Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hawatumii nukta peke yake au ni alama zote muhimu za uandishi (punctuation marks)?Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi.
Habari inaandikwa paragraph nzima mistari Kumi no Mkato no nukta. Je, changamoto NI wazazi wetu, waalimu au NI utamu WA kiswahili?
Na dharauKiburi tu.
Wewe mwenyewe uandishi wako ni wa mashaka, vipi uweze kuwa na mamlaka ya kuwakosoa wengine katika uandishi?Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi.
Habari inaandikwa paragraph nzima mistari Kumi no Mkato no nukta. Je, changamoto NI wazazi wetu, waalimu au NI utamu WA kiswahili?
Una kiburi mbona hujaweka nukta sasa?Na dharau
Nukta nundu?!🤣Una kiburi mbona hujaweka nukta sasa?
Before pointing a finger to someone, you need to check yourself if you're perfect. Got me dude ?Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi.
Habari inaandikwa paragraph nzima mistari kumi no mkato no nukta. Je, changamoto ni wazazi wetu, waalimu au ni utamu wa Kiswahili?
Hahahaha na hauna kitu utanifanyaUna kiburi mbona hujaweka nukta sasa?
Kifupi tu, Watanzania wengi hawajui kuandika.Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi...