia ndani ya habari umeingiza herufi kubwa pahala pasipostahili na isitoshe umechanganya lugha bila kuchukua tahadhari ya kutoeleweka, neno "no" hakupaswa kuliingiza humo.

Jirekebishe wewe mwenyewe ndipo awarekebishe wengine.
 
Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi.

Habari inaandikwa paragraph nzima mistari kumi no mkato no nukta. Je, changamoto ni wazazi wetu, waalimu au ni utamu wa Kiswahili?
Before pointing a finger to someone, you need to check yourself if you're perfect. Got me dude ?
 
Back
Top Bottom