Watanzania walioguswa na matendo ya kidhalimu ya utekaji waamua kusali na kufunga kumlilia Mungu

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
ANAANDIKA MWANAHARAKATI MDUDE NYAGALI

๐—๐—จ๐— ๐—”๐—ฃ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—”๐—ฅ๐—˜๐—›๐—˜ ๐Ÿด ๐—ฆ๐—˜๐—ฃ. ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฐ ๐—ก๐—œ ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ข๐— ๐—•๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ง๐—”๐—œ๐—™๐—” ๐—ž๐—จ๐—ช๐—”๐—ข๐— ๐—•๐—˜๐—” ๐—ช๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ข๐—ง๐—˜๐—ž๐—ช๐—”.

Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza. Wayahudi hao walikuwa wametapakaa nchi zote za mashariki ya kati wakitumikishwa kazi mbalimbali. Hata baada ya ufalme wa Babel kuanguka na kuingia Umedi & Uajemi ( Iran ya sasa) wayahudi wengine walibakia baadhi ya nchi za mashariki ya kati kama watumwa na wakimbizi.

Sasa huko Uajemi (Iran ya sasa) kulikuwa na waziri mkuu mmoja anaitwa Hamani. Huyu alimshawishi mfalme Ahasuero kutaka wayahudi wote wanaokaa kama wakimbizi na watumwa katika nchi hiyo wauawe kwa sababu wawazishiki sheria za mfalme huyo. Baada ya mfalme kukubali ombi la waziri mkuu wake, wayahudi wote walioishi katika nchi hiyo walihuzunika sana.

Lakini palikuwa na mtu mmoja aliyeitwa Mordekai jasusi aliyeweza kumbadilisha mjomba wake aliyemlea jina kutoka Hadasa jina la kiyahudi na kumpa jina kiajemi la Esta ili tu asijulikane ni myahudi aolewe na mfalme Ahasuero. Huyu Mordekai aliposikia mbiu ya wayahudi wote wanatakiwa kuuawa alizirarua nguo zake na kuvaa magunia kisha kwenda kukaa kwenye malango ya ikulu. Lengo la jasusi huyu Mordekai lilikuwa kwamba wasaidizi wa Esta ambaye wakati huo alikuwa malkia wakimuona katika hali hiyo watamwambia Esta na Esta atakuja kumuona kwa dharura.

Ni kweli Esta alionana na mjomba yake huyo Mordekai na akaambiwa kwamba waziri mkuu Hamani ametangaza wayahudi wote kuuawa. Japokuwa Esta asingeuawa kwa sababu hakujulikana kuwa ni myahudi baada ya mjomba wake kumbadilisha jina na kuwa mke wa mfalme, lakini Esta alipiga ukunga na kulia kilio kikuu. Damu ni nzito kuliko maji. Baada ya hapo Esta alimwambia mjomba wake Mordekai akawaambie wayahudi wote wafanye maombi kwa ajili yake ili apate kibali cha kwenda kumuona mfalme mume wake kwa dharura na kumshawishi mfalme afute mpango huo. Esta alisisitiza maombi yawe ya kufunga wala wasile na kunywa kwa siku tatu.

Hatimaye baada ya maombi siku ya nne Esta alienda ofisini kwa mfalme bila kibali na kumlilia. Mfalme akafuta mpango huo akaamuru waziri mkuu Hamani anyongwe hadharani mbele ya Umma. Huo ulikuwa ushindi wa wayahudi wakiwa katika nchi ya ugenini.

Sisi Watanganyika hatupo ugenini kama wayahudi bali tupo katika nchi yetu ambayo Mungu alitupa japo tunaishi kama tupo ugenini. Mamia ya wenzetu wanaharakati na wasio wanaharakati, wanasiasa na wasiokuwa wanasiasa wanatekwa na kupotezwa na watawala. Sisi hatuna bunduki wala mabomu ya kujilinda kama wao , isipokuwa tunaye Mungu ambaye anaweza kutushindia .

Hivyo basi tunawaalika katika maombi ya kitaifa yatakayofanyika siku ya jumapili tarehe 8 September 2024. Tunawaalika wote wakiwemo viongozi wa dini katika maombi haya. Sisi hatutavaa magunia kama Mordekai isipokuwa tutavaa nguo nyeusi kuashiria nchi ina msiba. Nenda katika ibada msihi mchungaji wako, Padri ama Askofu kwamba tunaomba dakika 5 za kuwaombea waliotekwa na hatujui huko waliko wako katika hali gani. Tunawaomba viongozi wa dini muwape ushirikiano watu watakaofika katika nyumba za ibada kwa ajili ya maombi haya.

Hatutakula wala kunywa kuanzia saa 06:00 Asubuhi ya siku hiyo mpaka saa 18:00 jioni ya siku hiyo. Tutahitimisha maombi haya katika mtandao wa ๐—–๐—น๐˜‚๐—ฏ๐—ต๐—ผ๐˜‚๐˜€๐—ฒ katika room ya ๐—ฆ๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ kuanzia saa 18:00 jioni.

Mungu hashindwi.

Amen.๐Ÿ™๐Ÿ™

Sambaza ujumbe huu kwa watu wote wakiwemo viongozi wa dini.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

MY TAKE.

Wahusika wa Matendo haya jitafakarani. Kilio cha Mwenye haki ni hatari. Angalieni adhabu ya Mwenyezi Mungu isije ikawashukieni mkabaki kutaabika. Vyeo vyenu na mahela yenu hayawatafaeni kitu
 
Taratibu mpaka Vyura wasikie .... maana wanachagua nini wasikie na nini wasisikie!! Mbwa tuendelee Kubweka!!
:CUMDETECTED:
BRAVO MDUDE....!!
 
Umechanganya dini na siasa na uongo na chuki kwa pamoja
Mamia ya watu wanatekwa? Hatujafikia huko Uzi wako ni wa chuki japo umetumia kipengele cha dini kufikisha ujumbe
 
Upuuzi mtupu mdude zee la matusi limeona limeshindwa huko sasa lataka kutumia kanisa
Wajinga ndio wataomsapoti
 
Umechanganya dini na siasa na uongo na chuki kwa pamoja
Mamia ya watu wanatekwa? Hatujafikia huko Uzi wako ni wa chuki japo umetumia kipengele cha dini kufikisha ujumbe

Inaelekea hujasoma listi ya TLS kuhusu waliotekwa toja 2022
 
kusali, kukesha na kuomba Ulinzi, Neema na Baraka za Mungu sio jambo la kusubiri matukio mabaya au mazuri, hiyo ni Imani haba..
Ni muhimu zaidi kuomba na kumshukuru Mungu kwa yote, kila wakati..

Kwa jina la Baba, la Mwana na Roho Mtakatifu,

na wenye pumzi ya Mugu sote tuandike , Aimen ๐Ÿ™

Na Mungu Akubariki Sana...
 
Sawa kabisa...

Na tukio hili ulilolisimulia kuhusu mpango wa Siri wa Waziri Mkuu Hamani kuwaua Wayahudi wote waliokuwa wakiishi huko Shushani - Ngomeni lime - rekodiwa katika Biblia Takatifu, kitabu cha ESTA sura ya 1 hadi 5 (yeyote atakaye kusoma kuelewa zaidi akasome)....

Ni kisa cha ajabu na cha kusisimua sana hasahasa kwa yeyote anayetaka kujua na kuelewa jinsi ambavyo Mungu anaweza kuwaokoa watu wake katika hali yoyote ngumu na ya kuonewa na kunyanyaswa...

Wote wakimbiliao kwa Mungu, ahadi yake ni hii:

โ€ญAyubu 5:12-13 SUVโ€ฌ
"......Yeye huyatangua mashauri ya wadanganyifu, Mikono yao isipate kuyatimiza makusudi yao. Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao wenyewe; Na mashauri ya washupavu yaharibika kwa haraka...."

Hata hivyo katika maombi hayo Mimi nashauri yafuatayo:

1. Tuelewe kuwa tatizo liko serikalini. Serikali ni watu (binadamu). Kila binadamu anaweza kushambuliwa na shetani. Na shetani akishamshambulia mtu, basi matakwa yake ndiyo yanayotimizwa na mtu huyo na kudhihirika ktk matendo na matokeo ya matendo hayo: Matendo ya kishetani ni:

โ€ญWagalatia 5:19-21 SUVโ€ฌ
".....Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uuaji, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu...."

Hayo ndiyo tunayoyaona sasa. Maana yake shetani yuko kazini...

2. Serikali yoyote (watu waliopewa mamlaka ya kuongoza nchi/taifa lolote), basi Mungu ndiye kawapa mamlaka hayo ya kuongoza watu wake ktk nchi/taifa hilo kwa niaba yake. Serikali hiyo yaweza kuwa na watu waovu na wakatili sana kama ilivyo sasa hapa kwetu Tanganyika. Lakini ukweli ndiyo huo, kwamba, Mungu huruhusu utawala wowote hata kama ni mwovu na katili sana kwa kusudi lake maalumu, mfano ile Misri ya Farao iliyowatesa sana wana wa Israel. Lakini unaukumbuka mwisho wa serikali hiyo yote na Rais wake? Mungu aliokoa watu wake Wote lakini viongozi wote wa serikali ya Farao, jeshi lake na yeye mwenyewe Mfalme au Rais, Mungu aliwazika mwenyewe kwa mkono wake chini ya vilindi vya bahari ya Shamu mpaka leo...!!!

3. Kwa hiyo, pamoja na kuwa maombi haya lengo lake ni kuwaombea ndugu zetu hawa mateka na wengine pengine wakiwa ktk hatua za kuuliwa, pia ni LAZIMA tuombe Mungu awapige upofu wa kifikra hawa watesi wa ndugu zetu na kisha katika namna wasiyoweza kuijua wao wajikute wanaghairi kutend mipango yao hii miovu ya mauaji na kisha wageugane wao kwa wao na kupambana wenyewe kwa wenyewe. Hivi ndivyo ambavyo Mungu hutenda kwa maadui zetu...

Lakini na la muhimu zaidi tuombe yafuatayo hiyo siku ya 8/9/2024;

โˆš. Tuwaombee viongozi wa serikali yetu warudishiwe akili zao za kawaida za kibinadamu, awaondolee roho ya uovu na ya mauti inayotamani kumwaga damu za ndugu zao na wakiamka toka usingizini, basi watubu dhambi zao zote kama ilivyoandikwa;

โ€ญ1 Tim 2:1-6 SUVโ€ฌ
"........Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli. Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu; ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote, utakaoshuhudiwa kwa majira yake....."

โˆš. Tuombe Mungu afanye mabadiliko ya viongozi ktk nchi yetu. Na hili halina ubishi na ndilo ambalo Mungu atalifanya....

Asante๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Inaelekea hujasoma listi ya TLS kuhusu waliotekwa toja 2022
Mkuu sio kila taarifa ukiipokea unapanic .list nimesoma ila watu kupotea si serikali ndio inawateka matendo yote tunafanyiana sisi raia na lawama tunaipa serikali
Kuna wengine wachache wao tuliona vitu walivokua wanavipost japo haikutakiwa wafanywe vile ila walizid
 
ANAANDIKA MWANAHARAKATI MDUDE NYAGALI

๐—๐—จ๐— ๐—”๐—ฃ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—”๐—ฅ๐—˜๐—›๐—˜ ๐Ÿด ๐—ฆ๐—˜๐—ฃ. ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฐ ๐—ก๐—œ ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ข๐— ๐—•๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ง๐—”๐—œ๐—™๐—” ๐—ž๐—จ๐—ช๐—”๐—ข๐— ๐—•๐—˜๐—” ๐—ช๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ข๐—ง๐—˜๐—ž๐—ช๐—”.

Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza. Wayahudi hao walikuwa wametapakaa nchi zote za mashariki ya kati wakitumikishwa kazi mbalimbali. Hata baada ya ufalme wa Babel kuanguka na kuingia Umedi & Uajemi ( Iran ya sasa) wayahudi wengine walibakia baadhi ya nchi za mashariki ya kati kama watumwa na wakimbizi.

Sasa huko Uajemi (Iran ya sasa) kulikuwa na waziri mkuu mmoja anaitwa Hamani. Huyu alimshawishi mfalme Ahasuero kutaka wayahudi wote wanaokaa kama wakimbizi na watumwa katika nchi hiyo wauawe kwa sababu wawazishiki sheria za mfalme huyo. Baada ya mfalme kukubali ombi la waziri mkuu wake, wayahudi wote walioishi katika nchi hiyo walihuzunika sana.

Lakini palikuwa na mtu mmoja aliyeitwa Mordekai jasusi aliyeweza kumbadilisha mjomba wake aliyemlea jina kutoka Hadasa jina la kiyahudi na kumpa jina kiajemi la Esta ili tu asijulikane ni myahudi aolewe na mfalme Ahasuero. Huyu Mordekai aliposikia mbiu ya wayahudi wote wanatakiwa kuuawa alizirarua nguo zake na kuvaa magunia kisha kwenda kukaa kwenye malango ya ikulu. Lengo la jasusi huyu Mordekai lilikuwa kwamba wasaidizi wa Esta ambaye wakati huo alikuwa malkia wakimuona katika hali hiyo watamwambia Esta na Esta atakuja kumuona kwa dharura.

Ni kweli Esta alionana na mjomba yake huyo Mordekai na akaambiwa kwamba waziri mkuu Hamani ametangaza wayahudi wote kuuawa. Japokuwa Esta asingeuawa kwa sababu hakujulikana kuwa ni myahudi baada ya mjomba wake kumbadilisha jina na kuwa mke wa mfalme, lakini Esta alipiga ukunga na kulia kilio kikuu. Damu ni nzito kuliko maji. Baada ya hapo Esta alimwambia mjomba wake Mordekai akawaambie wayahudi wote wafanye maombi kwa ajili yake ili apate kibali cha kwenda kumuona mfalme mume wake kwa dharura na kumshawishi mfalme afute mpango huo. Esta alisisitiza maombi yawe ya kufunga wala wasile na kunywa kwa siku tatu.

Hatimaye baada ya maombi siku ya nne Esta alienda ofisini kwa mfalme bila kibali na kumlilia. Mfalme akafuta mpango huo akaamuru waziri mkuu Hamani anyongwe hadharani mbele ya Umma. Huo ulikuwa ushindi wa wayahudi wakiwa katika nchi ya ugenini.

Sisi Watanganyika hatupo ugenini kama wayahudi bali tupo katika nchi yetu ambayo Mungu alitupa japo tunaishi kama tupo ugenini. Mamia ya wenzetu wanaharakati na wasio wanaharakati, wanasiasa na wasiokuwa wanasiasa wanatekwa na kupotezwa na watawala. Sisi hatuna bunduki wala mabomu ya kujilinda kama wao , isipokuwa tunaye Mungu ambaye anaweza kutushindia .

Hivyo basi tunawaalika katika maombi ya kitaifa yatakayofanyika siku ya jumapili tarehe 8 September 2024. Tunawaalika wote wakiwemo viongozi wa dini katika maombi haya. Sisi hatutavaa magunia kama Mordekai isipokuwa tutavaa nguo nyeusi kuashiria nchi ina msiba. Nenda katika ibada msihi mchungaji wako, Padri ama Askofu kwamba tunaomba dakika 5 za kuwaombea waliotekwa na hatujui huko waliko wako katika hali gani. Tunawaomba viongozi wa dini muwape ushirikiano watu watakaofika katika nyumba za ibada kwa ajili ya maombi haya.

Hatutakula wala kunywa kuanzia saa 06:00 Asubuhi ya siku hiyo mpaka saa 18:00 jioni ya siku hiyo. Tutahitimisha maombi haya katika mtandao wa ๐—–๐—น๐˜‚๐—ฏ๐—ต๐—ผ๐˜‚๐˜€๐—ฒ katika room ya ๐—ฆ๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ kuanzia saa 18:00 jioni.

Mungu hashindwi.

Amen.๐Ÿ™๐Ÿ™

Sambaza ujumbe huu kwa watu wote wakiwemo viongozi wa dini.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

MY TAKE.

Wahusika wa Matendo haya jitafakarani. Kilio cha Mwenye haki ni hatari. Angalieni adhabu ya Mwenyezi Mungu isije ikawashukieni mkabaki kutaabika. Vyeo vyenu na mahela yenu hayawatafaeni kitu
Bra wanaobakwa na kulawitiwa sikuyao lini tujuzane nije ibadan haya matukio kama muendelezoo hayaishi
 
kutwekwa day siooo
Mtujuze na siku ya kupinga ubakaji
 
Mkuu sio kila taarifa ukiipokea unapanic .list nimesoma ila watu kupotea si serikali ndio inawateka matendo yote tunafanyiana sisi raia na lawama tunaipa serikali
Kuna wengine wachache wao tuliona vitu walivokua wanavipost japo haikutakiwa wafanywe vile ila walizid
Wewe bwege kweli wangapi wametekwa kimya kimya na baadae jeshi la polisi lina kiri kuwashikilia baada ya kelele nyingi? Unajifanya mtetezi wa serikali wakati hujui lolote acha kijipendekeza.
 
Back
Top Bottom